Kabisa, nchi nyingi zitamjua na kumwekea vikwazo, au kumkamata.Mi naona amempa umashuhuri na kumtangaza kimataifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa, nchi nyingi zitamjua na kumwekea vikwazo, au kumkamata.Mi naona amempa umashuhuri na kumtangaza kimataifa
Nenda twita ya PompeoYaani mtu anakaa kwenye lile ghala pale ufipa anaandika vimaneno alafu anajiita Pompeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mfano wa mbinguni ambapo hata ww unalilia kwenda na mchepuko wako kila siku sema huna nauli matokeo yake mnaishia Double view sinza.Alafu itakuwaje sasa? Wanakufa au?
Hivi unafikiri Marekani ni mbinguni kule?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumeshafika huko tuiombee sana nchi yetu tuvuke salama huu mwaka wa majaribu sana kwetu kama Taifa.
Rais Magufuli na Prof Kabudi wawe makini sana mwaka huu na kauli zao za mdomoni, la sivyo tutaifuta Zimbambwe iliko.
Zile kauli za kujimwambafai ziishe kabisa.
Serikali ya Marekani imemzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingi nchini humo kutokana na kuhusika kwake kwenye uvunjifu wa Haki za Binadamu unaohusisha kunyima haki ya kuishi, uhuru na ulinzi wa watu.
Katika uongozi wake, Makonda ameonesha uonevu kwa wapinzani, kuminya uhuru wa kujieleza na kukusanyika na matendo maovu dhidi ya makundi maalum.
Marekani ina hofu kuhusu uvunjifu wa Haki za Binadamu na kupuuzwa kwa utawala wa sheria nchini Tanzania.
Kifungu namba 7031(c) kinampa uwezo Waziri wa Mambo ya nje kuweka zuio kama hili endapo mhusika amefanya ufisadi mkubwa au uvunjifu wa Haki za Binadamu. Pia kinamruhusu kuweka zuio kwa familia yake hivyo mke wa Makonda, Bi. Mary Felix Massenge amezuiwa pia.
Serikali ya Marekani inaikumbusha Serikali ya Tanzania kuheshimu utawala wa Sheria na Haki za Binadamu ikiwemo uhuru wa kujieleza na kukusanyika.
View attachment 1342609

Yan tunasema the WRITINGS ARE ON THE WALL
Hapa wamempa umaarufu na mtaji mkubwa wa kisiasa Makonda.Kwani Ukizuiwa kuingia America utakosa Oxygen?
Marekan sio Peponi bana waache kujikweza
Kuna ma Billion ya Watu hawajafika America na hakuna cha maana wanakosa
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kupiga kelele.Kiukweli hawa mabeberu Wamarekani ni washenzi sana!, Wanamuonea bure Makonda tena kwasababu safari za Makonda US ni safari binafsi za yale mambo ya kifamilia, kumzuia Makonda kuingia US ni ukiukwaji wa haki ya msingi ya binaadamu.
Wito kwa Rais Magufuli, toa waraka hakuna kiongozi yoyote wa serikali yako ataomba Visa kuingia US, wanataka kutudhalilisha tuu, kwani Marekani ndio nini?. Twende China!.
To hell with America!.
Let's say no to American with their filthy blood stained, stinking money except " kwa msaada wa watu wa Marekani" zikiwemo ARV.
P
Upuuzi mtupu..Trump kabanwa sasa anatafuta pa kutokea...inaonekana ile movie ya Iran haikuwasaidia kisiasa
Sent using Jamii Forums mobile app