Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Matusi hayatakusaidia kwa hali yoyote,just tell us who shooted Tundu Lissu,who killed Ben Saanane,who killed Commander Mawazo?
So many innocent people had lost in a very misterious way!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta hiyo comment kama utaikuta, sijui umeitoawapi, ila,
Sawa, Hebu hangaika na hili kwanza acha kuzunguka mbuyu;
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi? Pia Rwanda genocide ya 1994 alifanya nini kutetea haki za binadamu kama alivyofanya kwenye hizo nchi tatu pamoja na sisi anavyotutetea? Saudi Arabi baada ya kumchinja Kashogi Marekani waliendelea kufanya nao biashara na kuwapongeza, unajua kwanini?
 
Kama Ni watu wanashambuliwa na wengine kuuwawa uachwe hivi hivi?.
Matatizo mengine tunajitakia,ufanye unyama ukiguswa ulie eti Ni kwa vile unapinga ushoga!.
Hi ni aibu kwa taifa,maana Kama hao jamaa wamempiga bun kuingia kwao,mwezi hautapita utasikia uingereza na ujerumani pia
 
Sikiliza wewe...
Naona kichwa chako kimejaa uji uji!
Ishu hapa si 'adhabu' iliyotolewa...
Muhimu sana ni hizo tuhuma zenyewe ambazo wamesema wana ushahidi wa kutosha...!
Kuanzia mauaji na mengine mengi!!

Na bado... They are closely watching you!
More actions to follow!
Ila Marekani ni baba lao... Anakupa magari ya jeshi unachekelea then anakulipua kwa upande mwingine!
Anauma na kupuliza!
 

Kumbuka na ule mkopo wa milion 500 zao
 
Inshort unachotuambia ni kwamba marekani hayupo interested na haki za binadamu popote duniani zaidi ya kuangalia maslahi yake, period. Ahsante kwa ufafanuzi. Sasa unatoa ushauri ganixkwa manyumbu wa Tz wanaiingizwa mkenge?
 
Hii inaonyesha ni jinsi gani RAIA wengi hawamkibali RC makonda , inatakiwa tu ajitafakari kwa hili, ishu nahisi sio ushoga tu kutakua na mambo mengine

Sent using Jamii Forums mobile app
mtoa mada tu ...itakuwa ana utindiowa ubongo...tumsamehe .kwani hajaliona tamko la pompeo linalo sema kwamba wanaushahidi kuwa makonda anahusika na tuhuma za kudhulumu watu haki ya kuishi (mauaji)..so anataka wa tz tumtetee muuaji....itakuwa mtoa mada amedata
 

Kuna shida kwenye ubongo wako sio bure.
 
Nlidhani una hoja kumbe umekaririshwa hilo swali unapewa majibu unarudia. Nimekuuliza Bosnia na Myanmar kuna faida gani ya kiuchumi au kisiasa?? Mbona umekazania Libya kana kwamba ndio nchi pekee walioingilia siasa zao.

2. Rwansa nishakujibu walimsupport Kagame ili kupambana na interhamwe,kipindi ambacho sio Tz wala mzalendo yeyote aliesaidia kule Rwanda.

3.Marekani haijawahi lazimisha watu kuingia kwenye ushoga, yenyewe mara zote ina guarantee haki za binadamu zote kuanzia haki ya kusoma hadi uhuru wa mawazo. Maana mnapoomba misaada mnasign such makubaliano, ssa kama mnataka kuua mashoga haina shida ila muende kujitoa kwenye baadhi ya declaration za human rights mlizoapa kulinda.

Mbona ni rahisi tu, sio mnawatukana hapa alafu wakiwanyima misaada mnalialia
 
Watanzania tumeponzwa na ubwabwa wakati wa uchaguzi.

Ila CCM wanapashwa kuchukua hatua nzito kama chama, LA sivyo wanakuwa KANU muda mfupi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ jeshi letu nini ?...nimecheka sana
 
Naona watu wanajadili zuio la Makonda kuingia Marekani badala ya kujadili sababu zilizopelekea hilo zuio. Wenye akili ndogo wameanza kusema "Kwani Marekani ni mbinguni? Kwani asipoenda atapungukiwa nini?" Hii ni comment ya Mbunge mmoja wa CCM kule Twitter.

Lakini hoja si Makonda kuzuiwa kuingia Marekani au kuingia Chato. Hoja ya msingi ni madai yaliyotolewa na Marekani kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na Makonda.

Pamoja na mambo mengine, Pompeo amesema Marekani ina USHAHIDI kuwa Makonda ameshiriki KUDHULUMU HAKI YA KUISHI KWA WATU KADHAA. Hii ni kauli ngumu sana, inayotafakarisha sana.

Kudhulumu haki ya watu kuishi means kuamua kumuondolea mtu uhai kabla ya wakati wake. Je ni kweli Makonda amefanya hayo? Kwa akina nani? Kwa ruhusa ya nani? Kwa sababu gani? Lini? Wapi? Na kwanini?

Kumbuka taifa lenye teknolojia kubwa kama Marekani linaposema lina USHAHIDI juu ya jambo fulani bila shaka limejiridhisha vya kutosha.

Kwahiyo ili tuwe na mjadala wenye tija tuachane na kujadili zuio, tujadili sababu zilizopelekea hilo zuio. Hata kama asingezuiwa kwenda Marekani, lakini tuhuma alizotajwa nazo ni kubwa sana. Zinaogofya, zinatafakarisha, zinatisha. Kumbuka Marekani imesema ina USHAHIDI na kumbuka Pompeo alikua Mkurugenzi wa CIA kabla ya kuwa Waziri.!
 
Ningetamani na viongozi wote wa serikali ambao idara /wizara/taasisi wanazo ziongoza zimeuhusika au kushinda kusimamia haki za binadamu nao wapige pin.
 
Issue ya Kuzuiwa Makonda inatokana na Tamko lake la kuzuia Mashoga sio blaablaa zisizo na ushahidi

Kwa US tamko lile ni kinyume cha haki za Binadamu sio vinginevyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni mtazamo wako, wewe subilia, list itakavyokuwa inatoka ndio utajua, hukuwa sahihi!! Yajayo yanafurahisha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…