Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Kaponzwa na issue ya ku-harass mashoga tu!

Hiyo human rights wanayoidhania sadists wa humu ni mambo ya kufikirika tu si wampeleke The Heague basi wamshitaki.
 
Yaani ukweli unaujua ila unauficha ficha tu, 😂😂, hebu niambie Marekani alituma jeshi lake kumtoa Iddi amini ili kulinda haki za waganda kama alivyofanya Iraq, Libya na Guaido kuoelejwa Venezuela? Unajua kwanini? Na unajua nini kimetokea kwenye nchi hizo? Jibu unalo ila naona unazunguka mbuyu tu..., narudia swali, pamabana nalo;
Hebu hangaika na hili kwanza acha kuzunguka mbuyu;
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi? Pia Rwanda genocide ya 1994 alifanya nini kutetea haki za binadamu kama alivyofanya kwenye hizo nchi tatu pamoja na sisi anavyotutetea?
Shida ya WaTZ reasoning ipo chini sana nachotaka ufikirie ni kwanini nchi kama Egypt ambapo vita haikupiganwa haijaharibika licha ya kinachoitwa ''mabeberu kuchochea vita''??

Alafu linganisha na nchi ambazo madikteta walitolewa kwa mitutu ya bunduki.... Angalia DRC kwa mfano, marekani ilikua na mkono kwenye kung'olewa Mobutu ila ikumbukwe usalama na uchumi umedorora zaidi kuliko kipindi cha Mobutu??

Sasa nikuulize.... Je kosa ilikua ni kumtoa Mobutu au shida ni vita ndio imepelekea haya???

Madikteta waliotolewa kwa kujiuzulu tu kma Jammeh nchi zao zimeharibika??? Why Libya na Iraq??

Embu reason hapo unieleze hii trend
 
H

Hili si katazo lenye madhara kwa MAKONDA maana sidhani kwa Mkuu wa Mkoa ni lazima aende Marekani, anawezakukaa muda wote wa uteuzi wake bila kufika huko Marekani. Ila tunampa pole maana inawezakubadiika hata ikagusa watoto wake baadaye
Kama katazo halina madhara kwa nini unampa pole? Kama halina madhara kwa nini unajichanganya tena na kusema linaweza kuwagusa watoto wake baadae?
 
70% ya mil 45+ ni mashoga?
Sijajua vigezo ulivyotumia, Nina wasiwasi na uelewa wako . Sina Imani Kama unajua maana ya 70%

Nimefuatilia comments za waTz katika majukwaa mbali mbali kwenye mitandao ya kijamii; kwa kweli niseme kwa dhati kabisa kwamba nimeshtushwa na kushangazwa na kusikitishwa na kitendo cha waTz kushangilia katazo hilo.
Makonda kapigwa hilo zuio kutokana na marufuku aliyoiweka kwa wanaume kuzibuana makalio na mitaro ya maji machafu, and rightfully so! Hivi hawa manguruwe walitegemea sisi tukubali ushoga kabisa, kweli?!!

Pia ifahamike, hayo masuala ya ushoga ni kama sababu tu tunayotafutiwa, ila kuna jambo lingine lipo nyuma ya pazia na hiyo ya ushoga ni gelesha tu. Marekani huwa haingilii mambo ya ndani ya nchi bila kuwa na agenda za maslahi yake anazokua amezificha, tuwe makini.
Ila kubwa kabisa, nimegundua wanaosapoti ushoga katika nchi hii ni wengi sana, nahisi 70% yaWatz wote ni mashoga, i fear so, ngoja niendelee kufuatilia comments huko mitandaoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujauliza swali, umetoa maelezo

Mimi ndio nimekuuliza swali, mbona umepanic?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu hangaika na hili kwanza acha kuzunguka mbuyu;
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi? Pia Rwanda genocide ya 1994 alifanya nini kutetea haki za binadamu kama alivyofanya kwenye hizo nchi tatu pamoja na sisi anavyotutetea? Saudi Arabi baada ya kumchinja Kashogi Marekani waliendelea kufanya nao biashara na kuwapongeza, unajua kwanini?
 
Wewe hata unachokisoma hukielewi. Ni mtihani tu kuanza kukusomesha.

