😃😃Usinichonganishe jamaa we huonag kwenye maonyesho 🤣🤣🤣🤣, wanavunja matofali kwa miguu 🤣🤣🤣🤣 wanapanda kamba, sasa zikitumwa zile drones zisizoonekana itakuwaje ? 🤣🤣🤣
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mzee wa msoga anawaangalia tu halafu anasema hiiiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hutakuja kusikia kitu kama hicho..soon wataitisha press kutaka kujieleza..kimsingi mavi yanagonga chupi na kurudi..
Sisi ni dona kantri..[emoji22][emoji22] bure kabisa..
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa, na watanzania wote diaspora wafukuzwe marekaniNa watalii wao wasije tutafanya utalii wa ndani.
Upuuzi mtupu..Trump kabanwa sasa anatafuta pa kutokea...inaonekana ile movie ya Iran haikuwasaidia kisiasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni matatizo gani Rwanda wamesolve wenyewe as far as udikteta wa kagame is concerned?? Ndio maana hakuna kilichobadilika wanalalamika tu mwaka wa 27 sasa lakini bila external force Kagame hawezi kuangushwa. Hata wao waliangusha HUTU kwa msaada wa US kama ulikua hufahamu.Warwanda ni Smart on brain,
Kama ulishawai kukaa na kufanya kazi na Rwandanian hawawezi kufanya huu ujinga et kutoka kwenda Marekani kuomba Mmarekani walete Matatizo nchini kwao.
Hakuna dictecta kama Kagame halafu anauwa Bila kuficha ila they tries to solves their problems themselves instead ya kuwaalika Wageni do you know why ?
Walishapata joto la jiwe 1994 they know ,
And they can't repeat the same mistakes.
US ni Aibu kupigana au kujibizana na Tz bali ni kupandikiza chuki tuuane sisi wenyewe , Don't be fool you guys ni sawa ukamwadisie Rafiki yako Matatizo ya mumeo / Mkeo atajifanya Mshauri ila akitoka hapo atatangaza Mtaa mzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kunitisha wewe maana nilishatishwa tangu enzi za Idd Amin Wala sikutishika, iwe kwa Interahamwe wa CCM!!!?Nani amefanywa kuwa mtumwa wake? Na utumwa wa kivipi? Naomba nifafanulie.
Wewe kama umetumwa kuleta vurugu katika hii nchi usifikiri wewe na familia yako mtakuwa salama. Utakuwa wa kwanza kuzikwa au kujeruhiwa. Shauri lako.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Watu wanasema Kwani lazima kwenda Marekani...In the end its all about who stands to loose more....
Ni chizi pekee anayeweza kuona fahari kunyanganyana kisu huku ameshika upande wa makali na mwenzake upande wa mpini....
Kama Wamarekani wamepiga marufuku viongozi wetu kwenda kwao na sisi tupige marufuku viongozi wao wasije Tanzania, hakuna namna.
Kitu ya ajabu kabisa hiyo jamaa imefikiriYaani Trump atafute pa kutokea kwa Makonda haa!
They have credible infomation soon mtasikia amekamatwa naFBIAiseee....Mike Pompeo kuandika habari mbaya kuhusu mtu kama Makonda ni kitu cha hatari sana. Makonda has to be careful. Na anaemkingikia kifua inabidi awe makini zaidi.....Ngoja tuone!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndio mwanzo. Isishangae kusikia ana kesi za kujibu ICC. Huku namba moja bado ana mmbebaNimeona taarifa kwamba mkuu wetu wa mkoa ni kinara wa kukiuka haki za binadamu
Je C.I.A wamemchimba vya kutosha na wakawasilisha faili lake kwa Trump ? Kwa nini kama kweli wana ushahidi wasimpeleke ICC? Kama wao ni wanaume,tukutane ICC au watoe hati ya kumkamata
Na kama kuna mtu mnamtafuta ila mmeanzia mbali,mseme
Huo Ni ujingaKama Wamarekani wamepiga marufuku viongozi wetu kwenda kwao na sisi tupige marufuku viongozi wao wasije Tanzania, hakuna namna.
A ✔Kati ya marekani na Tanzania unafikiri ninani anamuhitaji sana mwenzake??