Paul Makonda informer wa Benard Membe katika ya Utawala Magufuli

Ipo habari msisimko isiyofahamika na wengi kumhusu Aliyewahi kuwa W NJ ndugu Benard Membe aliyetangulia mbele za haki mapema juzi na ndugu Paul Makonda aliyepata kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nyuma ya pazia na kwa sababu mhusika mkuu hatunaye tena acha niwashirikishe.

Ikumbukwe, Makonda kabla ya ujio wa kishindo wa Magufuli Mamlakani alikuwa timu Membe tena mwandani kabisa na Membe ndiye aliye mshawishi Kikwete amteue Makonda kuwa DC wa Kinondoni ili hapo baadae Makonda imuwie u rahisi kugombea Jimbo la Kinondoni mwaka 2015 kwenye uchaguzi mkuu na ndoto ilikuwa BM angekuwa Rais na ndiposa Makonda angeteuliwa na BM kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ndoto iliyoyeyushwa na ujio wa bahati wa JPM.

Kwa sababu ya kuelewana lugha na kwa sababu nyingine ambayo ni nyeti aliyomtonya JPM na baada ya tonyo lile kuja kuwa la kweli bwana Makonda akaaminiwa na JPM hakika hali iliyopelekea ateuliwe kuwa RC Dar es Salaam na kilichofuatia baina ya wawili hao ni historia.

Sasa basi, pamoja na uswahiba wa kufa na kupona baina ya Makonda na JPM lakini bado Makonda alikuwa mwaminifu kwa BM japokuwa sasa baada ya JPM na BM kuwa maadui wakubwa BM alimpa uhuru Makonda wa kumponda huku akiendelea kumtonya za ndaniii kabisa ambazo JPM anazikusudia kumfanyia BM.

Hatari zote ambazo zilipangwa za kumhusu BM zilianzia kwa mtoto pendwa na kabla ya utekelezaji wake mtoto pendwa alimtonya BM kupitia namna ya mawasiliano yao waliyokuwa wameyafanya kuwa rasmi.

Mlishajiuliza kwa nini BM alikuwa anasanua kila mpango pangwa kwake? Jibu ni mnyetishaji alikuwa mtoto pendwa na JPM asingeweza kung'amua hilo kwa namna alivyokuwa anamwamini dogo na ilifikia wakati hata alikuwa anaenda mwenyewe kutekeleza mission bila awaye na kupitia mwanya huo alikuwa akikutana na mtu kati baina yake na BM kumpa mpango utarajiwao kumuumiza ili ajinasue.

ULISHAJIULIZA KWA NINI BM ALIKUWA AKIMZODOA JPM KWAMBA CHOCHOTE ANACHOKIPANGA IWE USINGIZINI AMA NDOTONI YEYE ANAKIFAHAMU?!

Makonda alikuwa hawezi kabisa kukubali mipango yeyote ya kumuumiza BM kwa sababu ya wema aliotendewa na BM kabla ya JPM kuibuka ghafla.

BM alishamwepusha na hatari nyingi Makonda zilizokuwa zikipangwa na timu mamvi na R kipindi akiwashambulia kwa tuhuma za ufisadi Lowasa na Rostam na kwalo pamoja na uswahiba wa yeye na JPM lakini bado kwa namna yeyote aliapa kulipa fadhira kwa kumwepusha BM na dhahama yeyote ile.

Ujanja wote wa Membe na kiburi chote ndani ya Utawala wa JPM ulihisaniwa na Makonda ambaye ndiye alikuwa mwandani wa kufa na JPM.

Paul haishi Masaki kwa bahati mbaya. Paul ni CHUNGU NA TAMU KWA WATAWALA! Paul yupo, atakuwepo hadi mwenyezi Mungu ATAKAVYOAMUA VINGINEVYO.

IMANI YA JPM KWA MAKONDA NDIYO ILIYOMWEPUSHA NA HATARI NYINGI BM.

NB: ZIMWI LIKUJUALO....
Kwahiyo hapa unaanika ni jinsi gani Magu alikuwa mtu katili na hatari? Sasa kwanini tukiwaambia kuwa Magu alikuwa mtu muovu mnakaza mafuvu?
 
Mengi uliyoandika ni ukweli kasoro issue ya kuwa Makonda alikuwa anamuepusha Membe dhidi ya dhahma ya Magufuli.

Ukweli ni kwamba Makonda ana kawaida ya kujenga LOYALTY na kiongozi aliyepo mbele yake wakati huo. Makonda hawezi akarudi nyuma kumhifadhi au kumtetea mtu yeyote ambaye hana madaraka kwake. Ukweli ni kwamba Membe alijaribu sana kumtafuta Makonda ili amsuluhishie kwa Magufuli kuhusu ISSUES zake lakini Makonda alikuwa HAPOKEI simu za Membe!!

