Mambo ya vitani yaache huwezi linganisha na akina Lissu.Mbona USA ilimnyima haki ya kuishi yule jenerali wa IRANI?Tusiwe kasuku
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya vitani yaache huwezi linganisha na akina Lissu.Mbona USA ilimnyima haki ya kuishi yule jenerali wa IRANI?Tusiwe kasuku
Nyuki wakifukizwa moshi huishia kuchanganyikiwahivi siprian msiba anasemaje!!
Kwani Roma kesharudi bongo[emoji848]
....ok nimekumbuka tuliambiwa Hana elimu ya kutosha kuongea na wasomi....tuendelee na mjadala.
Ogopa sana watu wenye technology yao, maovu yanayotendeka yote wanayajua,hapa Makonda mwenyewe analijua hilo damu zisizo na hatia zitamuandama sana
Hatuna wachungaji nchi hii,ni wa kuhesabu sana wengine wote ni wachumia tumbo tu,aibu wanayoipata sasa baada ya kumtetea na kumsafisha wanajua wenyeweMkuu huyu si anashinda madhabahuni akila na wachungaji, Wachungaji hawakuona hili kupitia upako wao
Kusikia Kwa Kenge Hadi Atoke Damu Puani Na MasikioniSikio la kufa halisikii sawa!!
Mwambie hivi kama Marekani wanachukizwa na vita ya madawa ya kulevya ajaribu yeye kwenda nayo ili aone vita ya madawa kule ikoje.Hivi kuzuia madawa ya kulevya kwa nguvu zote ndio unakotafsiri kuwanyima watu haki ya kuishi? Yaani kwa busara zako unaona USA watakukatalia visa kwenda kwao kwa kuwa unaongooza vita dhidi ya madawa ya kulevya? Au kukataza ushoga ni kumnyima mtu haki ya kuishi?
Hivi watu mna uziwi wa kiasi gani?
Jaribu kutumia akili Mkuu, usitumie makalio. Huyo ameua akina Saa nane, Azory gwanda na wengineo wengi tu. Unataka tuseme mara ngapi hapa?Sasa kumnyima Visa ya kuingia Marekani ndo watazuia juhudi zake na serikali kupiga vita madawa ya kulevya na genge la madawa ya kulevya paomoja na ushoga? Ataendelea tena kwa saana kwasababu amewashika pabaya! Moja ya mikakati ya USA ni kuungana na magenge ya uhalifu wa kimataifa kuzinyongonyeza nchi masikini ili wapore mali na utajiri wa nchi za kiafrica. Moja ya mbinu inayozitumia marekani ni pamoja na kusupport magenge ya madawa ya kulevya kuingizwa katika nchi masikini kuharibu vizazi ili kutengeneza mwanya wa kuzipora rasilimali zao!
Hao sio wachungaji ni wajasiliadini,wapigaji na wahujumu uchumi kwani hawalipi kodi zetuMkuu huyu si anashinda madhabahuni akila na wachungaji, Wachungaji hawakuona hili kupitia upako wao
Huyu Roma atakiwa JasusiRoma alipeleka Flash disc iliyosheheni ushahidi kule USA