Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!....Makonda hakwepeshi ....Jiji kama Jiji.
Inawezekana kweli kuna sintofahamu baina yao aisee, maana RC kamnanga Mbunge Gambo vibaya sana mbele ya wapiga kura wake.Ila pia hekima ya kiungozi ni kumwambia alipokosea kiongozi mwenzako pembeni au mbele ya mamlaka yake na sio mbele ya wananch ambao hawachelewi kwenda na upepo na si hali halisi ya tukio. Kuna kitu hakipo sawa kati yao.
Sijamsikiliza Gambo kama video yake unayo iweke ila Kila Mbunge Huwa anaongea Changamoto yake Kwa viongozi Sasa hiyo inakuaje ni tuhuma? Au wewe Huwa huoni ziara za viongozi?Huko ni kufitinisha watendaji na public. Analeta tuhuma kwenye public kwa sababu maafisa hawawezi kujitetea kwenye public. Anachosema Bashite ni kwamba ahudhurie vikao alete hizo tuhuma katika ground ambayo muhusika anaweza kujibu na kufafanua. Ikikosa majibu na kudhibitika ndio uende public
Naunga mkono pia,Huko ni kufitinisha watendaji na public. Analeta tuhuma kwenye public kwa sababu maafisa hawawezi kujitetea kwenye public. Anachosema Bashite ni kwamba ahudhurie vikao alete hizo tuhuma katika ground ambayo muhusika anaweza kujibu na kufafanua. Ikikosa majibu na kudhibitika ndio uende public
Duh!...hizi spana kali sana aisee..... lazima Gambo atajenga 'bifu' na Makonda.Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda akiambatana na Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulega wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa barabara ya kiwango cha Lami ya Mianzini...
Yeah!...tayari 'bifu' baina yao sasa lipo rasmiKabisa yaaan kwa Gambo hii haijaisha atamlima nae ipo siku tu
Kwani ni mara ya kwanza wabunge kutoa kero zao kwa mawaziri pale wakitembelea kwenye maeneo yao?? Ni jambo baya kufanya hivyo??Huko ni kufitinisha watendaji na public. Analeta tuhuma kwenye public kwa sababu maafisa hawawezi kujitetea kwenye public. Anachosema Bashite ni kwamba ahudhurie vikao alete hizo tuhuma katika ground ambayo muhusika anaweza kujibu na kufafanua. Ikikosa majibu na kudhibitika ndio uende public
Nampenda sana Makonda, lakini katika hili yeye ndio kafeli pakubwa. Unless otherwise kuna kitu chini kinafutuka. Labda system haimtaki mgamboMkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda akiambatana na Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulega wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa barabara ya kiwango cha Lami ...
Acha uswahili wewe.Alichokifanya Makonda hata Mh Rais hawezi fanya, unamuitaje kiongozi mwenzio mbele ya kadamnasi na camera zote zile Mjinga??
Wote hao na Makonda Ma snitch,Ila Gambo namuonaga kama Snitch hivi hata haiba yake inaonesha!
Ujinga unatolewa/unasemwa na nani kama sio Mjinga??Acha uswahili wewe.
Amesema aache kutafuta Sifa za "kijinga" hajamuita "mjinga".
Gambo mtoto wa ilala,angemtukana tusi kama Hilo pangechimbika hapo.
Makonda Amejawa na Kiburi sana, Yani Yupo na Kiongozi wa Kitaifa ambae ni Waziri Ila still ana Taka Yeye ndio awe kama Main character na Everything kiwe centered kwake hio haijakaa Poa kabisa, Leo ana Blust Gambo wakati na Yeye Makonda anajulikana Ni attention seeker na Mpenda publicity mkubwa kabisa, Tume ya maadili Wamuangalie uyu jamaa hio Overconfidence kuna wakati haina maana KabisaKwa nini anaongea huku anamshika shika bega waziri kama mtu mdogo kwake?!
Naunga mkono hoja hii.Pamoja na Yote bado RC makonda amezingua sana Kumdharirisha Gambo mbele Ya kandamnasi tena Kiongozi aliyechaguliwa na Wananchi hio haijakaa Poa, Kesho Gambo akiwa Boss wake?
Makonda ajifunze Kuheshimu Viongozi wenzie mana hata Chongolo aliwahi Kumkolomea wakati ni RC dar baadae tuliona Chongolo anakuja kuwa Boss wake hii haijakaa Poa ivo Viti vya Kuteuliwa una Serve at the wish ya aliyekuchagua Tusijione sana tumefika