Chimemena
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 1,376
- 452
Kwa haraka hapo ni kwamba Makonda kawekwa kundi moja na Magaidi.
Mama yangu weeee, acha hizo mkuu 😳😢🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa haraka hapo ni kwamba Makonda kawekwa kundi moja na Magaidi.
Duh kweli kwa michango kama hii ni jibu tosha kwanini inchi yetu ni fukaraTaifa la marekani huwa naliona Kama Taifa la kishetani tu hapa duniani. Kwani Nani kawambia makonda ana uhitaji kwa kwenda kwenye nchi yao. Shenzi kabisa Serikali ya Trump wote Ni wahuni Hamna kiongozi wa maana[emoji35][emoji35]
Aiseee hivi kumbe watu wagumu kumuelewa Mkuu, Mayalla!!! Ha ha haaa!Ropoka tu na Jitoe Ufahamu.
Ukiwadindishia Marekani, Umewadindishia UK, Germany, France na Washirika wengine. Acha Kuabudu Upuuzo ukiamini utapewa Cheo. Au ndiyo ukabila Unakutesa?
Jamaa watakua na files zake nyingi sana za matukio mbalimbali.Mpaka hapo wanajua anahusika ishu ya Lissu na mauchafu mengineyo.
Mimi huwa simpendi huyu Makonda.Ila kama wameamua kumzuia kwa sababu ya ile issue ya mashoga,Mimi nipo pamoja naye.Wabaki na nchi lao
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu itakuwaje sasa? Wanakufa au?Mungu wabariki mabeberu Wawapige life burn wao familia zao na uzao wao yaani katazo la milele kuingia USA na ulaya yote waishie kuziona YouTube hawa watesi wetu
Yaani mtu anakaa kwenye lile ghala pale ufipa anaandika vimaneno alafu anajiita Pompeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Makonda mwenyewe shogaMashoga wana nguvu aisee yanadai haki za kuliwa.
Chadema njooni mshangilie sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasisi tuwawekee vikwazo....hao mabeberu nyuma ya vivuli vya demokrasia.
Tumeona namna walivyoipa demokrasia Libya na Iraq, pia afghanistan, hatutaki demokrasia yao wabaki nayo.
Nategemea kusikia kesho Balozi wa Tanzania nchini Marekani karejea Tanzania na wa Marekani nchini Tanzania kareja Marekani.
Namba ya simu ya mchepuko wako!Ili kupata kichekesho[emoji23]kama ichi unabonyeza namb ngap