Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Unajua kwanini Russia, Mchina, Mkorea, Mexico, Cannada, Iran, iraq hawaitaji kumsikia Mmarekani ?
Lengo la Mmarekani ni kutimiza matakwa yake

First world war" jamaa alikuwa anaombea vita ili auze silaa"
Hii nchi ni ye2 majirani hawawezi kuwa na uchungu kama sisi wenyewe.
Sisi ndo tuipambanie .
Hao wanini? na Tz
hujiulizi Mara ugaidi, Mara ebola, Ushoga mara sijui Makonda
Huoni wanatafuta Mlango
Watuchonganishe tuuwane
Issue ya Khashoggi sababu Saudi Ni permanent ally wa US pale middle East so akimpoteza ina madhara makubwa kuliko kifo cha mtu mmoja. Hata zenji hawakuweza vunja muungano kisa tu TANESCO ilitaka kuwakatia umeme!! Kuna tolerance levels. Na unaweza ona Saudia imebadilika sana leo hii wanawake wanaendesha gari,kuangalia mechi za mpira n.k hizo reforms zilikua imposed na marekani kwahiyo flaw moja haiwezi ingiza vitani.

Narudia tena sio kila nchi unaingia kwa minajiri ya kupata mafuta mingine ni maeneo ya kimkakati na kutafuta ushawishi wa siasa za kimataifa nmetoa mfano wa Yugoslavia,Bosnia,Myanmar,Vietnam n.k

Sasa ww umekazania hoja eti oooh hawavamii mpaka kuwepo mafuta au dhahabu.... Ssa Bosnia kuna madini gani??

Kingine issue ya Rwanda ni dunia nzima ilipiga kimya so ingekua wote wamekuja kasoro US tungesema kisa hamna dhahabu?? Sasa basi TZ haikupeleka jeshi Rwanda kisa hatukuona kuna dhahabu?? Na ambacho hufahamu US ili lobby sana UN ili Rwanda ya RPF ifutiwe zuio la silaha, walivyopata ndio wakaendeleza mapambanao dhidi ya Interehamwe!! Je ilipopigania hiyo lifting of arms embargo walikua hawajui Rwanda hamna dhahabu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli Kama ulivyosema asilimia 70 ya watanzania Ni mashoga..hivyo baba yako,babu yako watoto wako na ukoo wako wote mashoga

Nimefuatilia comments za waTz katika majukwaa mbali mbali kwenye mitandao ya kijamii; kwa kweli niseme kwa dhati kabisa kwamba nimeshtushwa na kushangazwa na kusikitishwa na kitendo cha waTz kushangilia katazo hilo.
Makonda kapigwa hilo zuio kutokana na marufuku aliyoiweka kwa wanaume kuzibuana makalio na mitaro ya maji machafu, and rightfully so! Hivi hawa manguruwe walitegemea sisi tukubali ushoga kabisa, kweli?!!

Pia ifahamike, hayo masuala ya ushoga ni kama sababu tu tunayotafutiwa, ila kuna jambo lingine lipo nyuma ya pazia na hiyo ya ushoga ni gelesha tu. Marekani huwa haingilii mambo ya ndani ya nchi bila kuwa na agenda za maslahi yake anazokua amezificha, tuwe makini.
Ila kubwa kabisa, nimegundua wanaosapoti ushoga katika nchi hii ni wengi sana, nahisi 70% yaWatz wote ni mashoga, i fear so, ngoja niendelee kufuatilia comments huko mitandaoni.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
M nadhani serikali isipuuze kabisa hili suala..ni dalili mbaya sana..ilekebishe pale ambapo kuna mapungufu na wanajua fika ni mapungufu gani..kuendelea kujimwambafay ni kuumiza wananchi mwisho wa siku..na Mmarekani akianza kufuatiria nchi yako jua ummoja wa ulaya hauko mbali..

Zaidi Mmarekani hana cha kupoteza sisi ndo tuna mengi ya kupoteza.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii inaonyesha ni jinsi gani RAIA wengi hawamkibali RC makonda , inatakiwa tu ajitafakari kwa hili, ishu nahisi sio ushoga tu kutakua na mambo mengine

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo watetezi wake wengi wanashikilia vita yake ya ushoga kwamba ndio tatizo hawataki kukubali huenda kutakuwa na sababu zingine.
 
Unajua kwanini Russia, Mchina, Mkorea, Mexico, Cannada, Iran, iraq hawaitaji kumsikia Mmarekani ?
Lengo la Mmarekani ni kutimiza matakwa yake

First world war" jamaa alikuwa anaombea vita ili auze silaa"
Hii nchi ni ye2 majirani hawazezi kuwa na uchungu kama sisi wenyewe.
Sisi ndo tuipambanie .
Hao wananini na Tz hujiulizi Mara ugaidi, Mar ebola, Ushoga mara sijui Makonda
Huoni wanatafuta Mlango
Watuchonganishe tuuwane

Sent using Jamii Forums mobile app
Tusaidiane kuwazibua masikio..
 
