Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Inafurahisha na kukereketa sana mwanaume kumvimbia mwanaume mwenzake! Hahhahhaa umaskni ni mbaya sn jaman wapi Ndugai jaman🤣! Wapi Lusinde? Mko wapiii😸😸
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawe alumniNaomba uwa tag wote kwenye uzi huu,labda bado hawajapata habari🙂
Kwa Nini umeamua kumjibu lakn? Yeye kwa akili yake ana mainisha kama Marekani inauwa inaowaita watu hatari wanao ratibu magenge ya ugaidi middlle East basi ni halali pia Bashite kuwauwa watanzania wakosoaji. Rejea "Roma atapatikana Jpili" pia ujue kuwa Bashite alivamia studio clouds na Askari wa Ikulu halafu Nape alipotaka kufatilia kwa kina akafukuzwa kazi na alipotaka kuongea na umma akatishiwa bastola.Usimfananishe General wa iran na vitu vya kipuuzi, and mind you marekani ukizidi kua threat kwao lazima waku eliminate
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamekanusha na Serikali haiwezi sema ujinga kama huoTumeanza hivi!!...Kisa tuliweza kutatua swala la ndege Canada, tumejimwambafy na kudhani mbinu hizo zinatumika kwenye kila kitu.View attachment 1344128
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikusaidie kuwaitaKawe
Kawe alumni
Jingalao
Myoyabendi
ISIS
Subiri kwanza wamalize kukanyagwa akili kama wale Wenzangu wa hapo mjini Moshi walivyokanyaga mafuta wakateleza mpaka wakakanyagana.Wakuu, habari
Naona IDs zote za CCM hazimtetei makonda au kumpa pole kwa kuzuiwa kuingia marekani kuna nini kimetokea?, wamemzilia?, mwenye taarifa atuambie
NamnukuuLeMutuz nae hajatoa tamko tu
Sent from my ONEPLUS A5010 using Tapatalk
Ngoja tumwite Yuko Facebook william malechelaLeMutuz nae hajatoa tamko tu
Sent from my ONEPLUS A5010 using Tapatalk
Alisema hawajali maana ataenda Burigi na ChattleLeMutuz nae hajatoa tamko tu
Sent from my ONEPLUS A5010 using Tapatalk
Wamuondolee ulinzi tu utaona mbona watu tupo tayari kabsa ni swala la mda tuBasi na nyie wawekeeni vikwazo. Lakini pia angalia USA hawakuficha juu ya hilo. Basi Makonda nae aweke wazi nani kamnyima haki ya kuishi.
Na usisahau kwa Makonda ni jambo linalohusu Watanzania wenzetu
Kabudi anaelewa kuwa Makonda hatakiwi nina hakika kabudi angekuwa boss wake angemfukuza ila sasa anamtetea tu kwani hana la kufanya isipokuwa unafiki.Habari jukwaa hili,,
Hili swala la waziri wa Tanzania kuwa na mjadala na USA kuhusu Ban ya Makonda kutokusafiri kwenda USA limekuwa hot topic kwa sasa.Swala hili limefikia hatua ya Tanzania kutishia kuwaamuru Wamarekani kuondoka nchini!!....Kweli!!?, Kisa Makonda na baadhi ya viongozi kukatazwa kwenda Marekani!
Kabudi anashindwa kufanya opportunity cost; athari za kuwaondoa Wamarekani Tanzania ni kubwa kuliko Makonda kutokwenda Marekani. Na tuna watanzania walipa kodi wanaofanya shughuli zao huko Marekani ambao nao itabidi warudi nchini. Miradi na uhusiano wa nchi hizi utakufa.
By the way, Makonda anaenda USA kufanya nini?....kama ni maswala binafsi hamna haja ya serikali ya Tanzania kuingilia katazo lako (ni kati ya Makonda na USA) sio Mkuu wa Mkoa wa Dar na USA. Kama ni shughuli za serikali (shughuli gani ambazo mkuu wa mkoa WA DAR anaenda kuwakilisha nchi ambayo walipa kodi hatuijui?), kwanini serikali isimtume waziri mkuu?.
Wapo Watanzania wengi ambao wamekatazwa kusafiri kwenda nchi za nje, what makes Makonda so special mpaka nchi ingilie kati swala hili?
Kuna mambo mengi muhimu ya kushughulikia kwenye nchi hii sio swala la kulazimisha Makonda aruhusiwe kwenda Marekani.
Swali muhimu: Serikali ya Tanzania inamtetea Makonda kama Mkuu wa Mkoa wa Dar au kama raia wa Tanzania?
Sent using Jamii Forums mobile app
ID Hazimtetei Kwakuwa Kuna Usemi Usemao Huu Sasa Ni Wakati Wa "Nyani Kumkana Mwanaye "
Mtoto Mdogo Wa Nyani Hubebwa Tumboni Muda Wote Hadi Awe Mkubwa
Ikitokea Kwa Bahati Mbaya Ama Nzuri Akaanguka Mara Wanapokimbizwa Kamwe Mama Hampokei Tena