Uchaguzi 2020 Paul Makonda, hawezi kupita Kigamboni kura za Maoni

Mutoto akililia wembe mpe ukimkata atajua uzuri na ubaya wake
 
 
Ila kama hatopewa viti maalum basi atarudishwa kuwa RC..yaani huyu wa sasa hivi ahesabu tu kuwa anakaimu.
 

Yani hapo kwenye ving’ora ndio balaa. Utadhani anapita Waziri Mkuu. Yani yule jamaa bwana, ushamba tu! Ila wajumbe wa Kigamboni wamenifurahisha sana [emoji41][emoji28]πŸ€›. Wamekula hela za mtu ila wamemtoselea mbali.
 
Na mkuu wa nchi na kamati yake ni wenye busara Sana hawezi kumkata ndugulile labda athibitike alitumia rushwa, vinginevyo Paulo aombe miungu yote magu awe anampenda kwelikweli ili amteue tena bila hivyo hhiiiiii
 
zote izo ni figisu lakini makonda ni moja ya viongozi wenye uthubutu sana!
 
Kama ndugu yako alivokataliwa kigamboni ndivo itakavokataliwa, jifunze ujasilimali usitegemee ccm ipo icu

Waliopita kwa kuhonga panga linawahusu mamaee 😁😁 Raisi co mjinga ampige chini makonda/msukuma wakat ni chapa kazi na matunda yake 2meyaona.

Atateuliwa na uwaziri atapata,,,endeleeni kuteseka tu.

baba Keagan
 
Matunda yake tumeyaona,,

Atateuliwa na uwaziri atapata,,, endelea kuteseka tu.
Nani ateseke kwa ajili ya bashite. Hata akipewa viti maalum Ni sawa, Ila ilejulikana Ni mpuuzi tu ambaye anajimwambafai
 
Waliopita kwa kuhonga panga linawahusu mamaee 😁😁 Raisi co mjinga ampige chini makonda/msukuma wakat ni chapa kazi na matunda yake 2meyaona.

Atateuliwa na uwaziri atapata,,,endeleeni kuteseka tu.

baba Keagan
Ye mwenyewe ana uhakika gani wa kupita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…