Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Yani wewe ni mjinga sana , mawazo yako yote umepeleka kwenye ushoga .

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa jibu hili nikuone;
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
 
Kwani kuna asiyejua harakati za bashite? Sema tunaogopa tu kusema
 
Tunapewa madaraka. Ila lazima kujua ni dhamana. Mambo mengi ambayo mkuu amefanya yanauzi kwa watu. Ndio maana wanashangilia
Hebu jibu hili nikuone;
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
 
Yaani mimi sielewi watanzania, nashauri nyimbo za kushambulia mabeberu zianze kutungwa na kuimbwa kila mahali ili uzalendo urudi
Hatuwezi kupuuza damu za watanzania wasio na hatia kumwagwa kwa ujinga hasa wa kutovumilia kuona wanatimiza haki na wajibu wao unaowaudhi watawala.

Lazima watawala wajifunze kupambana kwa hoja maana hii ni nchi ya kidemocrasia ya vyama vingi kudhuru uhai wa wapinzani wao ni kuwadhuru watu walio nyuma yao, na huku kuyaligawa taifa na baadae kutaleta mapambano kati ya pande mbili ndani ya nchi moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamekwambia wana ushahidi wa jinsi alivyoshiriki kudhulumu uhaii wa watu mkuu,je unadhani wanasema porojo kama wanasiasa wa chadema?

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya sawa, jibu hili tukuone;
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
 
Wew akili zako ni mavi matupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli anatuharibia nchi daaa hivi kwanini wanadhani hii nchi ni yao peke yao asepe tu tumeshamchoka baba teuateua
 
Hizo ni salaam kwa Meko ambaye ndiye mlengwa. Hii ni fedheha kwa utawala wake, yaani badala ya kuwalinda raia wake yeye anawaua.
Huyu Bashite alikuwa anatekeleza maagizo ya Meko.

Hii ni timing ya kumburuza Meko na wasaidizi wake kule the Hague. Ndo hivyo tena ili watanzania turejeshe amani yetu ni lazima tumng'oe huyu dikteta. Wamarekani washatutengenezea njia ya kupita.

Ifikapo Oktoba mwaka huu Meko ajiandae kurejea Chato kuendeleza kilimo cha matikiti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu US na sera au siasa zake, zinaeleweka. Tusianze kujidanganya hapa kwamba alichofanyiwa Makonda ni kitu cha kawaida, maana Tanzania haifanani na hizo nchi ulizozisema.
Hebu jiulize kwanini sio Rais, au Makamu wake au waziri mkuu? Makonda yuko chini sana kwenye chain of command and yet has been given the maximum penalty by US.
Nafikiri sisi tusianze kulaumu tu US. Lazima tujiulize kulikoni
 
Watu bwana mnashikilia hilo la ushoga kama vile ni janga la kuleta athari kumbe hamna kitu,wewe mwenyewe dhambi ngapi unafanya? Na mtu akiwa shoga wewe unapata hasara ipi? Au taifa linapata hasara gani? Mataifa mengine wanao ruhusu hayo mambo yamepungukiwa na nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna fact hata moja vihisia vya hapa na pale ndo unalazimisha kuwa hoja.
 
Kumzuia mtu ndio maximum penalty?😂😂😂😂😂,
Hebu hangaika na hili kwanza acha kuzunguka mbuyu;
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi? Pia Rwanda genocide ya 1994 alifanya nini kutetea haki za binadamu kama alivyofanya kwenye hizo nchi tatu pamoja na sisi anavyotutetea?
 
Wewe inaonekana tayari
 
Na ww jamaa soro kweli,Unasema kaonewa? Ye ameonea wangapi? Et aende China anajua lugha yao,au mpaka aende na mkalimani,China hakuna mitandao ya kijamii ya dunia.kwa kifupi China haina swagga bora aende UK tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ya Magufuri itapata faida nyingi sana kwa uvunjivu wake wa haki za binadamu

Hizi ni lasha lasha tu Mvua za El Nino zinakuja

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani anayevunja haki za Binadamu zaidi ya Marekani au Binadamu ni Wale wanaokubali ushoga au Wanaoiabudu Marekani. Wakizingua tutawaitia Irani iwang'ate
 
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
Hizo nchi zilikua na madikteta kweli sema kilichoziponza ni matokeo ya vita sasa ni upuuzi kulaumu matokeo ya vita ili kuhalalisha dikteta kuwepo.

Mfano kipindi cha Idd Amin uchumi wa UG ulikua juu kuliko wakati wowote ule lakini baada ya vita ya kumtoa UG ilipotea kabisa kiuchumi mpaka leo?? Je tulifanya kosa kumtoa Amin??

Libya kama gadaffi angetoka mapema bila kurusha risasi isingekua vile ilivyo leo..... Mbona Misri haijavurugika??

Yaliyotokea Iraq na Libya ni matokeo ya vita sio necessary fitna za mzungu..... Yes kila vita ina mkono wa powers lakini maamuzi ya kupigana yalikua mikononi mwa Gadaffi, angejiuzulu yasingetokea yaliyotokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…