Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Baba keegan Anajinadi mlokoke angali mikono yake imejaa dam kwa kutesa na kuua idadi kubwa ya watu, for sure huyu atapelekwa ‘the hague’ ni suala la muda tuu
 
Usinichonganishe jamaa we huonag kwenye maonyesho 🤣🤣🤣🤣, wanavunja matofali kwa miguu 🤣🤣🤣🤣 wanapanda kamba, sasa zikitumwa zile drones zisizoonekana itakuwaje ? 🤣🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
😃😃
 
Warwanda ni Smart on brain,
Kama ulishawai kukaa na kufanya kazi na Rwandanian hawawezi kufanya huu ujinga et kutoka kwenda Marekani kuomba Mmarekani walete Matatizo nchini kwao.
Hakuna dictecta kama Kagame halafu anauwa Bila kuficha ila they tries to solves their problems themselves instead ya kuwaalika Wageni do you know why ?
Walishapata joto la jiwe 1994 they know ,
And they can't repeat the same mistakes.

US ni Aibu kupigana au kujibizana na Tz bali ni kupandikiza chuki tuuane sisi wenyewe , Don't be fool you guys ni sawa ukamwadisie Rafiki yako Matatizo ya mumeo / Mkeo atajifanya Mshauri ila akitoka hapo atatangaza Mtaa mzima

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni matatizo gani Rwanda wamesolve wenyewe as far as udikteta wa kagame is concerned?? Ndio maana hakuna kilichobadilika wanalalamika tu mwaka wa 27 sasa lakini bila external force Kagame hawezi kuangushwa. Hata wao waliangusha HUTU kwa msaada wa US kama ulikua hufahamu.

Kaua watu zaidi ya million 4 DRC!! Burundi amefanya genocide 1996, UG kaingilia siasa zake mpaka kaweka pandikizi kina Kayihura je ni lini Rwanda wamesolve tatizo lolote juu ya kagame?? Jibu ni HAKUNA kwahiyo usiwape sifa wasiyostahili.

Nikumbushe tu kwenye vita ya 1st and 2nd congo war Rwanda ilipokea silaha kutoka US kumng'oa Mobutu na baadae kabila je ni support gani ambayo hao Rwanda hawajapata kutoka US?
 
Nani amefanywa kuwa mtumwa wake? Na utumwa wa kivipi? Naomba nifafanulie.

Wewe kama umetumwa kuleta vurugu katika hii nchi usifikiri wewe na familia yako mtakuwa salama. Utakuwa wa kwanza kuzikwa au kujeruhiwa. Shauri lako.!

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kunitisha wewe maana nilishatishwa tangu enzi za Idd Amin Wala sikutishika, iwe kwa Interahamwe wa CCM!!!?
Kiongozi gani aliyepewa kura na Wananchi anawezaje kukaa kimya wakati watu wanauawa hovyo!!!?
 
In the end its all about who stands to loose more....

Ni chizi pekee anayeweza kuona fahari kunyanganyana kisu huku ameshika upande wa makali na mwenzake upande wa mpini....
Kuna Watu wanasema Kwani lazima kwenda Marekani...

Na ndio maana upinzani unaonekana umenyong'onyea coz ni ngumu kuvutana kisu Ukiwa umeshika makali...
 
Nimeona taarifa kwamba mkuu wetu wa mkoa ni kinara wa kukiuka haki za binadamu

Je C.I.A wamemchimba vya kutosha na wakawasilisha faili lake kwa Trump ? Kwa nini kama kweli wana ushahidi wasimpeleke ICC? Kama wao ni wanaume,tukutane ICC au watoe hati ya kumkamata

Na kama kuna mtu mnamtafuta ila mmeanzia mbali,mseme
Huo ndio mwanzo. Isishangae kusikia ana kesi za kujibu ICC. Huku namba moja bado ana mmbeba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@brittanica anatuhabarisha
Screenshot_20200201-112437.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo Jambo linataka kukuzwa bila sababu, hizi Ni tuhuma hakuna mahali Makonda kashitakiwa.

Ni vyema Makonda aombe kukutana na Balozi wa Marekani ili amweleze kosa lake ni Nini, na kama kuna tuhuma basi apewe muda azijibu.

Baada ya hapo iundwe time ya pamoja Kati ya Marekani na Tanzania ipitie tuhuma zake na suluhisho lake report ipelekwe pande zote mbili kwa utekelezaji.

Baadae Makonda aonane na Pompeo amuombe radhi kwa tuhumu za kweli na tuhuma za uongo amweleze kuwa amemsamehe kwani na yeye ni binadamu.

Hatuhitaji kugangamala kama Albashir, tunahitaji kuwa wanyenyekevu na wasikivu, huo ndio uungwana. Uhuru Kenyatta pamoja na kuwa ni Rais alienda ICC na akahudhuria kesi na Sasa Yuko huru.

Pompeo hajawahi onana na Makonda Wala hamjui Ni maneno ya kuambiwa tu.

Binafsi maovu ya Makonda siyajui, najua anahamasisha ujezi wa shule na zahanati. Anaendesha harambee za tiba za moyo kwa watoto. Anapambana na majizi na wala madawa ya kulevya. Anapambana na uzembe kazini.

Amueleze Pompeo kuwa Hawa wanaompiga vita ni wachuuzi wa madawa ya kulevya. Magenge ya wezi maarufu Kama panyaroad. Matapeli ya viwanja na wabadhirifu wa mali za umma.
 
.....sababu ni hiyo mipunga....ameidhulumu hak ya kuishi so baba la mipunga limempiga ban asiingie marekani sababu huku hatuitaki na MAKONDA ndiye aliyeongoza hiyo vita and that's why amempiga ban ya kuingia marekani tu na si vinginevyo......tumieni hiyo mibichwa yenu nyie Africans...
 
Back
Top Bottom