Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Aisee


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hapo kwenye video ya Gwajima sijui...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usisahau pia huyo huyo beberu anataka mkyundu wako utumike ndivyo sivyo....
 
Wamarekani ni watu hovyo sana,hivi wapi uishi tulia na na Magenge yao kumuua Gadafi hiyo sio haki ya kunyima mtu yake ya kuishi,Sadam Hussei naye hakustaili kuishi,Nadhani kuna kitu wanatafta tu sio maswala ya haki,wao ni wavunjifu wa hizo haki duniani kote.
 
Kama issue ni ushoga, basi hakuna nchi Afrika ya Mashariki ambayo inatesa mashoga kama Uganda. Kama shida ni Ushoga, kwanini Uganda haikuguswa?
 
Mkuu mbona haujamtaja kamanda chacha wangwe? Jaribio la kumuua Kagenzi aliyekuwa mlinzi wa Dr.slaa.

Vipi jaribio la kumpa sumu zitto kule bagamoyo?
 
Hao unaowataja hujui kama walikuwa madikteta? Na kiongozi akishakuwa dikteta unajua anaua watu wangampi wanaomkosoa na kumpinga? Kwahiyo wewe ulitaka wawaache tu waendelee kuangamiza watu wasiokuwa na hatia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wametumia diplomasia lah wangesema muuaji!! Chaajabu jinsi watuwetu hawako conscious utayakuta yanamtetea kuliko hats yeye anavyojitetea. He will face his own Karma hata atetewe/aombewe/asifiwe na maaskofu wote Tz Maaskofu buldoza...
 
Viongozi wenyewe hawana ruhusa ya kusafiri,wamarekani wanaona kwao ni kama akhera
 

Yan makonda kawashika vibaya wamarekani ?🤣🤣🤣 nachekaga sana jf 🤣🤣🤣 ngoja niishie hapa daaah...


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…