Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Na yale makalio yake hivi hiyo combat ilikaa sawa sawa kweli?

Gavana wa dar huyu kwa nyuma amejaa msambwanda, pembeni kajaa mahips.... yaaani.. kigoli si kigoli... mwali si mwali... dume jike?

Sent using Jamii Forums mobile app

🤣🤣🤣🤣najuta hii hbaari kuiona muda huu dah nimechek san na comment yko mkuu🤣🤣🤣
 
Swala la bwana Makonda kula ban abroad linajulikana ni kuhusu kukemea ushoga na kuonyesha nia ya kupambana na madawa ya kulevya.

Msibabaike na vihabari uchwara vya Marekani ya Kaskazini huko hawana jipya dunia inawajua sasa hawana pa kujifichia.

Hata ningekuwa mimi nakuapia ningewanyoosha zaidi ya alivyofanya bwana Makonda kuhusu ushoga na madawa ya kulevya.

Rejea kisa cha bwana El Chap (Raia wa Mexico) kukamatwa na Marekani na jinsi mjinga Marekani alivyotaka kuidanganya dunia kuhusu huyo faza na mikakati yake.

Mwisho sio kwa umuhimu; Ugomvi au kutokuelewana baina ya chama na chama au mtu/ watu na mtu/ watu ndani ya nchi ni sawa na ugomvi wa Mke na Mume ndani ya nyumba hawapaswi Marekani kutuingilia mambo yetu.

Dunia hii ina nchi nyingi sana na nzuri tu za kufanya nazo maisha hata Marekani akijishebedua alale mbele hakuna mtu mwenye time naye mshenzi yule.
Marekani ndio kila kitu dunia hii aisee tumepata hasara sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatuna cha kupoteza eti kwa kumzuia RC Makonda kwenda Marekani. Kwanza wajiulize tangu Rais wetu John Pombe Magufuli aingie madarakani alishawahi kwenda ubarozi wa Marekani nchini kuomba Viza ya kuingia Marekani? Ukweli ni kwamba hajawahi kwahiyo RC Makonda aende Marekani kutafuta nini ambacho bosi wake haoni haja?
 
Ukitaka kumuudhi muamerika wewe ingilia haki za masuala ya LGBT. Muamerika atakurarua kama simba! Ukitaka awe rafiki yako ongelea raha za kuwa:
L = Lesbian = wanawake kusagana wenyewe kwa wenyewe.
G = Gay = wanaume kuchomekeana wenyewe kwa wenyewe.
B = Bisexual = wasagaji (L) kufanyana na wachomekeanaji (G).
T = Transgender = kubadli jinsia ya Me kuwa ya Ke au ya Ke kuwa ya Me mahospitalini.

Makonda alifanya makosa makubwa sana kwenye hayo masuala. Akienda USA hao ma LGBT watamumaliza. Hivyo ban hiyo ni kwa usalama wake.
Hayo yana madhara gani kwako na watanzania hata yakiwepo?Acha kupotosha ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swala la bwana Makonda kula ban abroad linajulikana ni kuhusu kukemea ushoga.
Huyo gavana wako wa dar mbona ni shoga pia, au huna habari?

Tuna meseji zake za whatsapp nyingi akiwa anawatongoza wavulana wakamfire! Nyingi tu zipo!

Ameshawapangishia nyumba wavulana fulani hapo darisalama. Vivulana fulani hivi vinampakua kweli kweli.

Ukisema makonda anapambana na ushoga nacheka kwa kuhamaki!

Sent using Jamii Forums mobile app
in
 
marekani wana taarifa za uhakika, kwamba huyo jamaa ana damu za watu mikononi, halafu kila wiki linaendaa kusimama kwenye madhabahu
 
Watu wote au walio wengi hasa wenye mrengo wa kimakonda makonda,Na Wenye maslahi ya moja kwa moja kupitia mfumo wa kupoteza watu utaona wanamtetea sana Mkuu wa Mkoa wa DSM - Makonda kwa kauli za kujificha nyuma ya ALIWASAKA WAUZA MADAWA YA KULEVYA NA AMEWAKABILI MASHOGA.
Napenda mjue hata kama Makonda angefanikiwa sana KUSHUGHULIKIA suala la MASHOGA na MADAWA YA KULEVYA hio bado HAIMPI UHALALI WOWOTE WA KUWANYIMA wengine HAKI YA KUISHI NA KUKANDAMIZA DEMOKRASIA hapa Nchini.
MAKONDA hawezi kuwa USHUJAA na kwa wakati huo huo awe MHALIFU wa Viwango vya akina JONAS SAVIMBI.
 
