Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Endelea kuota ya Jana sio ya leoMkuu pengine utasubiri sana,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kuota ya Jana sio ya leoMkuu pengine utasubiri sana,
makubwaaaHapaa mkuu ndo atapitaa[emoji1787][emoji1787]View attachment 1511952
Hapaa mkuu ndo atapitaa[emoji1787][emoji1787]View attachment 1511952
Baba kamchoka kaona abebekiAngembeba leo,kashaamua kumpotezea
Mkuu utasubiri sana,pengine CCM kuachia hii nchi ni hadi vizazi vitano vipite kuanzia Leo.Endelea kuota ya Jana sio ya leo
Utakuja kuikataa hii comment yako.Mkuu utasubiri sana,pengine CCM kuachia hii nchi ni hadi vizazi vitano vipite kuanzia Leo.
SiweZi kuikana,nilichokiandika hapa ni sauti ya Mungu kwa watanzania wapenda amani na maendeleoUtakuja kuikataa hii comment yako.
UMEBETI VEMA.Naona mlima mrefu Makonda kuukwea kupitishwa Kigamboni..
Kauli za Rais zimemlenga moja kwa moja, leo tena kauli za katibu mkuu CCM zimemlenga moja kwa moja na ukuu wa mkoa utakuwa ushaota mbawa.
Bila shaka kauli zake za madharau akiwatukana watu kwamba ingawa labda nimesoma na nyie, mna vyeo kuliko mimi na wengine mmenizidi umri ila nimewazidi sana hata boss wenu anatambua, hao hao watu ndio anategemea wampitishe, wengi CCM hawampendi.
Wote walioachia nafasi zao walizoteuliwa wanataka kuonyesha kwamba uwezo wa kushinda wanao, na wakuu wao wanaonyesha wazi kuwa prove wrong.
Muda upo tusubiri.
Matokeo rasmi
----------------------------
Paul Makonda kura 122
Faustine Dungulile kura 190
Mkuu uko wapi!?Kijana usiamini kila unachosikia vitu havipo kama tunavyoviona
Hata hiyo miujiza haipooHawezi kukatwa labda itokee miujiza
Binafsi ninaamini Bashite hawezi kutoboa Kigamboni. Liwe jua, iwe mvua, sioni akipenya kwenye kura za maoni za CCM.
Kwa watu msiofahamu tu, viongozi wengi wa CCM Dar na wanaCCM walikuwa wanamchukia Makonda kuliko hata mpinzani. Ukuu wa mkoa ulimfanya Makonda awaone watu wengine wote ni wapuuzi, wajinga na wapumbavu.
Muda ndio huu.
Makada waamue sasa.
Nimeona saa hivi mkuu bora ***** anadharau sanaTayari ameshakalishwa
Yani hawa jamaa ni kama wamelogwa... Huyu Makonda kawapa nini!??Tatizo mnajifanya wajuaji kila kitu mnawaza mnachezewa hata kwa vitu ambavyo viko wazi,na kwenye kamati hapiti pia
Yani hawa jamaa ni kama wamelogwa... Huyu Makonda kawapa nini!??
Si kweliSiweZi kuikana,nilichokiandika hapa ni sauti ya Mungu kwa watanzania wapenda amani na maendeleo