Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

HAWEZI KUTU NISHIA MISULI NA TAIFA KUBWA KAMA MAREKANI. JESHI LENYEWE HATUNA MAANA NYERERE ALIKUFA NA JESHI LAKE.
PLEASE MAGUFURI MTUMBUR KABUDI HARAKA SANA
 
Ninachofarijika zaidi ni kuwa wengine wametangulia. Na wewe utakufa/utafariki tu. The probability of any Human being to dieing is 1
Kwa hiyo B.Saanane ameshakufa? Wapi imethibitishwa na amezikwa wapi? Isijekuwa Marangu mmetoa kafara Mrombo wa watu na kumsingizia Makonda!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo hapo...kasema wasipoondoa hivyo vikwazo basi serikali yetu nayo itajibu kwa kwenda kuwachukua na kuwarudisha akina Nyani Ngabu nchini.View attachment 1343585
Hahahahah!!! Eti " kuwarudisha akina Nyani Ngabu" asee umenichekesha, yani poropesa amchomowe Nyani Ngabu kwenye maboksi yake? Ngabu utakubali kupanda bombadiee bila hata begi la mgongoni na raba mtoni kweli? Hahahahaha!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usipotoshe! BBC wanaonyesha kuwa Makonda “among” the things he has been doing! There are A plethora of sadistic acts
 
Makonda (Bashite), ana future mbaya mno, labda hayo mapepo yamemfunika hawezi tu kuona.

Kama ni kweli alishiriki kwenye hayo mauaji na hata lile jaribio lililofeli la kutaka kumuua Tundu Lissu hatakaa aone uzee wake na hata akiuona hataufurahia.

Akipona kufungwa jela kwa sababu ya mfumo mbovu wa sheria tuliyonao basi mwisho wake unaweza kuwa kama wa Yuda Iscariot.

Makonda is now nothing but a pariah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…