Uchaguzi 2020 Paul Makonda, hawezi kupita Kigamboni kura za Maoni

Ukitaka siri zote za Daud Bashite mtafute Le mutuz mpe Demo mrembo kisha mfundishe vya Kundadisi vizuri kwani Le mutuz huwa ni mdhaifu mbele ya wanawake ndiyo maana magufuli amegoma kumpa Teuzi zote,
Nasikia ndiyo anamsaidia kwenda kwa wenye vibuyu vilivyorembwa na shanga
 
Hizi ni propaganda sizizokuwa na mwelekeo, unaongelea kwa kumlenga mtu as if una bifu naye, Wanakigamboni wanamengi yapo nyuma na wanahitaji mpambanaji, HUYO KIJANA ANAWAFAA SANA KIGAMBONI, Ns atapita, take my word.
 

Anza kutafuta sehemu ya kuficha USO wako kwa uvivu wa kufikiri au ufinyu wa taarifa.
 
Ni kweli wana CCM wengi wanamchukia sana na wanatamani apotee jumla kwenye Ulingo wa siasa, lakini kumbuka mtukufu anamtaka awe mbunge kwa lazima , watafanya kila njia kuhakikisha anapita
 
Nasikia ndiyo anamsaidia kwenda kwa wenye vibuyu vilivyorembwa na shanga
Le mutuz ni mtu Mshirikina hakuna mfano kwa hapo Dsm na ndiyo mtaji wake mkuu kwa Bashite na viongozi wengine wengi wa CCM.
 
Ni lazima apite narudia ni lazima apite.

Utake usitake ni lazima Bashite akanyage Dodoma kama m bunge wa kigamboni labda afe. Ningekuwa nacheza kamali tungeweka laki kwa 500
 
Mdogo wangu hizi siasa za bongo ni kama bongo movie, yani intro tu ushajua picha linaishaje. Makonda, Mwanry, Tulia,Ndalichako, ni lazima majimbo yawahusu hata kwa kutolewa kafara wewe. Usibabaishwe na hizo fujo za Polepole ni danganya toto 2
 
Rushwa inatembea kama kawaida kwa mfumo wa tigo pesa m-pesa kwa namba ambazo siyo zake

Hiyo hao wajumbe wakichekiwa kwanini pesa zinaingia nyingi kwao, kuliko kawaida lazima watapata shida. Kazi ipo
 
Nasubiri next week nione maajabu mengine ya dunia ikiwa makonda atapitishwa kuwania ubunge.
 

Jamaa anapita, na uwaziri unamhusu pia.
 
Yule dada Tulia may b aka
Mdogo wangu hizi siasa za bongo ni kama bongo movie ya intro tu ushajua picha linaishaje. Makonda, Mwanry, Tulia,Ndalichako, ni lazima majimbo yawahusu hata kwa kutolewa kafara wewe. Usibabaishwe na hizo fujo za Polepole ni danganya toto 2
Yule Dada tulia may b akapishwa hao wenge sijui tusubiri kupitishwa kwao hiyo next week.
 
Msisahau bashite anatokea kanda pendwa,maneno ya kuambiwa ...........
 
siasa uzijui wewe mnapumbazwa tu end of the day makonda unakuja kumuona ni waziri wa michezo na sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…