Hii ndio sababu ya Makonda kuzuiwa kwrnda USA
IMG-20200201-WA0007.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kumnyima Visa ya kuingia Marekani ndo watazuia juhudi zake na serikali kupiga vita madawa ya kulevya na genge la madawa ya kulevya paomoja na ushoga? Ataendelea tena kwa saana kwasababu amewashika pabaya! Moja ya mikakati ya USA ni kuungana na magenge ya uhalifu wa kimataifa kuzinyongonyeza nchi masikini ili wapore mali na utajiri wa nchi za kiafrica. Moja ya mbinu inayozitumia marekani ni pamoja na kusupport magenge ya madawa ya kulevya kuingizwa katika nchi masikini kuharibu vizazi ili kutengeneza mwanya wa kuzipora rasilimali zao!
Hata ukitoa povu wewe bado ni mjinga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo yana madhara gani kwako na watanzania hata yakiwepo?Acha kupotosha ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka wewe ni mmojawapo katika hayo makundi. Madhara yake ni pamoja na AIDS, anal incontinence, vaginal incontinence, anorectal prolapse, uterine prolapse, infertility, erectile dysfunction (impotence), cortical (brain) dysfunction disorder, devial behaviour etc etc
 
Huyo gavana wako wa dar mbona ni shoga pia, au huna habari?

Tuna meseji zake za whatsapp nyingi akiwa anawatongoza wavulana wakamfire! Nyingi tu zipo!

Ameshawapangishia nyumba wavulana fulani hapo darisalama. Vivulana fulani hivi vinampakua kweli kweli.

Ukisema makonda anapambana na ushoga nacheka kwa kuhamaki!

Sent using Jamii Forums mobile app
in
Hili linafahamika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wote au walio wengi hasa wenye mrengo wa kimakonda makonda,Na Wenye maslahi ya moja kwa moja kupitia mfumo wa kupoteza watu utaona wanamtetea sana Mkuu wa Mkoa wa DSM - Makonda kwa kauli za kujificha nyuma ya ALIWASAKA WAUZA MADAWA YA KULEVYA NA AMEWAKABILI MASHOGA.
Napenda mjue hata kama Makonda angefanikiwa sana KUSHUGHULIKIA suala la MASHOGA na MADAWA YA KULEVYA hio bado HAIMPI UHALALI WOWOTE WA KUWANYIMA wengine HAKI YA KUISHI NA KUKANDAMIZA DEMOKRASIA hapa Nchini.
MAKONDA hawezi kuwa USHUJAA na kwa wakati huo huo awe MHALIFU wa Viwango vya akina JONAS SAVIMBI.
Haimpi uhalali wa kuua na kushambulia watu kwa kutumia madaraka yake!
 
Hatuna cha kupoteza eti kwa kumzuia RC Makonda kwenda Marekani. Kwanza wajiulize tangu Rais wetu John Pombe Magufuli aingie madarakani alishawahi kwenda ubarozi wa Marekani nchini kuomba Viza ya kuingia Marekani? Ukweli ni kwamba hajawahi kwahiyo RC Makonda aende Marekani kutafuta nini ambacho bosi wake haoni haja?
Acha ushabiki,Sikh babako akitekwa na kupotea mazima ndo utaacha ubishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii movie ilianza pale ubalozi wa USA na UK nchini Tanzania walipotoa tahadhari ya uwezekeno wa kutokea shambulio la kigaidi maeneo yenye wageni wengi (wazungu) . Ninavyo kumbuka makonda alijitokeza kwenye media na akapingana nao kwa kusema hakuna hatari yoyote. Maafisa wetu wanafanya kazi nzuri. Lakini sababu nyingine inaweza ikawa msimamo wa makonda kuhusu ushoga. Ushauri wangu kwa watanzania hakuna mzungu atakayepambana kwa faida ya mtanzania, watu weusi tuache ujinga
La ushoga wala msilitaje, Mbona yeye mwenyewe Makonda anapakuliwa!!
 
Back
Top Bottom