Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye video ya Gwajima sijui...Hakuna siku niliyofurahi Kama hii baada ya US secretary of state kum blacklist Makonda Kama mtu hatari asiyetakiwa kukanyaga ktk taifa hilo kubwa Duniani kuliko yote..
Ni Makonda amekuwa akitumia madhabahu za Kanisa la Mungu kujifanya kwamba yeye ni mcha Mungu kumbe ni mtu aliyejaa uovu wa kila aina .
CIA wana ushahidi wote jinsi Makonda alivyohusika ktk mission ya mauaji ya Ben Saanane na jaribio la mauaji ya Tundu Lissu yaliyofeli .
CIA wana ushahidi wote jinsi alivyohusika ktk kutengeneza Photoshop video ya kumchafua Mtumishi wa MUNGU Gwajima .
CIA wana ushahidi wote jinsi alivyohusika na mauaji ya mamia ya watu waliokuwa wakitoswa Baharini na mto Ruvu .
Lakini lengo la Marekani siyo Makonda, bali mfadhili wake, huyu ndiye hasa wanayemtafuta kwa udi na uvumba..
Tumemwomba sana Mungu ili Haya mambo yafike tamati, hatimaye muda umefika sasa. ..
Moto umewaka, taratibu utaunguza kila kilichokusudiwa.
Nimeshaandika mara nyingi humu kuwa Damu isiyo na hatia inamlilia Mungu ikidai kisasi.
Damu ya Azory Gwanda, Damu ya Alphonce Mawazo, Damu ya Ben Saanane na wengine wengi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh...!
P
Mwambie shosti yako Bashite naye aipige ban USA isikanyage Dar...Mbona USA ilimnyima haki ya kuishi yule jenerali wa IRANI?Tusiwe kasuku
wewe ni shoga pamoja na baba akoKubenea(mbunge wa chadema) : Ben Saanane anaonekana kwenye vijiwe vya kahawaView attachment 1343703
Sent using Jamii Forums mobile app
Usisahau pia huyo huyo beberu anataka mkyundu wako utumike ndivyo sivyo....Wewe hujiewi kabisa na nadhani huwa zunakutoka mala 4 kwa week
Huyo unayemwita Beberu unachuku condom
Huyo unayemwita Beberu anakupa dawa za ARV
Huyo unayewita Beberu anavitabu vingi mashureni vimeandikwa not for sale
Hiyo ni kwa uchache tu
Yani wewe hujitambui takataka kabisa nadhani usha tumbukia chooni ukaopolewa na akiri zikakuruka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona haujamtaja kamanda chacha wangwe? Jaribio la kumuua Kagenzi aliyekuwa mlinzi wa Dr.slaa.Hakuna siku niliyofurahi Kama hii baada ya US secretary of state kum blacklist Makonda Kama mtu hatari asiyetakiwa kukanyaga ktk taifa hilo kubwa Duniani kuliko yote..
Ni Makonda amekuwa akitumia madhabahu za Kanisa la Mungu kujifanya kwamba yeye ni mcha Mungu kumbe ni mtu aliyejaa uovu wa kila aina .
CIA wana ushahidi wote jinsi Makonda alivyohusika ktk mission ya mauaji ya Ben Saanane na jaribio la mauaji ya Tundu Lissu yaliyofeli .
CIA wana ushahidi wote jinsi alivyohusika ktk kutengeneza Photoshop video ya kumchafua Mtumishi wa MUNGU Gwajima .
CIA wana ushahidi wote jinsi alivyohusika na mauaji ya mamia ya watu waliokuwa wakitoswa Baharini na mto Ruvu .
Lakini lengo la Marekani siyo Makonda, bali mfadhili wake, huyu ndiye hasa wanayemtafuta kwa udi na uvumba..
Tumemwomba sana Mungu ili Haya mambo yafike tamati, hatimaye muda umefika sasa. ..
Moto umewaka, taratibu utaunguza kila kilichokusudiwa.
Nimeshaandika mara nyingi humu kuwa Damu isiyo na hatia inamlilia Mungu ikidai kisasi.
Damu ya Azory Gwanda, Damu ya Alphonce Mawazo, Damu ya Ben Saanane na wengine wengi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao unaowataja hujui kama walikuwa madikteta? Na kiongozi akishakuwa dikteta unajua anaua watu wangampi wanaomkosoa na kumpinga? Kwahiyo wewe ulitaka wawaache tu waendelee kuangamiza watu wasiokuwa na hatia?Wamarekani ni watu hovyo sana,hivi wapi uishi tulia na na Magenge yao kumuua Gadafi hiyo sio haki ya kunyima mtu yake ya kuishi,Sadam Hussei naye hakustaili kuishi,Nadhani kuna kitu wanatafta tu sio maswala ya haki,wao ni wavunjifu wa hizo haki duniani kote.
Sasa kumnyima Visa ya kuingia Marekani ndo watazuia juhudi zake na serikali kupiga vita madawa ya kulevya na genge la madawa ya kulevya paomoja na ushoga? Ataendelea tena kwa saana kwasababu amewashika pabaya! Moja ya mikakati ya USA ni kuungana na magenge ya uhalifu wa kimataifa kuzinyongonyeza nchi masikini ili wapore mali na utajiri wa nchi za kiafrica. Moja ya mbinu inayozitumia marekani ni pamoja na kusupport magenge ya madawa ya kulevya kuingizwa katika nchi masikini kuharibu vizazi ili kutengeneza mwanya wa kuzipora rasilimali zao!