Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Simama kwa madaha, piga kifua sema mimi Titicomb ni tabular rasaNasubiri hoja zako za kupangua zangu kuudhirishia umma wa JF ubongo wangu unazidiwa na wa bata maji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simama kwa madaha, piga kifua sema mimi Titicomb ni tabular rasaNasubiri hoja zako za kupangua zangu kuudhirishia umma wa JF ubongo wangu unazidiwa na wa bata maji.
Tafuta hiyo comment kama utaikuta, sijui umeitoawapi, ila,Matusi hayatakusaidia kwa hali yoyote,just tell us who shooted Tundu Lissu,who killed Ben Saanane,who killed Commander Mawazo?
So many innocent people had lost in a very misterious way!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Ni watu wanashambuliwa na wengine kuuwawa uachwe hivi hivi?.Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi? Mashoga wakubwa nyie, nendeni huko kwa mabwana zenu mkatafunwe mik*undu mbwa nyie..!!!
tell himWalisoma whatsapp za Makonda wakatbua kuw yeye ndio alimuua Ben saanane. Aliratibu Lisu kupigwa shaba na ni mwizi
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi? Mashoga wakubwa nyie, nendeni huko kwa mabwana zenu mkatafunwe mik*undu mbwa nyie..!!!
Inshort unachotuambia ni kwamba marekani hayupo interested na haki za binadamu popote duniani zaidi ya kuangalia maslahi yake, period. Ahsante kwa ufafanuzi. Sasa unatoa ushauri ganixkwa manyumbu wa Tz wanaiingizwa mkenge?Issue ya Khashoggi sababu Saudi Ni permanent ally wa US pale middle East so akimpoteza ina madhara makubwa kuliko kifo cha mtu mmoja. Hata zenji hawakuweza vunja muungano kisa tu TANESCO ilitaka kuwakatia umeme!! Kuna tolerance levels. Na unaweza ona Saudia imebadilika sana leo hii wanawake wanaendesha gari,kuangalia mechi za mpira n.k hizo reforms zilikua imposed na marekani kwahiyo flaw moja haiwezi ingiza vitani.
Narudia tena sio kila nchi unaingia kwa minajiri ya kupata mafuta mingine ni maeneo ya kimkakati na kutafuta ushawishi wa siasa za kimataifa nmetoa mfano wa Yugoslavia,Bosnia,Myanmar,Vietnam n.k
Sasa ww umekazania hoja eti oooh hawavamii mpaka kuwepo mafuta au dhahabu.... Ssa Bosnia kuna madini gani??
Kingine issue ya Rwanda ni dunia nzima ilipiga kimya so ingekua wote wamekuja kasoro US tungesema kisa hamna dhahabu?? Sasa basi TZ haikupeleka jeshi Rwanda kisa hatukuona kuna dhahabu?? Na ambacho hufahamu US ili lobby sana UN ili Rwanda ya RPF ifutiwe zuio la silaha, walivyopata ndio wakaendeleza mapambanao dhidi ya Interehamwe!! Je ilipopigania hiyo lifting of arms embargo walikua hawajui Rwanda hamna dhahabu??
mtoa mada tu ...itakuwa ana utindiowa ubongo...tumsamehe .kwani hajaliona tamko la pompeo linalo sema kwamba wanaushahidi kuwa makonda anahusika na tuhuma za kudhulumu watu haki ya kuishi (mauaji)..so anataka wa tz tumtetee muuaji....itakuwa mtoa mada amedataHii inaonyesha ni jinsi gani RAIA wengi hawamkibali RC makonda , inatakiwa tu ajitafakari kwa hili, ishu nahisi sio ushoga tu kutakua na mambo mengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Demokrasia barani Afrika ni ya kuogopa kama ukoma, mwenye hoja ya kupinga aje ulingoni
Demokrasia ndani ya Afrika ni nyenzo ya ukoloni mamboleo. Hivi umeshawahi kujiuliza ni kwanini mabepari/ mabeberu hupenda sana kuona nchi za Afrika zikizingatia demokrasia na haki za binadamu? Na hawakupi msaada kama huzingatii demokrasia na haki za binadamu (wapinzani). Jibu ni rahisi sana...www.jamiiforums.com
Nimefuatilia comments za waTz katika majukwaa mbali mbali kwenye mitandao ya kijamii; kwa kweli niseme kwa dhati kabisa kwamba nimeshtushwa na kushangazwa na kusikitishwa na kitendo cha waTz kushangilia katazo hilo.