Na Trump siyo muuaji kwa muono wako?
Pamoja na uendawazimu wake Trump hajawahi kuuwa wapinzani wake kwa risasi hadharani hajaua waliohoji elimu yake wala hajawaweka kizuizini miaka saba watu anaotafautiana nao kiimani kama nyinyi mnaotutesea ndugu zetu wa uamsho
JIHAKIKI
JITATHMNI
UKHTYWA GENGE LA WAUWAJI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhari ushoga kuliko utekaji na mauaji ya wakosoaji wa mtawala kilaza
 
Barua ya state department kwenda Nigeria ililaani mateso na udhallishaji anaofanyiwa journalist osorwe the same kama kabendera hapa kwetu ingawa sisi tupo next level kwenye dirty issues awamu hii maana kuna mtu kama Azory ambaye waziri wa mambo ya nje aliiambia dunia mbele ya kamera ya bbc kwamba amekwishakufa huku kina lugola wakisema kakimbia majukumu ya kifamilia.

Kuhusu BASHITE IT IS OFFICIAL KWAMBA YEYE KATANGAZWA kudhulumu maisha ya watu yaani MUUAJI, kwa kifupi hata aliyemteua kama kawaida yake atashupaza shingo ila anafanya kazi na muuaji, atapatata tabu sana kuanzia maiamala yake ma deal yake na kina Daud kanyau, kina Kinje kule south africa sijui itakuwaje.

I hope bwana Pompeo anazo emails zao, chats za whatsapp, simu zao yote yaje yawekwe hadharani one day.Mtumie teknolojia ya mmarekani halafu aiswadukue? mbona kina January mliduwadukua?
 
Sin Chuki Chuki na Makonda ila nasimama kusema hapana na kama mkuu wataifa anasikia kilio chetu basi afanye maamuzi sahihi. We love our country we love our goverment but we do not support any violetion o human right.
 
Shida ya WaTZ reasoning ipo chini sana nachotaka ufikirie ni kwanini nchi kama Egypt ambapo vita haikupiganwa haijaharibika licha ya kinachoitwa ''mabeberu kuchochea vita''??

Alafu linganisha na nchi ambazo madikteta walitolewa kwa mitutu ya bunduki.... Angalia DRC kwa mfano, marekani ilikua na mkono kwenye kung'olewa Mobutu ila ikumbukwe usalama na uchumi umedorora zaidi kuliko kipindi cha Mobutu??

Sasa nikuulize.... Je kosa ilikua ni kumtoa Mobutu au shida ni vita ndio imepelekea haya???

Madikteta waliotolewa kwa kujiuzulu tu kma Jammeh nchi zao zimeharibika??? Why Libya na Iraq??

Embu reason hapo unieleze hii trend
Kabla ya hayo, Hebu hangaika na hili kwanza acha kuzunguka mbuyu;
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi? Pia Rwanda genocide ya 1994 alifanya nini kutetea haki za binadamu kama alivyofanya kwenye hizo nchi tatu pamoja na sisi anavyotutetea? Saudi Arabi baada ya kumchinja Kashogi Marekani waliendelea kufanya nao biashara na kuwapongeza, unajua kwanini?
 
C.I.A nadhani wanasikilia maongezi ya simu ya viongozi wengi Wa tz nadhini na hadi video wanazo ni suala la muda na jinsi wana hasura gas tuliwanyima tukawapa macho kuvimba
 
Afadhari ushoga kuliko utekaji na mauaji ya wakosoaji wa mtawala kilaza
Sawa, Hebu hangaika na hili kwanza acha kuzunguka mbuyu;
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi? Pia Rwanda genocide ya 1994 alifanya nini kutetea haki za binadamu kama alivyofanya kwenye hizo nchi tatu pamoja na sisi anavyotutetea? Saudi Arabi baada ya kumchinja Kashogi Marekani waliendelea kufanya nao biashara na kuwapongeza, unajua kwanini?
 
Sawa, Hebu hangaika na hili kwanza acha kuzunguka mbuyu;
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi? Pia Rwanda genocide ya 1994 alifanya nini kutetea haki za binadamu kama alivyofanya kwenye hizo nchi tatu pamoja na sisi anavyotutetea? Saudi Arabi baada ya kumchinja Kashogi Marekani waliendelea kufanya nao biashara na kuwapongeza, unajua kwanini?
We bwana we acha maneno mengi huu utawala wa jiwe ni utawala wa wauaji tupu
 
Yaani ukweli unaujua ila unauficha ficha tu, 😂😂, hebu niambie Marekani alituma jeshi lake kumtoa Iddi amini ili kulinda haki za waganda kama alivyofanya Iraq, Libya na Guaido kuoelejwa Venezuela? Unajua kwanini? Na unajua nini kimetokea kwenye nchi hizo? Jibu unalo ila naona unazunguka mbuyu tu..., narudia swali, pamabana nalo;
Hebu hangaika na hili kwanza acha kuzunguka mbuyu;
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi? Pia Rwanda genocide ya 1994 alifanya nini kutetea haki za binadamu kama alivyofanya kwenye hizo nchi tatu pamoja na sisi anavyotutetea?
Shida unaongozwa na propaganda kuliko uhalisia..... Je marekani kwenda vietnam kulikua na faida ya kiuchumi?? Vipi CUBA kulikua na faida ya kiuchumi?? Na nikukumbushe tu hata Angola na Zimbabwe zilipoenda kupambana na majeshi ya Rwanda yaliokuwa supported na US huko DRC yalidai dhahabu in return ya gharama za vita lakini ingefanya hivyo US mapovu mngetoka hapa wiki nzima.

My point is, sio kila vita ni mpaka uwe na mafuta kuna issue kama itikadi,ushawishi na kuwa world leader kwenye foreign policy ndio maana walimpigania sana Aung San Su Kyi ilihali hakuna faida ya kiuchumi huko Myanmar. Vipi kule Bosnia kulikua na faida ya kiuchumi?? Kusaidia Kurds northen syria kuna faida ya kiuchumi?? Aaah uvamizi wa Yugoslavia ulikua na faida za kiuchumi??

Shida mnakaririshwa tu case chache ili kuhalalisha propaganda but ilipaswa upige hesabu za vamizi zote za USA alafu uniambie je zote ni kisa kuna mafuta au dhahabu??

Vijana tuache propaganda
 
Sisi Watanzania ni wajinga sana,
Kuna watu wanahisi wanawakomoa wengine wanasahau wao wapo humuhumu
Tangu lini katika historia ya America walishawai kusolve Mgogoro wowote zaid ya kuongeza na kuacha Maafa.

Kuna Mijitu inataka Mmarekani aingilie hivi hamuoni
Kinachowakuta
Libya, Iran, Nigeria, Rwanda, Congo

Mmarekani huwa anaingilia sehemu potential tu
Hebu angalia hawez ingilia Uganda, burundi , Angalia kuna kibao kuna migogoro haingilii.
Kuna wa2 wanahisi hii nchi siyo yao hata ikichafuka haiwahusu hata ikiharibika haiwahusu
Hebu ni coute
Kuna M2 mmoja anasema
"TULIA DAWA IWAINGIE"
namwonea huruma kwa umaskini wa fikra.
Hajui halitendalo
Ila ni sawa na lile neno kwenye biblia
"Mwanamke mjinga huivunja nyumba yake Kwa mikono yake mwenyewe "
Wanahisi wamarekani wanawapenda sana

Nimefuatilia comments za waTz katika majukwaa mbali mbali kwenye mitandao ya kijamii; kwa kweli niseme kwa dhati kabisa kwamba nimeshtushwa na kushangazwa na kusikitishwa na kitendo cha waTz kushangilia katazo hilo.
Makonda kapigwa hilo zuio kutokana na marufuku aliyoiweka kwa wanaume kuzibuana makalio na mitaro ya maji machafu, and rightfully so! Hivi hawa manguruwe walitegemea sisi tukubali ushoga kabisa, kweli?!!

Pia ifahamike, hayo masuala ya ushoga ni kama sababu tu tunayotafutiwa, ila kuna jambo lingine lipo nyuma ya pazia na hiyo ya ushoga ni gelesha tu. Marekani huwa haingilii mambo ya ndani ya nchi bila kuwa na agenda za maslahi yake anazokua amezificha, tuwe makini.
Ila kubwa kabisa, nimegundua wanaosapoti ushoga katika nchi hii ni wengi sana, nahisi 70% yaWatz wote ni mashoga, i fear so, ngoja niendelee kufuatilia comments huko mitandaoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikitika mtu mmoja tu Kati ya wanachama wote wa Chama chetu ndye anatetea uharamia wa mtu mmoja!!hivi mlivokua shule kwenye general studies..mlisoma Civilization..Hivi Francua unaheshimu waliokusomesha..?kwanini usijibu hoja ya barua ya katazo lao hasa paragraph ya Mwisho? Heri mpumbavu afichae upumbavu wake kuliko mwelevu aonyeshae upumbavu wake!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom