Emar
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,789
- 2,965
Unajua kwanini Russia, Mchina, Mkorea, Mexico, Cannada, Iran, iraq hawaitaji kumsikia Mmarekani ?
Lengo la Mmarekani ni kutimiza matakwa yake
First world war" jamaa alikuwa anaombea vita ili auze silaa"
Hii nchi ni ye2 majirani hawawezi kuwa na uchungu kama sisi wenyewe.
Sisi ndo tuipambanie .
Hao wanini? na Tz
hujiulizi Mara ugaidi, Mara ebola, Ushoga mara sijui Makonda
Huoni wanatafuta Mlango
Watuchonganishe tuuwane
Sent using Jamii Forums mobile app
Lengo la Mmarekani ni kutimiza matakwa yake
First world war" jamaa alikuwa anaombea vita ili auze silaa"
Hii nchi ni ye2 majirani hawawezi kuwa na uchungu kama sisi wenyewe.
Sisi ndo tuipambanie .
Hao wanini? na Tz
hujiulizi Mara ugaidi, Mara ebola, Ushoga mara sijui Makonda
Huoni wanatafuta Mlango
Watuchonganishe tuuwane
Issue ya Khashoggi sababu Saudi Ni permanent ally wa US pale middle East so akimpoteza ina madhara makubwa kuliko kifo cha mtu mmoja. Hata zenji hawakuweza vunja muungano kisa tu TANESCO ilitaka kuwakatia umeme!! Kuna tolerance levels. Na unaweza ona Saudia imebadilika sana leo hii wanawake wanaendesha gari,kuangalia mechi za mpira n.k hizo reforms zilikua imposed na marekani kwahiyo flaw moja haiwezi ingiza vitani.
Narudia tena sio kila nchi unaingia kwa minajiri ya kupata mafuta mingine ni maeneo ya kimkakati na kutafuta ushawishi wa siasa za kimataifa nmetoa mfano wa Yugoslavia,Bosnia,Myanmar,Vietnam n.k
Sasa ww umekazania hoja eti oooh hawavamii mpaka kuwepo mafuta au dhahabu.... Ssa Bosnia kuna madini gani??
Kingine issue ya Rwanda ni dunia nzima ilipiga kimya so ingekua wote wamekuja kasoro US tungesema kisa hamna dhahabu?? Sasa basi TZ haikupeleka jeshi Rwanda kisa hatukuona kuna dhahabu?? Na ambacho hufahamu US ili lobby sana UN ili Rwanda ya RPF ifutiwe zuio la silaha, walivyopata ndio wakaendeleza mapambanao dhidi ya Interehamwe!! Je ilipopigania hiyo lifting of arms embargo walikua hawajui Rwanda hamna dhahabu??
Sent using Jamii Forums mobile app