Watanzania tusitetereke. Hii ni baada ya nchi chini ya uongozi wa magufuli kusimama kidete kutetea haki yake kwenye madini. Nchi za kibeberu wamepatwa hasira na nchi yetu. Kama ni kweli wanajali haki za binadamu na sio maslahi ya kiuchumi wangeanza na mwana wa mfalme wa saudia
Tunamkana tu, tutetereke mara ngapi? tuko pamoja na Mabeberu wenye kupenda haki za wanyonge, hana cha kutetea Madini muongo yule! Mabeberu wana chukua lkn wanatuachia japo mchuzi!

Jiwe ana tetea Madini, ili apate hela anunue, Helkopta za kusindikiza kijeshi, Risasi na Mabomu ya machozi! unazuia watu kwenda nje ya nchi, nani atapanda hizo ndege zenu? wakenya? au wasouth?
nao wanazao!
 
Kiukweli hawa mabeberu Wamarekani ni washenzi sana!, Wanamuonea bure Makonda tena kwasababu safari za Makonda US ni safari binafsi za yale mambo ya kifamilia, kumzuia Makonda kuingia US ni ukiukwaji wa haki ya msingi ya binaadamu.

Wito kwa Rais Magufuli, toa waraka hakuna kiongozi yoyote wa serikali yako ataomba Visa kuingia US, wanataka kutudhalilisha tuu, kwani Marekani ndio nini?. Twende China!.
To hell with America!.
Let's say no to American with their filthy blood stained, stinking money except " kwa msaada wa watu wa Marekani" zikiwemo ARV.
P
Sasa pasco kwa ukongwe wako unadhani sababu ni safari binafsi tu ukisoma vizuri utagundua hawa watu na tips tayari ya mambo aliyoyafanya makonda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali limehusu nchi tatu, Iraq, Libya, Venezuela, hizo zingine maslahi yake ni ya ki-imperilistic zaidi, maana hawana natural resources as such, nitajie nchi yenye natural resources kama hizo tatu nilizotaja au kama Tanzania amabazo marekani aliingia kutetea haki za binadamu na zikabaki salama.
Unaona sasa.... Shida upo biased sana. Mie nmeshatoa hoja kuwa Vita ndio zimepelekea hizo nchi kuvurugika sio fitna za mzungu per se. Yaani fitna bila vita nchi haiwezi vurugika kwa level ya Syria au Lybia.

Sasa ni jukumu lako wewe mtoa hoja kunionyesha hizo nchi tajiri ambazo hazikupigana vita ila bado zilivurugwa na marekani. Sio wwe tena kutaka mmi nikupe mfano wa nchi tajiri ambayo haijavurugwa na intervention ya USA wakati haikua hoja yangu. Sijui unaiona tofauti

Mie nmetoa mifano ya nchi maskini ambazo US amezisaidia ili kuprove hoja yako ya kuvamia nchi zenye rasilimali ni UONGO.

Nasubiri facts
 
Jana nilisikia Spika wa Bunge ndugu Ndugai akisema kua Mh Zito amefanya makosa aliyofanya Rais Trump ya kushirikiana na mataifa ya nje kuhuujumu nchi yake..sikuweza kumwelewa Mh Ndugai kwa akili ya kidiplomasia kama kuna kiongozi yeyote mkubwa kama yeye anaweza kusema maneno yale.

Au Mh Ndugai ajui kua Trump anatuumiwa yeye anasema amefanya.
 
Angekuwa anasupport haki asingemuua gadaffi, asingekuua gavana wa irani ,
Asingeewapiga ban wanaigeria.

Mmarekani hatamani unyanyuke hatamani upige hatua hat a mani akuone umepata maendeleo.
Anaingia kwa Maslai tu
Nlidhani una hoja kumbe umekaririshwa hilo swali unapewa majibu unarudia. Nimekuuliza Bosnia na Myanmar kuna faida gani ya kiuchumi au kisiasa?? Mbona umekazania Libya kana kwamba ndio nchi pekee walioingilia siasa zao.

2. Rwansa nishakujibu walimsupport Kagame ili kupambana na interhamwe,kipindi ambacho sio Tz wala mzalendo yeyote aliesaidia kule Rwanda.

3.Marekani haijawahi lazimisha watu kuingia kwenye ushoga, yenyewe mara zote ina guarantee haki za binadamu zote kuanzia haki ya kusoma hadi uhuru wa mawazo. Maana mnapoomba misaada mnasign such makubaliano, ssa kama mnataka kuua mashoga haina shida ila muende kujitoa kwenye baadhi ya declaration za human rights mlizoapa kulinda.