Kama Makonda angekuwa mtu mwema basi angemtetea kwa Magufuli aridhie Membe aende kule AU alikopata kazi, lakini Magufuli akamkatalia kumu endorse. Wewe ni MWONGO.

Halafu nakushangaa jana ulikuwa na thread yako humu inasema Hakuna kifo kiliniumiza kama cha Magufuli

Hapo ulihuzunika na kifo hmcha Magufuli, na kwenye thread hii unakiri kabisa UHAYAWANI na UKATILI wa Magufuli. Watanzania wanafiki sana
Wakati ule MAKONDA bado alikuwa DC wa KINONDONI mkuu
 
nachojua kijana pendwa,ni kijana wa jk,na jk alikabishiwa huyo kijana kutoka kwa Pius msekwa,Basi jk akapewa ombi la kumlea kijana pendwa,jk akaja kumuamini kijana pendwa pale alipomsaidia kuzima Moto wa warioba wa rasimu ya katiba ,hapo jk akaona huyu kijana anamfaa Sana ,Basi jk akaona haoni mtu mwingine wa Kum train kijana aive haswa awe kachero wa kitengo ambaye atamtumikia yeye jk na maswahiba wake Kama BM,na ndipo akamkqbidhi kwa kachero mbobezi namba 3 (ambaye ni BM) ,jk akampa maagizo na ombi BM amnoe kijana aive haswa .BM akampokea kijana pendwa na kumuweka chini yake na hapo ndipo unaona ukaribu wa Siri Kati ya kijana pendwa ,BM ,na JK.

maigizo yote aliyoyafanya kijana pendwa kwa jp ,Hadi akakubalika na kuaminiwa na jp ,darasa alikuwa akilipata kwa BM . huyu kijana pendwa ni kachero undercover aliyei a haswa kwa Sasa ,japo Kuna vipengere alikuwa bado hajapitiahwa na mwal.wake Wa ukachero BM.

Utaona Kuna uswahiba Kati ya kijana pendwa na lemutuz , lemutuz ni mtt wa kachero mbobezi namba 1 ,hapa namzungumzia mzee JM wa kule makao makuu, kachero BM anamkubali Sana kachero mbobezi nba 1 ,mzee JM ,hivyo hata huyu BM alilelewa pia ki kachero na mzee JM(kachero mbobezi no.1) ,hivyo BM katika mishe zake za kikqchero enzi za utawala wa JP ,kachero BM akaona amtafute kijana ambaye pia atamsaidia kijana mpendwa ,na hapa aka muamuru kijana pendwa enzi hizo akiwa RC ,amuamini le bebez mtt wa kachero mbobezi no.1,si unajua mtt wa Simba ni simba tu,si unakumbuka Kuna kipindi le bebez aliwahi kusema JP aliwahi kumwambia anataka ampe uteuzi Ila yy akakataa akasema ,ampe connection tu za kupata pesa na sio teuzi.
🙏🙏🙏
 
Pumba hizi hazina ukweli wowote. Makonda siyo kachero. TISS haiwezi kuajiri mtu mbumbumbu kama Makonda mwenye vyeti vya forgery halafu ni shoga.
 
Double agency is hazardous for one's life. Tumwombee kijana.
 
Hata Yuda iskariote alikuwa informer wa mafarisayo, ila mwisho wa siku alijinyonga kwa majuto.

Kuna msiba mzito unakuja soon.
Weeee fala unajifanya una tishia Watu kufa, kenge wewe kwani ww izraili?
Unatishia watu kifo ilihali kifo ni haki ya msingi ya kiumbe hai,nyau wa kisukuma ww
 
Ipo habari msisimko isiyofahamika na wengi kumhusu Aliyewahi kuwa W NJ ndugu Benard Membe aliyetangulia mbele za haki mapema juzi na ndugu Paul Makonda aliyepata kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nyuma ya pazia na kwa sababu mhusika mkuu hatunaye tena acha niwashirikishe.

Ikumbukwe, Makonda kabla ya ujio wa kishindo wa Magufuli Mamlakani alikuwa timu Membe tena mwandani kabisa na Membe ndiye aliye mshawishi Kikwete amteue Makonda kuwa DC wa Kinondoni ili hapo baadae Makonda imuwie u rahisi kugombea Jimbo la Kinondoni mwaka 2015 kwenye uchaguzi mkuu na ndoto ilikuwa BM angekuwa Rais na ndiposa Makonda angeteuliwa na BM kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ndoto iliyoyeyushwa na ujio wa bahati wa JPM.

