Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

😂😂😂 hawakurupuki inawezekana wana mpaka picha za matukio
 



🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ndugu Pascal Mayala kiukweli wewe kuja na maoni Kama hayo sishangai, inawezekana Bwana Makonda ni wa KUNYUMBA, hata mimi ingekua aliefanyiwa ni MZARAMO mwenzangu ningekuja na kauli Kama ya kwako pila kujali sababu Pompeo iliyo mfanya amwekee ziwiyo Kama Hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nchi tukiwa na wajinga watatu kamawewe tumekwiiisha!!
Huyo si mjinga hata kidogo bali ni mpumbavu. Elimu alipata lakini hakuelimika. Alifanikiwa kujua kkk tu, maarifa hayakuongezeka. Hiyo id yake tu inaonyesha alienda shule. Jina hilo kulijua ni kwamba uwe umesomea utabibu - nigrastratatract! Lakini ni aibu tupu kwa profession hiyo. Pengine kwa sababu ya ugumu wa hiyo taaluma na alikwenda kwa sababu asizozijua hata yeye mhusika amemex! Uwezo kwenye hiyo taaluma hana hivyo lazima kulamba miguu kuambulia uratibu tibi na ukoma wilaya. Ni mpumbavu mtia kichefuchefu.
 
Fragrance denial of the right to life....


Kaka si unajua Mm nliishia la 6 B pale Buguruni Malapa Primary School... Hiyo kauli inamaanisha nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
You don't USA and what you are advising the government! Hujui makao makuu ya UN yapo Washington? We need USA more than they need Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katazo ni sababu ya ushoga. Kama ni ukiukaji wa haki za binadamu kuna nchi nyingi sana zingekaliwa kooni. Nchi za Magharibi kunyanyasa mashoga ni jambo ambalo wana-mind sana sana siku hizi. Sheria zetu za ushoga ni zilezile kwenye awamu zote ila alichoharibu Makonda ni kupayuka hovyo kwa kutaka sifa! Hapo ndipo alipowasha moto uliolala. Unakumbuka uchaguzi wa Zanzibar kipindi cha Mkapa? Waliuawa watu wangapi? Unakumbuka uchaguzi wa Zanzibar uliopita? Hawakusebu kura na walipoona Shein anashindwa wakaacha kuhesabu tena mchana kweupe huku mataifa yote yakiangalia? Ni nini kilifanyika? Kwa kifupi Makonda ameponzwa na kutaka sifa na kukosa busara kwake. Aliyemteua inabidi afikiri mara mbilimbili kwani dalili zinaonyesha anaweza kuja kuleta matatizo ambayo hayakutegemewa. Makonda hana busara za kiuongozi na amejaa kiburi na kulewa madaraka kisi ambacho ni very unpredictable!
 
Issue sio ushoga,nadhani wako very clear kwenye statement yao!Uhalifu dhidi ya binadamu ndio issue hapa!
Ninyi mnaosema ushoga mmetoa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…