MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,063
- 6,405
Ha ha haaaa pamoja na kwemda kushangaa masanamuEchililo,
Aibu sana,mnawaita mabeberu huku mnataka kwenda kwao.
Naona alitaka kwenda kupandikiza Mimba nyingine .
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haaaa pamoja na kwemda kushangaa masanamuEchililo,
Aibu sana,mnawaita mabeberu huku mnataka kwenda kwao.
Naona alitaka kwenda kupandikiza Mimba nyingine .
Alivamia mkutano wa watu hujamuona wazir wako hapo check vzrHiyo picha ya kwanza imenifurahisha, ila hii ya pili mhhhhh.
Hivi huyo aliye vaa mzare zachadema ni nani, walikuwa wapi na alifanya nini hadi ashambuliwe kama mpira wakona?
umefafanua vyema kuhusu haki ya kuishi, hongeraMbona USA ilimnyima haki ya kuishi yule jenerali wa IRANI?Tusiwe kasuku
Wewe tatizo ni mjinga hujijui ( Ignorance is bliss)Unaweza kuta hata mchana huu hujala badala yake pesa ya kula ndio umenunulia bando kuleta haya uliyoleta.
Haya sasa nimesoma, umefaidika na nini kwa mfano
Sent using Jamii Forums mobile app
Na yale makalio yake hivi hiyo combat ilikaa sawa sawa kweli?Jana nilikuwa nae flight moja kutoka mwanza to Dar eti Kavaa kijeshi.
Akawekewe China tu hakuna namnaBan hii si yeye tu hata mke naye amepigwa stop kuingia America, sasa sijui next sindano ya mtoto wa Box ataenda kuwekewa wapi?
Hizi ni akili za kimaskini sana. Yaani hadi hela za bando tumeanza kuzipigia mahesabu!!Unaweza kuta hata mchana huu hujala badala yake pesa ya kula ndio umenunulia bando kuleta haya uliyoleta.
usimuhukumu haraka cheki jina kwanza alivyojitambulisha humu jf, sijui mtaa anajitaje hukoKwahiyo unakiri hadharani kwamba Makonda ameua watu kama Marekani ilivyofanya kwa jenerali wa Iran ?
Ndio nyie mkizidiwa hoja mnaita polisi.Unaweza kuta hata mchana huu hujala badala yake pesa ya kula ndio umenunulia bando kuleta haya uliyoleta.
Haya sasa nimesoma, umefaidika na nini kwa mfano
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapuuzi katika ubora waoSwala la bwana Makonda kula ban abroad linajulikana ni kuhusu kukemea ushoga na kuonyesha nia ya kupambana na madawa ya kulevya.
Msibabaike na vihabari uchwara vya Marekani ya Kaskazini huko hawana jipya dunia inawajua sasa hawana pa kujifichia.
Hata ningekuwa mimi nakuapia ningewanyoosha zaidi ya alivyofanya bwana Makonda kuhusu ushoga na madawa ya kulevya.
Rejea kisa cha bwana El Chap (Raia wa Mexico) kukamatwa na Marekani na jinsi mjinga Marekani alivyotaka kuidanganya dunia kuhusu huyo faza na mikakati yake.
Mwisho sio kwa umuhimu; Ugomvi au kutokuelewana baina ya chama na chama au mtu/ watu na mtu/ watu ndani ya nchi ni sawa na ugomvi wa Mke na Mume ndani ya nyumba hawapaswi Marekani kutuingilia mambo yetu.
Dunia hii ina nchi nyingi sana na nzuri tu za kufanya nazo maisha hata Marekani akijishebedua alale mbele hakuna mtu mwenye time naye mshenzi yule.
Kwa ivo Ushoga na madawa ya kulevya vinashabikiwa na kila Mmarekani?Swala la bwana Makonda kula ban abroad linajulikana ni kuhusu kukemea ushoga na kuonyesha nia ya kupambana na madawa ya kulevya.
Duh kazi ipo. Kingereza kilikuja na meli mkuu we andika kiswahili tuThe thred was writen on English, I like very much those language thus why I had to coment using the English language. You should right you're coment on English too.
Hata mie nasubiria nisikie bungeni watasema nini au wataweka azimio gani...!Tena nimefurahi imetokea wakati wa bunge. Hebu jumatatu CCM walete hoja maalum kama walivyofanya leo kwa zitto waanze kuropoka ropoka takataka zao
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji1][emoji2]Unaweza kuta hata mchana huu hujala badala yake pesa ya kula ndio umenunulia bando kuleta haya uliyoleta.
Haya sasa nimesoma, umefaidika na nini kwa mfano
Sent using Jamii Forums mobile app