Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Ila wamechelewa sana BASHITE katuumiza watanganyika sana.
Kila nikimuangalia Magufuli nashindwa kumuelewa kabisa, ubabe wake wote amekua Rais DHAIFU kwa hiki kiumbe.
Ila wamechelewa sana BASHITE katuumiza watanganyika sana.
Kila nikimuangalia Magufuli nashindwa kumuelewa kabisa, ubabe wake wote amekua Rais DHAIFU kwa hiki kiumbe.
Uchawi mbaya sana
 
Naamini kuna jambo wamarekani waliona kwa makonda,sisi watanzania tumefichwa,ipo siku litaanikwa ngoja tusubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…