Mbona ni rahisi tu, sio mnawatukana hapa alafu wakiwanyima misaada mnalialia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua kwanini Russia, Mchina, Mkorea, Mexico, Cannada, Iran, iraq hawaitaji kumsikia Mmarekani ?
Lengo la Mmarekani ni kutimiza matakwa yake

First world war" jamaa alikuwa anaombea vita ili auze silaa"
Hii nchi ni ye2 majirani hawazezi kuwa na uchungu kama sisi wenyewe.
Sisi ndo tuipambanie .
Hao wananini na Tz hujiulizi Mara ugaidi, Mar ebola, Ushoga mara sijui Makonda
Huoni wanatafuta Mlango
Watuchonganishe tuuwane

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona huelewi nachosema.... Marekani anatumia fitna kma hizo za World war kwa nchi KUBWA sio MASKINI na ombaomba kama Tanzania.

Marekani anauwezo wa kupandikiza virusi kwenye ARV anazoleta ili kutumaliza, ana uwezo wa kupandikiza Ebola bila haja ya kutuzushia, sababu afterall tunategemea misaada ya madawa cjui vitabu kutola huko.

Kuhusu kutochanganisha hahitaji, si ananyima tu mikopo na kuweka vikwazo vya uchumi mpaka magufuli ajiuzulu!! Sasa why azunguke cjui Lisu au kuzusha Ebola wakati anaweza ziba tu mirija kutumaliza!!

Ni kweli tunaweza kuwa na uchungu kwa nchi yetu kuliko wageni ila hata Nyerere alienda kusaidia mataifa yapate uhuru, ina maana hawakuwa na uchungu na nchi zao kuliko Nyerere??
 
kama wakiweza hilo nitaamini tz ndo nchi no. 1 duniani nchi yenyw nguvu ya kijeshi
Weeee! kisasi chake Baba !!! Itakuwa historia, watachakaza mpaka sisimizi !!!!!! nchi itachipiuka upya, kwa jina jipya! ili iwe fundisho kwa Waarabu!
 
Usicho Kijuwa Pompeo kabla Ya Kuwa Waziri Alikuwa CIA Kijana Kaa Ukijuwa Marecan Hawakurupuki

Mpaka uone Wameamua Kuchukuwa Hatua It means wamefuatilia Sana

Au Unadhani Akili Zenu Zalumumba Ndio Akili Za Pompeo
Sasa mkuu we unafurahisha, huo uchunguzi wa 90% kuwa wameunga mkono umeufaniyia wapi mkuu??

Na wewe umesahau kuwa ni mtu wa kusifu tu huyo marekani bila kufikiri mara mbili anachokifanya kina uhalali gani kwa nchi yako.
Watu wazima wasio jua kujibu hoja ni sawa na hukuna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angekuwa anasupport haki asingemuua gadaffi, asingekuua gavana wa irani ,
Asingeewapiga ban wanaigeria.

Mmarekani hatamani unyanyuke hatamani upige hatua hat a mani akuone umepata maendeleo.
Anaingia kwa Maslai tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo uhuni aliofanya Gadaffi haukuhalalisha yeye kuondolewa?? Kumbuka aliwahi tungua ndege yenye wamarekani na tokea hapo ndio beef lilipoanza whether ana mafuta au lah.

General wa Iran kauawa sababu alikua uwanja wa vita ambako ni jeshi pinzani kwa US kwahiyo kufa hakuepukiki ila angeuawa akiwa Iran ungekua na hoja.

Mbona Rwanda inapiga hatua kiuchumi ila US hajaivuruga zaidi ndio anaongeza support kila mwaka??

Nmetoa mfano wa huko Kosovo na Bosnia je kulikua na faida ya kiuchumi hadi marekani apeleke jeshi na silaha??

Marekani anaweza kuwa na madhaifu yake lakini si kweli havamii nchi mpaka kuwepo na rasilimali!!
 
Kwani mzalendo uchwara namba 2 huwa.anakwenda USA?
 
MASKINI MLETA UZI UNA KURUPUKA BILA KUJUA WHAT'S GOING ON.

NI HIVI HUU UTAWALA WA MAGUFURI MATUKIO YA KUUA RAIA,KUTEKA NA KUSHA MBULIA MTU YOYOTE ALIYE NA MAWAZO TOFAUTI NA MAGUFURI NDIO CHANZO CHA MAMBO YOTE. AMA KWELI USILOLIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZZ
Lete ushahidi jomba wa haya matukio unayoyasema usikurupuke. Watu wanatengeneza matukio na propaganda zao halafu lawama wanaitupia serikali kwa lengo la kuichafua tu .nasema wananchi hatukubaliani na ushenzi huo..Magufuli tutakuwa nae mpaka siku atakapochoka yeye .kma hamna kazi ya kufanya jomba mmetumbuliwa jipangeni Tena muanze maisha upya. Tunajua ajenda ya ushoga ndio burning issue .Makonda ana Nini la kumkandamiza mtu wewe..Mkuu wa Mkoa tu Hana issue .wanamuonea tu. After all kwani Nani amekwambia anahaja ya kwenda Marekani. Kwani amesahau Nini..
 
Back
Top Bottom