Paul Makonda kukabidhi Ofisi kwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge

Ndivyo ilivyo.

Mkuu wa mkoa mstaafu wa Dsm Paul Makonda atafanya makabidhiano rasmi na mrithi wake Aboubakar Kunenge katika sherehe fupi itakoyohudhuriwa na watumishi wote.

Tumtakie kila la kheri anayeondoka na anayeingia.

Maendeleo hayana vyama!
Sidhani kama Baba Jay alikuwa ana uhakika wa Mwanae mpendwa Bashite kudondokea kichojo Kule Kiga.
 
Ndivyo ilivyo.

Mkuu wa mkoa mstaafu wa Dsm Paul Makonda atafanya makabidhiano rasmi na mrithi wake Aboubakar Kunenge katika sherehe fupi itakoyohudhuriwa na watumishi wote.

Tumtakie kila la kheri anayeondoka na anayeingia.

Maendeleo hayana vyama!
Ile ofisi aliifanyia matengenezo makubwa.
Namshauri raisbikimpendeza lie jengo aachiwe makonda
 
Ndivyo ilivyo.

Mkuu wa mkoa mstaafu wa Dsm Paul Makonda atafanya makabidhiano rasmi na mrithi wake Aboubakar Kunenge katika sherehe fupi itakoyohudhuriwa na watumishi wote.

Tumtakie kila la kheri anayeondoka na anayeingia.

Maendeleo hayana vyama!
Cheo ni dhamana 'tukipewa hivi vyeo tusibweteke'
 
Kama kuna mwana usalama aliingia kichwani kwake kumwambia Mzee amemaua aache uRc akagombee ccm amemuweza sana
Umenikumbusha kitu

Zamani kule Moshi alikuwepo bwana mmoja alimiliki bus lake aina ya ISUZU INJECTION. Kwa wakati ule ndiyo lilikuwa tolea la juu kabisa.

Huyu Bwana alikuwa mbabe sana kwa wamiliki wenzake wa mabasi na alikuwa hataki kufuata foleni kupakia. Baada ya wamiliki wenzake kuchoka na manyanyaso, alitokea mmoja akamdanganya kampuni X inauza basi lake la wafanyakazi aina ya LEYLAND kwa bei poa sana na wangemuunganisha ili yeye ndiyo auziwe. Kwa ile tamaa ya kumiliki basi kubwa akauza ile ISUZU Injection na kwenda kule Kiwandani X.

Kufika kiwandani X akaambiwa hakuna na wala hawajawahi kuwa na mpango wa kuuza basi lao la wafanyakazi. Na huo ndio ulikuwa mwisho wake wa kumiliki basi na ubabe stendi ukakoma
 
Ndivyo ilivyo.

Mkuu wa mkoa mstaafu wa Dsm Paul Makonda atafanya makabidhiano rasmi na mrithi wake Aboubakar Kunenge katika sherehe fupi itakoyohudhuriwa na watumishi wote.

Tumtakie kila la kheri anayeondoka na anayeingia.

Maendeleo hayana vyama!
Na tena mfikishie salaam na akaombe ukimbizi somalia baada ya hiyo sherehe fupi.
 
Hujaelewa wewe, anaposema watumishi anamaanisha watumishi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa.
 
Je Yale magari??? Maana Kuna moja lilikua matata sana🙌🙌
 
Ile migari iliyokuwa akiifunga plate number za RC nayo ataikabidhi au ni yake binafsi?na akihama pale masaki wapi ataelekea kwa sasa? Maisha yanaenda kasi sana
Kumbe mwamba alikuwa anakaa mji wa mazimba Masaki!?🤣🤣🤣

Aje Chanika tu huku nyumba bei rahisi.
 
Tamaa mbaya, unalala ndani nje kuna ulinzi, unatembelea gari unayotaka, ofisini unaweka temperature unayotaka, mara ghafla leo hii unaonekana mjini kama mzururaji.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…