MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,063
- 6,405
Sasa wewe utaendelea kupesti huu ujinga wako hadi saa ngapi??!!Kumzuia mtu ndio maximum penalty?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
Hebu hangaika na hili kwanza acha kuzunguka mbuyu;
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi? Pia Rwanda genocide ya 1994 alifanya nini kutetea haki za binadamu kama alivyofanya kwenye hizo nchi tatu pamoja na sisi anavyotutetea?
Sent using Jamii Forums mobile app