Uchaguzi 2020 Paul Makonda, hawezi kupita Kigamboni kura za Maoni

Kujisahau kwa huyu bwana na kuweka imani yake kwa WAKUBWA kuliko uwezo wake kunazidi thibitisha tuhuma zile za ziro.
 
It was a fall which was waiting for a due time. Makonda labda agombee kwa kutumia polisi. Hajajenga mazingira ya kuheshimu wapiga kura. Haheshimu wakubwa wake. Anadhani atawaburuza wote kwa ajiri ya utukufu wake.
This fall is a lesson. He should change the approach when it comes to serving the public. Tujifunze unyenyekevu.
 
Hajapita kweli,na angepita ingekuwa ajabu.
 
Pale unapojipiga kifua na kujiamini kwa kitu ambacho hukifahamu
Hizi ni propaganda sizizokuwa na mwelekeo, unaongelea kwa kumlenga mtu as if una bifu naye, Wanakigamboni wanamengi yapo nyuma na wanahitaji mpambanaji, HUYO KIJANA ANAWAFAA SANA KIGAMBONI, Ns atapita, take my word.
 
Mungu ni mwema siku zote
Karibuni tukanywe bia,bado jiwe October fyekeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…