Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Kiukweli hawa mabeberu ni washenzi sana, Rais Magufuli, toa waraka hakuna kiongozi yoyote wa serikali yako ataomba Visa kuingia US, wanataka kutudhalilisha tuu, kwani Marekani ndio nini?. Twende China!.
To hell with America!.
Let's say no to American with their filthy blood stained, stinking money except " kwa msaada wa watu wa Marekani" zikiwemo ARV.
P
Ropoka tu na Jitoe Ufahamu.
Ukiwadindishia Marekani, Umewadindishia UK, Germany, France na Washirika wengine. Acha Kuabudu Upuuzo ukiamini utapewa Cheo. Au ndiyo ukabila Unakutesa?
 
Mungu wabariki mabeberu Wawapige life burn wao familia zao na uzao wao yaani katazo la milele kuingia USA na ulaya yote waishie kuziona YouTube hawa watesi wetu
 
Kiukweli hawa mabeberu Wamarekani ni washenzi sana!, Wanamuonea bure Makonda tena kwasababu safari za Makonda US ni safari binafsi za yale mambo ya kifamilia, kumzuia Makonda kuingia US ni ukiukwaji wa haki ya msingi ya binaadamu.

Wito kwa Rais Magufuli, toa waraka hakuna kiongozi yoyote wa serikali yako ataomba Visa kuingia US, wanataka kutudhalilisha tuu, kwani Marekani ndio nini?. Twende China!.
To hell with America!.
Let's say no to American with their filthy blood stained, stinking money except " kwa msaada wa watu wa Marekani" zikiwemo ARV.
P
Nimeamini wanaosema kuna watu wanazeeka vibaya. Huu uzee bora urudi chekechea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaendaga sana huko kwa habari yako. Na alitaka kwenda kwa mapumziko ya mwisho wa mwaka mwezi uliopita wakamnyima visa. Kumbe issue ilikua inaandaliwa
Taifa la marekani huwa naliona Kama Taifa la kishetani tu hapa duniani. Kwani Nani kawambia makonda ana uhitaji kwa kwenda kwenye nchi yao. Shenzi kabisa Serikali ya Trump wote Ni wahuni Hamna kiongozi wa maana[emoji35][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sio shabiki wa Makonda hata kidogo.
Jamaa anapenda kuvimba sana, majivuno na dharau ila kwa hatua hii ya kujadiliwa na serikali ya Marekani tena na Waziri wa mambo ya kigeni jamaa kawashinda viongozi wengi sana ndani ya Serikali na Upinzani.
Jamaa shujaa sana, namuonea wivu huyu mwamba.

Yaani mabeberu wanatumia kodi za mabeberu wenzao kumjadili Makonda!!
Makonda kavuka malengo ya umaarufu kisiasa, huenda hii ni turufu nzuri sana kwake siku za usoni.
 
Four senior Kenyan government officials and a businessman have been permanently banned from travelling to the United States over allegations of trafficking narcotics, the U.S. ambassador to Kenya said on Tuesday.
 
Back
Top Bottom