Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Waziri wa mambo ya ndani mtarajiwa haamini [emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mutoto akililia wembe mpe ukimkata atajua uzuri na ubaya wakeNaona mlima mrefu Makonda kuukwea kupitishwa Kigamboni..
Kauli za Rais zimemlenga moja kwa moja, leo tena kauli za katibu mkuu CCM zimemlenga moja kwa moja na ukuu wa mkoa utakuwa ushaota mbawa.
Bila shaka kauli zake za madharau akiwatukana watu kwamba ingawa labda nimesoma na nyie, mna vyeo kuliko mimi na wengine mmenizidi umri ila nimewazidi sana hata boss wenu anatambua, hao hao watu ndio anategemea wampitishe, wengi CCM hawampendi.
Wote walioachia nafasi zao walizoteuliwa wanataka kuonyesha kwamba uwezo wa kushinda wanao, na wakuu wao wanaonyesha wazi kuwa prove wrong.
Muda upo tusubiri.
Matokeo rasmi
----------------------------
Paul Makonda kura 122
Faustine Dungulile kura 190
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Binafsi ninaamini Bashite hawezi kutoboa Kigamboni. Liwe jua, iwe mvua, sioni akipenya kwenye kura za maoni za CCM.
Kwa watu msiofahamu tu, viongozi wengi wa CCM Dar na wanaCCM walikuwa wanamchukia Makonda kuliko hata mpinzani. Ukuu wa mkoa ulimfanya Makonda awaone watu wengine wote ni wapuuzi, wajinga na wapumbavu.
Muda ndio huu.
Makada waamue sasa.
Ila kama hatopewa viti maalum basi atarudishwa kuwa RC..yaani huyu wa sasa hivi ahesabu tu kuwa anakaimu.Naona mlima mrefu Makonda kuukwea kupitishwa Kigamboni..
Kauli za Rais zimemlenga moja kwa moja, leo tena kauli za katibu mkuu CCM zimemlenga moja kwa moja na ukuu wa mkoa utakuwa ushaota mbawa.
Bila shaka kauli zake za madharau akiwatukana watu kwamba ingawa labda nimesoma na nyie, mna vyeo kuliko mimi na wengine mmenizidi umri ila nimewazidi sana hata boss wenu anatambua, hao hao watu ndio anategemea wampitishe, wengi CCM hawampendi.
Wote walioachia nafasi zao walizoteuliwa wanataka kuonyesha kwamba uwezo wa kushinda wanao, na wakuu wao wanaonyesha wazi kuwa prove wrong.
Muda upo tusubiri.
Matokeo rasmi
----------------------------
Paul Makonda kura 122
Faustine Dungulile kura 190
Bora asipite maana tunaenda kuongeza wimbi la kupoteza viumbe hai wengine.
Apigwe chini kwa aibu kabisa mshamba waadaraka yule.
Kuna jamaa kaandika Sasa hivi Gari moja tu ya RC inapita Dar na hakuna ving'ora Wala mapikipiki. Na mkoa una Hali nzuri ya hewa angalau kwa Mara ya kwanza toka alipopew U-RC.
Nasikia gwajimama nae pale kawe anakimbizaTayari ameshakalishwa
Weka sawa sawa, Ni msukuma mshamba wa madaraka.
Apewe tu, Ila dunia imeelezwa ukweli kupitia kura za kigamboni kuwa hafai. Amebebwa miaka mitano na watu waliumia mnoAmini usiamini atapewa wadhifa
ahahahahaaaKatika watu wanaokula Raha Duniani, Mimi ni mmoja wao
Kama ndugu yako alivokataliwa kigamboni ndivo itakavokataliwa, jifunze ujasilimali usitegemee ccm ipo icuMkuu utasubiri sana,pengine CCM kuachia hii nchi ni hadi vizazi vitano vipite kuanzia Leo.
Apewe tu, Ila dunia imeelezwa ukweli kupitia kura za kigamboni kuwa hafai. Amebebwa miaka mitano na watu waliumia mno
Kama ndugu yako alivokataliwa kigamboni ndivo itakavokataliwa, jifunze ujasilimali usitegemee ccm ipo icu
Nani ateseke kwa ajili ya bashite. Hata akipewa viti maalum Ni sawa, Ila ilejulikana Ni mpuuzi tu ambaye anajimwambafaiMatunda yake tumeyaona,,
Atateuliwa na uwaziri atapata,,, endelea kuteseka tu.
Ye mwenyewe ana uhakika gani wa kupitaWaliopita kwa kuhonga panga linawahusu mamaee 😁😁 Raisi co mjinga ampige chini makonda/msukuma wakat ni chapa kazi na matunda yake 2meyaona.
Atateuliwa na uwaziri atapata,,,endeleeni kuteseka tu.
baba Keagan