Makonda kapigwa hilo zuio kutokana na marufuku aliyoiweka kwa wanaume kuzibuana makalio na mitaro ya maji machafu, and rightfully so! Hivi hawa manguruwe walitegemea sisi tukubali ushoga kabisa, kweli?!!
Pia ifahamike, hayo masuala ya ushoga ni kama sababu tu tunayotafutiwa, ila kuna jambo lingine lipo nyuma ya pazia na hiyo ya ushoga ni gelesha tu. Marekani huwa haingilii mambo ya ndani ya nchi bila kuwa na agenda za maslahi yake anazokua amezificha, tuwe makini.
Ila kubwa kabisa, nimegundua wanaosapoti ushoga katika nchi hii ni wengi sana, nahisi 70% yaWatz wote ni mashoga, i fear so, ngoja niendelee kufuatilia comments huko mitandaoni.
Demokrasia barani Afrika ni ya kuogopa kama ukoma, mwenye hoja ya kupinga aje ulingoni
Demokrasia ndani ya Afrika ni nyenzo ya ukoloni mamboleo. Hivi umeshawahi kujiuliza ni kwanini mabepari/ mabeberu hupenda sana kuona nchi za Afrika zikizingatia demokrasia na haki za binadamu? Na hawakupi msaada kama huzingatii demokrasia na haki za binadamu (wapinzani). Jibu ni rahisi sana...www.jamiiforums.com
Nlidhani una hoja kumbe umekaririshwa hilo swali unapewa majibu unarudia. Nimekuuliza Bosnia na Myanmar kuna faida gani ya kiuchumi au kisiasa?? Mbona umekazania Libya kana kwamba ndio nchi pekee walioingilia siasa zao.Hayo yote majibu unayo na yako wazi, kudominate na kucontrol watu wengine kwa maslahi yako unaona ni kitu kizuri sio? Hata akituambia tuzibuane marinda sisi tufuate tu, ndio control unayoitaka? Anyway;
Sawa, Hebu hangaika na hili kwanza acha kuzunguka mbuyu;
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi? Pia Rwanda genocide ya 1994 alifanya nini kutetea haki za binadamu kama alivyofanya kwenye hizo nchi tatu pamoja na sisi anavyotutetea? Saudi Arabi baada ya kumchinja Kashogi Marekani waliendelea kufanya nao biashara na kuwapongeza, unajua kwanini?
😃😃 jeshi letu nini ?...nimecheka sanaMakonda anakiherehere mkuu hawez kupambana na jitu lilikuwa kubwa la CIA atakuwa kafyata mkia,kama mbwa jike alotoka kupigwa paaaaaip, ni kweli marekan wanatafutaga weak links ila kwanini tunawatengenezea hizo weak links ? alafu zikitokea wakianza kupenya mnajifanya mnajua mwisho wake ? jesh letu lenyewe mazoez yake tunayaona, mnatutafutia mataizo wakuu...
Sent from my iPhone using JamiiForums
😃😃
Huo ni mtazamo wako, wewe subilia, list itakavyokuwa inatoka ndio utajua, hukuwa sahihi!! Yajayo yanafurahisha!!!Issue ya Kuzuiwa Makonda inatokana na Tamko lake la kuzuia Mashoga sio blaablaa zisizo na ushahidi
Kwa US tamko lile ni kinyume cha haki za Binadamu sio vinginevyo
Sent using Jamii Forums mobile app