Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Kama sio adhabu, unahangaikia nini? Makonda hafai. Soon utasikia wengine nao wanamuangalia kwa jicho la tatu. Shopping atakuwa anaenda North Korea.
Yale matanuzi na kutafuta sifa pia yana mwisho wake. Tujifunze kutumikia watu na sio kujipa ufalme tusiokuwa nao.
Yes, ndio mtanzania wa kwanza kupigwa ban sababu ya kuwa kiongozi mwenye matendo yanayotia shaka mbele ya jumuiya ya kimataifa. Hii nayo ni rekodi yake mpya
 
😂😂😂, yamepungukiwa marinda...!!
Hebu hangaika na hili kwanza acha kuzunguka mbuyu;
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi? Pia Rwanda genocide ya 1994 alifanya nini kutetea haki za binadamu kama alivyofanya kwenye hizo nchi tatu pamoja na sisi anavyotutetea?
 
Kwani tunajigawa wenyewe au nyinyi ndio mnatugawa???
 
Hata wewe ulichoandika hapa wameshakisoma na wameshaingia katika simu yako, laptop kama unayo, wanakuchora na kukucheka
 
Huna fact hata moja vihisia vya hapa na pale ndo unalazimisha kuwa hoja.
Hebu hangaika na hili kwanza acha kuzunguka mbuyu;
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi? Pia Rwanda genocide ya 1994 alifanya nini kutetea haki za binadamu kama alivyofanya kwenye hizo nchi tatu pamoja na sisi anavyotutetea?
 
Wapi hii statement inasema kuwa makonda amezuiliwa kuingia marekani kutokana na kuzuia ushoga? Tamko linasema kuwa wamemzuia kuingia marekani kutokana na kunyima watu haki ya kuishi,haki ya kujieleza,haki za kukusanyika na haki za vyama vya upinzani kufanya siasa! Kama huna facts siyo sahihi kuleta porojo zako hapa! Unafikiri kila Mtanzania ni mjinga kama wewe? Unafikiri hili tamko hatujalifuatilia?!
 
Kweli watu wamevurugwa, kwahiyo wewe ni party material!!!!
Kweli mtaji wa CCM in
Wajinga,
Maskini na
Wapumbavu
 
Nimecheka hiyo statement kisa cha Makonda kuzuiwa ni kea kupambana na ushoga kwenye statement wameandika marginalized people wamekwepa neno mashoga
 
Mpmbvu mwingine
 
Acha kujivika ngozi ya kondoo. Magufuli anafahamu kabisa maeneo yalipo madini hakuna maji hakuna barabara. Angekuwa mtu wa watu asingejenga uwanja wa ndege Chato na kuacha kuweka lami kutoka Kahama, Kakola (Bulyanhulu) hadi Geita. Tuache tu usikumbushe machungu yaliyoko huko na usifikili tu wajinga kama wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona umepanic?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa makonda ni kama wamefanya PREEMPTIVE STRIKE, wanasubiri wasikie fyoko wabamize wanaemtafuta maana wanajua hajui kuchunga domo lake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ukweli unaujua ila unauficha ficha tu, 😂😂, hebu niambie Marekani alituma jeshi lake kumtoa Iddi amini ili kulinda haki za waganda kama alivyofanya Iraq, Libya na Guaido kuoelejwa Venezuela? Unajua kwanini? Na unajua nini kimetokea kwenye nchi hizo? Jibu unalo ila naona unazunguka mbuyu tu..., narudia swali, pamabana nalo;
Hebu hangaika na hili kwanza acha kuzunguka mbuyu;
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi? Pia Rwanda genocide ya 1994 alifanya nini kutetea haki za binadamu kama alivyofanya kwenye hizo nchi tatu pamoja na sisi anavyotutetea?
 
Repost from @malisa_gj using @RepostRegramApp - Naona watu wanajadili zuio la Makonda kuingia Marekani badala ya kujadili sababu zilizopelekea hilo zuio. Wenye akili ndogo wameanza kusema "Kwani Marekani ni mbinguni? Kwani asipoenda atapungukiwa nini?" Hii ni comment ya Mbunge mmoja wa CCM kule Twitter.

Lakini hoja si Makonda kuzuiwa kuingia Marekani au kuingia Chato. Hoja ya msingi ni madai yaliyotolewa na Marekani kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na Makonda.

Pamoja na mambo mengine, Pompeo amesema Marekani ina USHAHIDI kuwa Makonda ameshiriki KUDHULUMU HAKI YA KUISHI KWA WATU KADHAA. Hii ni kauli ngumu sana, inayotafakarisha sana.

Kudhulumu haki ya watu kuishi means kuamua kumuondolea mtu uhai kabla ya wakati wake. Je ni kweli Makonda amefanya hayo? Kwa akina nani? Kwa ruhusa ya nani? Kwa sababu gani? Lini? Wapi? Na kwanini?

Kumbuka taifa lenye teknolojia kubwa kama Marekani linaposema lina USHAHIDI juu ya jambo fulani bila shaka limejiridhisha vya kutosha.

Kwahiyo ili tuwe na mjadala wenye tija tuachane na kujadili zuio, tujadili sababu zilizopelekea hilo zuio. Hata kama asingezuiwa kwenda Marekani, lakini tuhuma alizotajwa nazo ni kubwa sana. Zinaogofya, zinatafakarisha, zinatisha. Kumbuka Marekani imesema ina USHAHIDI na kumbuka Pompeo alikua Mkurugenzi wa CIA kabla ya kuwa Waziri.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salute boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu hangaika na hili kwanza acha kuzunguka mbuyu;
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi? Pia Rwanda genocide ya 1994 alifanya nini kutetea haki za binadamu kama alivyofanya kwenye hizo nchi tatu pamoja na sisi anavyotutetea?
 
KATIKA hao watz mashoga mmoja wapo NI wewe huwezi kuwaita wenzako mashoga wakati huna uthibitisho.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…