Kabudi atafuata mara moja asipokuwa na akili.Hii Majalala ni takataka moja ya ajabu kutokea
Badala ya ku calm down the situation,anaweka moto zaidi,na loser ni sisi zaidi
Kasomea wapi diplomacy huyu Majalala?
Mahiga arudi,watu sober!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabudi atafuata mara moja asipokuwa na akili.Hii Majalala ni takataka moja ya ajabu kutokea
Badala ya ku calm down the situation,anaweka moto zaidi,na loser ni sisi zaidi
Kasomea wapi diplomacy huyu Majalala?
Mahiga arudi,watu sober!
Tumeanza hivi!!...Kisa tuliweza kutatua swala la ndege Canada, tumejimwambafy na kudhani mbinu hizo zinatumika kwenye kila kitu.View attachment 1344128
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawasawa mkuu. Halafu pia ni rais siyo rahisiMhariri naomba rekebisheni title ya thread ianze na herufi kubwa mwanzo wa sentensi.
Isomeke Darubini sio darubini.
Ubaya wa criminal liabilities za mauaji ya kisiasa na uhalifu wa kivita, amiri jeshi na in charge wa majeshi ndio huwa wanawajibishwa maana wao ndio watoa amri za kufanya uhalifu.Hopeless unaweza ukamtofautisha Rais na Majeshi yetu? Unajua Amri Jeshi Mkuu ni nani hapa TZ??
Uzuri watz bado wanetulia ila wana furaha ya hili jambo alafu magu ye anahis bado tu anapendwa na wananchiA crackdown on freedom of expression has been on the rise since President John Magufuli came into office in 2015.
Human rights groups also accuse Mr Magufuli of repressing political dissent, detaining human rights activists, and muzzling the media.
A crackdown on freedom of expression has been on the rise since President John Magufuli came into office in 2015.
Human rights groups also accuse Mr Magufuli of repressing political dissent, detaining human rights activists, and muzzling the media.
Ivi Ban anakuwa amepewa kwa Muda gani? Miaka 5 au ndio moja kwa mojaDAB ana wakati mgumu sana, kuondolewa kwake kutaambatana na uchunguzi na wenye teknolojia yao washasema wanao ushahidi.
Pole yake, travel ban itabeba vitu vingi ndani mwake.
Una uhakika?Wakuu, habari
Naona IDs zote za CCM hazimtetei makonda au kumpa pole kwa kuzuiwa kuingia marekani kuna nini kimetokea?, wamemzilia?, mwenye taarifa atuambie
Hatuaminiki. Bwana Mkulu akitamka neno jema juu ya DAB, utatuona tutakavyo kuwa upande wake, full mapambio na kuwalaani mabeberu. Jamaa alishatuambia hakuna mtu anakula raha kumzidi, Marekani kuna nini cha ajabu?Kwa sababu Makonda siyo CCM na CCM hawana tabia ya kutetea mtu anayefanya ujinga hata akiwa mwenzao! Kwa kifupi Makonda anachukiwa sana.
Mpe pole basiUna uhakika?