Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Jambo lililonisikitisha sana.
Na nafikiri binadamu yoyote lingemsikitisha ni kumuabisha piere ile siku ya event ya jokate.
Roho iliniuma sana na mpaka kesho aisee..ule sio ubinadamu
 
Swala la bwana Makonda kula ban abroad linajulikana ni kuhusu kukemea ushoga na kuonyesha nia ya kupambana na madawa ya kulevya.

Msibabaike na vihabari uchwara vya Marekani ya Kaskazini huko hawana jipya dunia inawajua sasa hawana pa kujifichia.

Hata ningekuwa mimi nakuapia ningewanyoosha zaidi ya alivyofanya bwana Makonda kuhusu ushoga na madawa ya kulevya.

Rejea kisa cha bwana El Chap (Raia wa Mexico) kukamatwa na Marekani na jinsi mjinga Marekani alivyotaka kuidanganya dunia kuhusu huyo faza na mikakati yake.

Mwisho sio kwa umuhimu; Ugomvi au kutokuelewana baina ya chama na chama au mtu/ watu na mtu/ watu ndani ya nchi ni sawa na ugomvi wa Mke na Mume ndani ya nyumba hawapaswi Marekani kutuingilia mambo yetu.

Dunia hii ina nchi nyingi sana na nzuri tu za kufanya nazo maisha hata Marekani akijishebedua alale mbele hakuna mtu mwenye time naye mshenzi yule.
Lile tako la gavana unadhani ni kwa sababu gani? Huoni hata watoto wa-USA wanamsaidia kupandikiza kwa mkeww
 
Huo ndio ukweli Mkuu. Lakini kuna watu hapa kwa makusudi kabisa wanataka kuwapotosha Watanzania wajikite kwenye kudhani Makonda anazuiwa kwa sababu ya msimamo wake mambo ya ushoga. Ukweli ulio wazi ni kwamba USA wanamtuhumu Makonda kuhusika na kuua watu. Sasa watu gani Makonda kahusika kuwaua? Hilo ndilo swali Watanzania tunapasa kuwashikia bango USA watufafanulie.
Natamani Makonda aue hata raia mmoja wa US ili Navy Seal waje kuhitimisha utawala wa Shetani mkubwa CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo Jambo linataka kukuzwa bila sababu, hizi Ni tuhuma hakuna mahali Makonda kashitakiwa.
Wamesema wana credible evidence/information. Don't underestimate the power of udunguaji. Kama DAB na wenzie wanadhani wanaweza kudukua private call za akina Kinana, wajue kuna watabe zaidi yao
 
Sasa kumnyima Visa ya kuingia Marekani ndo watazuia juhudi zake na serikali kupiga vita madawa ya kulevya na genge la madawa ya kulevya paomoja na ushoga? Ataendelea tena kwa saana kwasababu amewashika pabaya! Moja ya mikakati ya USA ni kuungana na magenge ya uhalifu wa kimataifa kuzinyongonyeza nchi masikini ili wapore mali na utajiri wa nchi za kiafrica. Moja ya mbinu inayozitumia marekani ni pamoja na kusupport magenge ya madawa ya kulevya kuingizwa katika nchi masikini kuharibu vizazi ili kutengeneza mwanya wa kuzipora rasilimali zao!
Tanzania hakuna serikali wewe pimbi hilo ni genge la vibaka tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haijalishi ni situation gani dada

Hatuwezi kuwa na muuaji gaidi mtakatishaji,mshirika wa madawa ya kulevya anayewatesa upinzani na muuaji eti uje unambie nimtetee huyu mjalaana bashite anatakiwa aishie kuzimu kabisa ni mchafu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani aliyekwambia umtetee?

Au umeona nimemtetea popote? Au unakurupuka tu?
 
Hivi Pompi Pompeollo ndio nani jameni manake leo naona kawatisha balaa...ha ba ha pompiiiii pompeeee pompeoooo
 
Huo ndio ukweli Mkuu. Lakini kuna watu hapa kwa makusudi kabisa wanataka kuwapotosha Watanzania wajikite kwenye kudhani Makonda anazuiwa kwa sababu ya msimamo wake mambo ya ushoga. Ukweli ulio wazi ni kwamba USA wanamtuhumu Makonda kuhusika na kuua watu. Sasa watu gani Makonda kahusika kuwaua? Hilo ndilo swali Watanzania tunapasa kuwashikia bango USA watufafanulie.
Swali la kujiuliza kabla ya kuwataka Wamarekani watuthibitishie. Je ni kweli Paul Makonda kayatenda?? Je kwa maagizo au faida ya nani?? Je kwa niaba yake mwenyewe au kwa niaba ya Serikali??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni adhabu ni sawa na ‘a slap on the wrist’ it is very minimal,as far as US sanctions go uoni madhara yeyote kwa serikari.

But it is a warning serikari iache kuangaika na the likes of Kabendera, viongozi kuropoka ovyo na kuangaika na vikao vya ndani vya upinzani.
 
Sasa kumnyima Visa ya kuingia Marekani ndo watazuia juhudi zake na serikali kupiga vita madawa ya kulevya na genge la madawa ya kulevya paomoja na ushoga? Ataendelea tena kwa saana kwasababu amewashika pabaya! Moja ya mikakati ya USA ni kuungana na magenge ya uhalifu wa kimataifa kuzinyongonyeza nchi masikini ili wapore mali na utajiri wa nchi za kiafrica. Moja ya mbinu inayozitumia marekani ni pamoja na kusupport magenge ya madawa ya kulevya kuingizwa katika nchi masikini kuharibu vizazi ili kutengeneza mwanya wa kuzipora rasilimali zao!
Hoja yako haina mashiko kwani hata ww mwenyewe unafahamu fika matendo ya Paul Makonda. Wala usipindishe hoja abebe mzigo wake mwenyewe. Na Serikali ikifanya mzaha itajikuta imezama kwenye seke seke hili.

Serikali inapaswa kujiweka kando na pia kujitafakari juu ya mienendo ya baadhi ya Watendaji wake. Pamoja na kuwa tayari imeshapakwa doa na Makonda basi isijichafue zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katazo hili kwa kiasi kikubwa tunaweza kusema ni kuhusu kauli zake kwenye mambo ya ushoga. Tangu atoe lile tamko la kukurupuka, nchi za Magharibi hazikufurahishwa kabisa.

Haya mengine wameyaweka tu kwani wanajua wangesema tu ni ushoga basi wananchi wengi wange-react negatively! Tusidanganyane eti wamekasirishwa na manyanyaso yake kwa raia. All in all, wakulaumiwa hapa ni rais mwenyewe.

Huyu Makonda alikwishaonyesha kabisa ni mtu asiye na busara ya uongozi, hafanyi kazi yoyote bali ni msanii na mabovu mengine mengi lakini kwa sababu anazojua aliyemteua hataki kumwondoa. Hata wananchi wengi wa Tanzania hawampendi na Makonda mbaya zaidi anasababisha chuki kati ya serikali na wananchi.
Alimpiga kibao Mzee Warioba hakumpiga?? Laana huwa haiji ghafula. Acha avune alichopanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mtu anakaa kwenye lile ghala pale ufipa anaandika vimaneno alafu anajiita Pompeo

Sent using Jamii Forums mobile app
Amini au usiamini! Tamko la Pompeo aliloliweka masaa 18 yaliopita kwnye account yake ya TWITTER limepata Reply 1179.
Retweet : 2032.
Like : 6703 na baado watu wanaendele kuchangia huko TWITTER
Screenshot_20200201-155731.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom