Uchaguzi 2020 Paul Makonda, hawezi kupita Kigamboni kura za Maoni

Hiyo kauli Magu alisema na alirudi kwa msisitizo,Katibu wa ccm taifa naye leo kasisitiza pia,Polepole naye ameshasema sana na kurudia tena akiwa kigamboni na akamtaja kabisa.

Kwahiyo kila dalili inaonyesha huyu jamaa ngumu kupita
We jamaa hiyo ni kiki kama kiki zingine unakuwa mgeni na stone?

Sasa hutaamini macho na masikio yako, Bashite lazima atue bungeni
 
Paulo Christian Makonda kama anavyojiita mwenyewe ni mmoja ya binadamu wanaokula raha kupitiliza hapa duniani, nani ataweza kumdhibiti, angeweza kugombea hata Urais kupitia ccm, sema ameamua kuanzia chini kwanza.
 
Kwa Nini unamchukia kiasi hicho?
 
Hata alipokuwa DC wa Kinondoni alikuwa na masifa sifa kama sasa ?
 
Yule kala Pete ya Simba...hakuna wa kuthubutu kutoa jina..

Nguvu za kiza zina nguvu msisahau
Sasa yupo Mungu,pamoja na hizo nguvu zake atakakatwa tu km Mungu hajkusudia!

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Eti takokuru bado wanachunguza zawadi za baiskeli na pikipiki kutoka kwa kigangwallah
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yule msukuma wamekosa ushahidi 🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Wanahonga........
 
Usiamini maneno ya wanasiasa ata siku moja, na wote walio tenguliwa wakaenda kutia nia watakuwa bungeni kwa tarifa ako
 
Bashite ana siri nyingi za dikteta ikiwemo shambulizi la lissu na wizi wa trillions, labda awe tayari kumnunua kwa billions ili Bashite apige kimya.

Atakatwa tu kwani ye nani jmn!
Mungu yupo kazini

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Ngoja tusubiri!
Km Mungu aishivyo,aliowakusudia watapita

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Ebu fikiria Bashiru akimtetea kuwa hagombei leo kachukua form, kesho ataongea jingine la kumtetea awe mbunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…