Paul Makonda informer wa Benard Membe katika ya Utawala Magufuli

Umenikumbusha siri za vikao vya JPM zilivyokuwa zinavuja kupitia kwa Saa100 kwenda kwa waziri wa sasa wa kuleta umeme.
Wakati huo mmoja alikuwa makamu wa JPM mwenzake alikuwa waxiri wa mazingira na muungano,
 
So maza alikuwa snitch kwa JPM?
 
Il
ilikuwa ni may na sasa october makonda huyoooo…🤸‍♀️🤸‍♀️
 
Na siku USA watakapomwondolea Makonda tuhuma walizo mtuhumu, amini nawaambia mtoto pendwa atarejeshwa kesho yake katika Ufalme wa 🇹🇿.

NB: ZIMWI LIKUJUALO....
Suzy Suzy Elias , what has katazo la US kwa Makonda got to do with kurejeshwa kwa Makonda?.
Katazo la US bado lipo na Konda Boy ameisharejea!, 2025 ni Mjengoni then...
P
 
Suzy Suzy Elias , what has katazo la US kwa Makonda got to do with kurejeshwa kwa Makonda?.
Katazo la US bado lipo na Konda Boy ameisharejea!, 2025 ni Mjengoni then...
P
Ndugu, wakati fulani Rais Samia alishawaomba USA wamwondolee Paul hilo zuio na wao wakamjibu watalifanyia.

Ki-msingi zuio lile halina mashiko kwa sasa. Na hii ni kwa namna Rais Samia alivyo WAPENDELEA watoa zuio.

Na mwaka ujao hautoisha, Paul Makonda atafanya ziara USA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…