Kwa sababu ya kuelewana lugha na kwa sababu nyingine ambayo ni nyeti aliyomtonya JPM na baada ya tonyo lile kuja kuwa la kweli bwana Makonda akaaminiwa na JPM hakika hali iliyopelekea ateuliwe kuwa RC Dar es Salaam na kilichofuatia baina ya wawili hao ni historia.

Sasa basi, pamoja na uswahiba wa kufa na kupona baina ya Makonda na JPM lakini bado Makonda alikuwa mwaminifu kwa BM japokuwa sasa baada ya JPM na BM kuwa maadui wakubwa BM alimpa uhuru Makonda wa kumponda huku akiendelea kumtonya za ndaniii kabisa ambazo JPM anazikusudia kumfanyia BM.

Hatari zote ambazo zilipangwa za kumhusu BM zilianzia kwa mtoto pendwa na kabla ya utekelezaji wake mtoto pendwa alimtonya BM kupitia namna ya mawasiliano yao waliyokuwa wameyafanya kuwa rasmi.

Mlishajiuliza kwa nini BM alikuwa anasanua kila mpango pangwa kwake? Jibu ni mnyetishaji alikuwa mtoto pendwa na JPM asingeweza kung'amua hilo kwa namna alivyokuwa anamwamini dogo na ilifikia wakati hata alikuwa anaenda mwenyewe kutekeleza mission bila awaye na kupitia mwanya huo alikuwa akikutana na mtu kati baina yake na BM kumpa mpango utarajiwao kumuumiza ili ajinasue.

ULISHAJIULIZA KWA NINI BM ALIKUWA AKIMZODOA JPM KWAMBA CHOCHOTE ANACHOKIPANGA IWE USINGIZINI AMA NDOTONI YEYE ANAKIFAHAMU?!

Makonda alikuwa hawezi kabisa kukubali mipango yeyote ya kumuumiza BM kwa sababu ya wema aliotendewa na BM kabla ya JPM kuibuka ghafla.

BM alishamwepusha na hatari nyingi Makonda zilizokuwa zikipangwa na timu mamvi na R kipindi akiwashambulia kwa tuhuma za ufisadi Lowasa na Rostam na kwalo pamoja na uswahiba wa yeye na JPM lakini bado kwa namna yeyote aliapa kulipa fadhira kwa kumwepusha BM na dhahama yeyote ile.

Ujanja wote wa Membe na kiburi chote ndani ya Utawala wa JPM ulihisaniwa na Makonda ambaye ndiye alikuwa mwandani wa kufa na JPM.

Paul haishi Masaki kwa bahati mbaya. Paul ni CHUNGU NA TAMU KWA WATAWALA! Paul yupo, atakuwepo hadi mwenyezi Mungu ATAKAVYOAMUA VINGINEVYO.

IMANI YA JPM KWA MAKONDA NDIYO ILIYOMWEPUSHA NA HATARI NYINGI BM.

NB: ZIMWI LIKUJUALO....
Mkuu umetoa heresay, hauna specifics.
 
Mengi uliyoandika ni ukweli kasoro issue ya kuwa Makonda alikuwa anamuepusha Membe dhidi ya dhahma ya Magufuli.

Ukweli ni kwamba Makonda ana kawaida ya kujenga LOYALTY na kiongozi aliyepo mbele yake wakati huo. Makonda hawezi akarudi nyuma kumhifadhi au kumtetea mtu yeyote ambaye hana madaraka kwake. Ukweli ni kwamba Membe alijaribu sana kumtafuta Makonda ili amsuluhishie kwa Magufuli kuhusu ISSUES zake lakini Makonda alikuwa HAPOKEI simu za Membe!!

Kama Makonda angekuwa mtu mwema basi angemtetea kwa Magufuli aridhie Membe aende kule AU alikopata kazi, lakini Magufuli akamkatalia kumu endorse. Wewe ni MWONGO.

Halafu nakushangaa jana ulikuwa na thread yako humu inasema Hakuna kifo kiliniumiza kama cha Magufuli

Hapo ulihuzunika na kifo cha Magufuli, na kwenye thread hii unakiri kabisa UHAYAWANI na UKATILI wa Magufuli. Watanzania wanafiki sana
Wapi kwenye andiko langu nimeandika Magufuli mbaya?!

Magufuli alimuona BM ni kikwazo kwenye Utawala wake na ningeweza kumzuia?!

Kwangu mimi JPM ni Rais bora kabisa kutokea katika Bara letu la Afrika! Na kama ni mapungufu basi anayo kama ilivyo kwa binadamu yeyote.
 
Back
Top Bottom