Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gambo anastahili tusi kubwa zaidi kwa sababu na yeye alishawahi tukana mtu huko Korogwe kwa kumwambia ana degree ya chupi. Ana ushenzi mwingi tu. Gambo ni ngumu sana kuwa mbunge tena Arusha.Duh! kasema kabisa "Umaarufu wa kijinga". Hilo siyo tusi kwa mheshimiwa mbunge? Hivi gambo atapambania tena nafasi ya ubunge na kushinda Arusha mjini?
Tunahitaji kusikia upande wa Gambo pia. Huyu Bashite ana kawaida ya kutafuta umaarufu kutoka kwenye public kwa kusiliba wenzieMkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda akiambatana na Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulega wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa barabara ya kiwango cha Lami ya Mianzini-Olemringaringa amemtaka Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo kuwa anahudhuria vikao mbalimbali vya maendeleo ndani ya Mkoa wa Arusha, badala ya kuwasubiri Viongozi wa Kitaifa na kuzungumzia kero mbalimbali ndani ya Jimbo lake.
Mhe. Makonda ameeleza kuwa kufanya hivyo ni kutafuta huruma ya wananchi kinyume cha taratibu, akiziita kuwa ni siasa zisizokuwa za maendeleo kwa wananchi, akiagiza kuwa ni muhimu kwa Viongozi wateule na wa kuchaguliwa kushiriki vikao vya kupanga na kuamua kuhusu maendeleo ya Mkoa wa Arusha.
Kauli ya Mhe. Makonda inafuatia maombi ya Mhe. Gambo aliyeomba kwa Waziri wa Ujenzi kujengewa barabara ya Kilombero pamoja na ufungaji wa taa kwenye barabara mbalimbali za Jiji la Arusha, masuala ambayo kulingana na Mhe. Makonda yalishajadiliwa na maamuzi kutolewa kwenye vikao mbalimbali vilivyofanyika chini ya Maagizo ya Mawaziri mbalimbali wa Kisekta ikiwemo Kikao cha mapema leo asubuhi kilichohudhuriwa na Waziri wa ujenzi Mhe. Abdallah Ulega na Waziri wa fedha Mhe. Mwigulu Nchemba.
View attachment 3194226
Hiki Cheo cha Mkuu wa mkoa hakitakiwi kiwepo. Gambo ni muwakilishi wa wananchi, Bashite ni muwakilishi wa RaisMkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda akiambatana na Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulega wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa barabara ya kiwango cha Lami ya Mianzini-Olemringaringa amemtaka Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo kuwa anahudhuria vikao mbalimbali vya maendeleo ndani ya Mkoa wa Arusha, badala ya kuwasubiri Viongozi wa Kitaifa na kuzungumzia kero mbalimbali ndani ya Jimbo lake.
Mhe. Makonda ameeleza kuwa kufanya hivyo ni kutafuta huruma ya wananchi kinyume cha taratibu, akiziita kuwa ni siasa zisizokuwa za maendeleo kwa wananchi, akiagiza kuwa ni muhimu kwa Viongozi wateule na wa kuchaguliwa kushiriki vikao vya kupanga na kuamua kuhusu maendeleo ya Mkoa wa Arusha.
Kauli ya Mhe. Makonda inafuatia maombi ya Mhe. Gambo aliyeomba kwa Waziri wa Ujenzi kujengewa barabara ya Kilombero pamoja na ufungaji wa taa kwenye barabara mbalimbali za Jiji la Arusha, masuala ambayo kulingana na Mhe. Makonda yalishajadiliwa na maamuzi kutolewa kwenye vikao mbalimbali vilivyofanyika chini ya Maagizo ya Mawaziri mbalimbali wa Kisekta ikiwemo Kikao cha mapema leo asubuhi kilichohudhuriwa na Waziri wa ujenzi Mhe. Abdallah Ulega na Waziri wa fedha Mhe. Mwigulu Nchemba.
View attachment 3194226
Habari ya lini hii?Tusichoshane Jumatatu. Pata Habari Kamili.
View attachment 3194300
Ila Gambo namuonaga kama Snitch hivi hata haiba yake inaonesha!Kufanya kazi na huyu mwamba unahitaji Hekima.
Pole Gambo kwa spana, ndiyo ukubwa huo ukisikia mtu kakwepa mishale mingi ndo hii sasa.
Sasa lema ndio maana akaegemea kwa lissu kwa sababu anajua hana chakeKufanya kazi na huyu mwamba unahitaji Hekima.
Pole Gambo kwa spana, ndiyo ukubwa huo ukisikia mtu kakwepa mishale mingi ndo hii sasa.
Hakuna spana hapo Bali huyo RC hajitambui.Jiji kama Jiji.
Mfitini kivipi? Mfitini anafanya Hadharani?Kwa hapo namuunga mkono Makonda. Gambo ni mfitini sana
Huko ni kufitinisha watendaji na public. Analeta tuhuma kwenye public kwa sababu maafisa hawawezi kujitetea kwenye public. Anachosema Bashite ni kwamba ahudhurie vikao alete hizo tuhuma katika ground ambayo muhusika anaweza kujibu na kufafanua. Ikikosa majibu na kudhibitika ndio uende publicMfitini kivipi? Mfitini anafanya Hadharani?