Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Yaani bwana mdogo wa mashenzini huko, kolomije! Bashite mpaka USA ya Pomps imemjua duuu! umaarufu huu! anakuna kichwa?

Wale mliozaliwa Ocean road mko wapi?
 
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
Unapiga makelele yote hayo shida yako ni kutetea Jiwe ?, wewe kama umekosa kazi yakufanya nenda ukalale, huyo Makonda wenu ni mwanzo tu, watafuata wengine, ni kweli tunafurahia hatua iliyochuliwa dhidi ya Makonda
 
[emoji2][emoji2] jeshi letu nini ?...nimecheka sana

Usinichonganishe jamaa we huonag kwenye maonyesho 🤣🤣🤣🤣, wanavunja matofali kwa miguu 🤣🤣🤣🤣 wanapanda kamba, sasa zikitumwa zile drones zisizoonekana itakuwaje ? 🤣🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkubwa wameamua kuanzia Mwishoni.......subiri wafike Mwanzoni utafurahi.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...so munamshukuru mtu ambaye kumpiga mtu mwingine kombora ni Kama kuangusha kikombe Cha kahawa.........
 
Nimecheka hiyo statement kisa cha Makonda kuzuiwa ni kea kupambana na ushoga kwenye statement wameandika marginalized people wamekwepa neno mashoga
Marginalized wewe unaelewa ni ushoga tu?hapo kweli inabidi ujicheke mwenyewe manake unastahili.
 
Ahsante yesu. Ule mnara wa Babeli mpaka ukafanya wajenzi washindwe kuelewana lugha zao, umeingia hapa Tanzania.
1. Watu walishakosa haki ya kuongoza, hasa wale waliochagua viongozi wao, Serikali inatumia mabavu kuwaondoa, mfano Tuendu Lissu, sasa Meya wa Dar.
2. Chaguo la wananchi limegeuka kuwa sumu ya wenye uchu wa madaraka, kila kitu wanaamua wao, bora nyie mabeberu muingilie kati sasa hivi watu wamegeuka wanafiki kwasababu ya njaa zao.
3. Badala ya kujadili jinsi ya kuboresha maisha ya watu, wanatumia vyombo vya serikali kama Bunge na taasisi nyingine kukandamiza haki. Mfano Bunge linatumia muda mwingi kujadili Zitto kabwe kisa kutetea watoto wanao kosa haki zao.huku ile mikopo italipwa na kodi zetu.
Mungu ingilia kati mpaka hawa mabeberu wafungue mashitaka ya uhalifu dhidi yao huko ze heiki.
 
Hii ndiyo ile "msukuma msukume arudi mwanza" [emoji23][emoji23]..natania tu
 
Marekani waweke tuu ushahidi tuvuane nguo rasmi
Marekani anafanya hivyo pale anapotaka kuiba tu, ila mwenyewe anapotezea wizi wa Trump kwa Hilary. Ndio maana mpaka leo wanahangaika kumtoa wameshindwa. Trump aliiba kura kwa msaada wa Urusi.
 
NCHI ZIPI HIZO ZA KWENDA???.Ukiwa blocked USA ina maana na washirika wa USA wanakuwa wameku block pia.

Nchi ziko nyingi duniani hapa mkuu, Afghanistan, Pakistan, Syria, Iran, Urusi, China, North Korea, SA, Namibia, Botswana, Zambia, Uganda, Madagascar, Mauritus, Comoro, Kenya, Misri, Moroco, Rwanda nk..yaani hapa ukizitaja zote server ya JF itazidiwa..

Pia mkuu Tanzania ni kubwa sana, ina mikoa zaidi ya 20, unaweza hata kwenda kuogelea Zenji pale miezi miwili, unaweza kwenda Kibiti, Kilwa, Mara, Tarime, Sitimbi, Ujiji nk..
 
Hizo propoganda za Makonda usije ukafa naye. Wewe jali familia yako ma maslahi ya nchi siasa hazitakusaidia. Hakuna watu wanaojua US kuliko sisi tunaoishi hapa achaneni na habari za mitandao. Sababu zote ziko kwenye barua
Yale yale ya wana jf na kasumba ya kuhisi mnawajua members kwa kuwaona tu humu tena wakiwa na ID fake. Kwamba mi habari hizi nazipatia mtandaoni so unajua nakoishi, maajabu..
 
Paul Makonda ndiyo aliwaweka ndani hao ndugu zako wa uamsho?

Trump juzi kamuua nduguyo Soleimani umesahau tayari?
Haijalishi ni situation gani dada

Hatuwezi kuwa na muuaji gaidi mtakatishaji,mshirika wa madawa ya kulevya anayewatesa upinzani na muuaji eti uje unambie nimtetee huyu mjalaana bashite anatakiwa aishie kuzimu kabisa ni mchafu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…