Paul Makonda informer wa Benard Membe katika ya Utawala Magufuli

This is a very honest post umebalance mapenzi yako na uhalisia. Safi sana
 
Hili nalo mkalitizame,,
 
Hili nalo mkalitizame,,
 
Ila Makonda katika watu ambao walikuwa na njia nyeupe ya kufika mbali ila wakaharibu upepo wao kwasababu ya Kiburi, majivuno na ufahari wa kupitiliza basi Makonda atafunga hesabu.

Huyu bwana angeweza kuzicheza karata zake vema miaka ya JPM na kumaintain low profile nina uhakika saa hii angekuwa ameshapata unaibu waziri au uwaziri kamili.

Kimsingi jamaa hakujua kwenda na zali lake. Ushamba mwingi.
 
Huu ni uongo uliokithiri
 
Anaweza kuwa alimtaja kimagumashi/kuzuga tu waliokuwa wanatafutwa ni Manji na Mbowe tu😅😅
Huwezi zuga kwa kutaja jina la mtoto wa Rais mstaafu miongoni mwao drug dealers, tena kijana ambaye ana political ambitions na yuko bungeni. Hayo ni either maelezo kutoka juu au ni ukweli, si vinginevyo
 
Ndio maana sikubaliani na dhana ya kwamba alikuwa trained na ofisa ngazi ya juu wa TISS, haonyeshi akili wala mafunzo ya juu ila ngazi ya chini sana. Kilichombeba ni roho yake ilivyo, kuweza kutumika kwenye kazi chafu akawa mkuu wa wilaya. Kwa JPM kilichombeba ni kabila na kama asset ya siasa za majitaka, same thing na Sabaya ila huyu kabila lilimuachia uongozi wa wilaya na experience ya kumpandisha juu ya wadhifa huo hakuwa nayo.
 
Anaweza kuwa alikuwa trained kwa kazi moja tu maalum
 
Magufuli ni Rais wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania. Alikuwa muuaji, mwizi wa mali ya umma na mwongo, mkandamiza demokrasia na mtu asiyefuata utawala wa sheria. Kama angekuwa bado hai leo hii Taifa letu lingekuwa na mpasuko mkubwa kiuchumi kisiasa na kijamii kuliko zilivyo Yemen na Somalia. Tuendelee kumshukuru Mungu kwa kutuondolea yule shetani.
 
Hatari sana!
kwa JK hapo mkuu nina wasiwasi kama bado ni marafiki maana alimtaja mtoto wake kwenye tuhuma za dawa za kulevya. Au labda ntakuwa nimechanganya mafaili?
Hata kama. JK hawezi kumwacha coz bashite ni kibaka mzoefu na anaejiamini. Ni rahisi kumtumia kwani nj cheap labour.
Akipewa ugali tu, atafanya kazi mia.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hii kwa upande wako usilazimishe kila mtu amwone kwa mtizamo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…