masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Lile tako la gavana unadhani ni kwa sababu gani? Huoni hata watoto wa-USA wanamsaidia kupandikiza kwa mkewwSwala la bwana Makonda kula ban abroad linajulikana ni kuhusu kukemea ushoga na kuonyesha nia ya kupambana na madawa ya kulevya.
Msibabaike na vihabari uchwara vya Marekani ya Kaskazini huko hawana jipya dunia inawajua sasa hawana pa kujifichia.
Hata ningekuwa mimi nakuapia ningewanyoosha zaidi ya alivyofanya bwana Makonda kuhusu ushoga na madawa ya kulevya.
Rejea kisa cha bwana El Chap (Raia wa Mexico) kukamatwa na Marekani na jinsi mjinga Marekani alivyotaka kuidanganya dunia kuhusu huyo faza na mikakati yake.
Mwisho sio kwa umuhimu; Ugomvi au kutokuelewana baina ya chama na chama au mtu/ watu na mtu/ watu ndani ya nchi ni sawa na ugomvi wa Mke na Mume ndani ya nyumba hawapaswi Marekani kutuingilia mambo yetu.
Dunia hii ina nchi nyingi sana na nzuri tu za kufanya nazo maisha hata Marekani akijishebedua alale mbele hakuna mtu mwenye time naye mshenzi yule.
Kwa hiyo mtafanyaje?Mbona USA ilimnyima haki ya kuishi yule jenerali wa IRANI?Tusiwe kasuku
Yaani mtu anakaa kwenye lile ghala pale ufipa anaandika vimaneno alafu anajiita Pompeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani Makonda aue hata raia mmoja wa US ili Navy Seal waje kuhitimisha utawala wa Shetani mkubwa CCMHuo ndio ukweli Mkuu. Lakini kuna watu hapa kwa makusudi kabisa wanataka kuwapotosha Watanzania wajikite kwenye kudhani Makonda anazuiwa kwa sababu ya msimamo wake mambo ya ushoga. Ukweli ulio wazi ni kwamba USA wanamtuhumu Makonda kuhusika na kuua watu. Sasa watu gani Makonda kahusika kuwaua? Hilo ndilo swali Watanzania tunapasa kuwashikia bango USA watufafanulie.
Wamesema wana credible evidence/information. Don't underestimate the power of udunguaji. Kama DAB na wenzie wanadhani wanaweza kudukua private call za akina Kinana, wajue kuna watabe zaidi yaoHilo Jambo linataka kukuzwa bila sababu, hizi Ni tuhuma hakuna mahali Makonda kashitakiwa.
Tanzania hakuna serikali wewe pimbi hilo ni genge la vibaka tupuSasa kumnyima Visa ya kuingia Marekani ndo watazuia juhudi zake na serikali kupiga vita madawa ya kulevya na genge la madawa ya kulevya paomoja na ushoga? Ataendelea tena kwa saana kwasababu amewashika pabaya! Moja ya mikakati ya USA ni kuungana na magenge ya uhalifu wa kimataifa kuzinyongonyeza nchi masikini ili wapore mali na utajiri wa nchi za kiafrica. Moja ya mbinu inayozitumia marekani ni pamoja na kusupport magenge ya madawa ya kulevya kuingizwa katika nchi masikini kuharibu vizazi ili kutengeneza mwanya wa kuzipora rasilimali zao!
Bahati nzuri KCMC wameanza hiyo procedureSasa jamaa mtoto wa pili atapandikiza wapi
Nani aliyekwambia umtetee?Haijalishi ni situation gani dada
Hatuwezi kuwa na muuaji gaidi mtakatishaji,mshirika wa madawa ya kulevya anayewatesa upinzani na muuaji eti uje unambie nimtetee huyu mjalaana bashite anatakiwa aishie kuzimu kabisa ni mchafu kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ngumu sana jambo kwa ujeuri linaweza kufanyika ila ni ngumu kupinga diplomacy relationship na taifa kama marekani ukizingatia ww ndo taifa chipukizNategemea kusikia kesho Balozi wa Tanzania nchini Marekani karejea Tanzania na wa Marekani nchini Tanzania kareja Marekani.
Swali la kujiuliza kabla ya kuwataka Wamarekani watuthibitishie. Je ni kweli Paul Makonda kayatenda?? Je kwa maagizo au faida ya nani?? Je kwa niaba yake mwenyewe au kwa niaba ya Serikali??Huo ndio ukweli Mkuu. Lakini kuna watu hapa kwa makusudi kabisa wanataka kuwapotosha Watanzania wajikite kwenye kudhani Makonda anazuiwa kwa sababu ya msimamo wake mambo ya ushoga. Ukweli ulio wazi ni kwamba USA wanamtuhumu Makonda kuhusika na kuua watu. Sasa watu gani Makonda kahusika kuwaua? Hilo ndilo swali Watanzania tunapasa kuwashikia bango USA watufafanulie.
Kuuwa ni kuuwa iwe. Kitaifa au Kimataifa.Kichwa ngumuu kama nazi niliposema wapinzani wake kisiasa sijaongelea ktk anga za kimataifa!!!
Akili zako na bashite ni sawa na sahani na kawa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja yako haina mashiko kwani hata ww mwenyewe unafahamu fika matendo ya Paul Makonda. Wala usipindishe hoja abebe mzigo wake mwenyewe. Na Serikali ikifanya mzaha itajikuta imezama kwenye seke seke hili.Sasa kumnyima Visa ya kuingia Marekani ndo watazuia juhudi zake na serikali kupiga vita madawa ya kulevya na genge la madawa ya kulevya paomoja na ushoga? Ataendelea tena kwa saana kwasababu amewashika pabaya! Moja ya mikakati ya USA ni kuungana na magenge ya uhalifu wa kimataifa kuzinyongonyeza nchi masikini ili wapore mali na utajiri wa nchi za kiafrica. Moja ya mbinu inayozitumia marekani ni pamoja na kusupport magenge ya madawa ya kulevya kuingizwa katika nchi masikini kuharibu vizazi ili kutengeneza mwanya wa kuzipora rasilimali zao!
Hivi hako ka.katazo kao ka.green card nako kanatuhusu? Kuna watanzania wangapi wanakacheza?
Alimpiga kibao Mzee Warioba hakumpiga?? Laana huwa haiji ghafula. Acha avune alichopanda.Katazo hili kwa kiasi kikubwa tunaweza kusema ni kuhusu kauli zake kwenye mambo ya ushoga. Tangu atoe lile tamko la kukurupuka, nchi za Magharibi hazikufurahishwa kabisa.
Haya mengine wameyaweka tu kwani wanajua wangesema tu ni ushoga basi wananchi wengi wange-react negatively! Tusidanganyane eti wamekasirishwa na manyanyaso yake kwa raia. All in all, wakulaumiwa hapa ni rais mwenyewe.
Huyu Makonda alikwishaonyesha kabisa ni mtu asiye na busara ya uongozi, hafanyi kazi yoyote bali ni msanii na mabovu mengine mengi lakini kwa sababu anazojua aliyemteua hataki kumwondoa. Hata wananchi wengi wa Tanzania hawampendi na Makonda mbaya zaidi anasababisha chuki kati ya serikali na wananchi.
Amini au usiamini! Tamko la Pompeo aliloliweka masaa 18 yaliopita kwnye account yake ya TWITTER limepata Reply 1179.Yaani mtu anakaa kwenye lile ghala pale ufipa anaandika vimaneno alafu anajiita Pompeo
Sent using Jamii Forums mobile app