Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Yani hawa buku za 7 wameishiwa hoja.
Kidogo wanakimbilia USHOGA. Sasa USHOGA mmeambiwa ninyi tu mmekataa mpaka mnawekewa mstari mwekundu?
Tena juzi Kenya wamegongelea na msumali kabisa, wamepitisha sheria ya kuruhusu ndoa za wake wengi, na kukataa ndoa ya jinsia moja. Yaani ushoga kwa kenya ni kosa la jinai, kisheria kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuuane kwa faida ya nani?? Nmeshaeleza wakitaka kutugombanisha hawahitaji kumuua Lissu ila wanatuminya misaada na vikwazo juu mpaka nchi inakua hali tete tunagawanyika na kuingia kwenye machafuko. Yaani huwezi mchonganisha ombaomba wakati ukimnyima mia tu ni adhabu tosha.

Kuhusu Zitto kuomba msaada kwa mabeberu..... Nadhani umeona internal pressure haijazaa matunda kuwaamsha watawala na muda umeisha, ssa Zitto afanyeje?? Kwahiyo afe kisiasa na upinzani ufe kisa tu uzalendo??

Mkuu it's a game of power..... Hata Nyerere alipotaka kupinduliwa aliwaomba msaada mabeberu kutuliza hali, ila Zitto anageuka msaliti!! Mandela naye aliomba msaada kwa mabeberu kuiwekea vikwazo South Africa je naye alikua msaliti??

Let's be real wakuu, Zitto and whoever alietuchongea kwa mabeberu had no choice.
 
Marekani sio mwanachama wa icc hawezi kumshitaki makonda
 
Kwani baba jesca yeye kasemaje kuhusu hili?
Sisi ni matajiri kwann USA anatufanyia huo ujinga? Kwanini tusitumie utajiri wetu kumshikisha adabu USA?
Dona kantri tufanyeni kitu [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Bashite ataongea nini na Pompeo.
 

Haya ni matumizi mabaya ya Maneno...
Eti haki yake kwenye madini,,,
Giza kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…