Mambo ya GSM hayo,enzi zile Masha alivyopigwa chini kwa hasira alienda ofisini kwake akang'oa mpk Vitasa alivyoviweka yeye.
Kwanini wampende?kwa nini majority wanamchukia Makonda?
Roho inamuuma sana kukabidhi ofisi aliyofurnish kwa furniture za ghali na kisasa utadhani ofisi ya CEO flani wa kimataifa.Mbona imemchukua muda mrefu sana kukabidhi Ofisi?
Mi naona atakschokosa hpo ni ile sauti ya mamlaka tu lkn mpunga si unaendelea kusoma km kawaida au hii imekaajeAkimaliza kukabidhi ofisi, atafute kazi nyingine ya kufanya Dar haraka sana au arudi kwao Koromije, maana jiji la Dar hatutaki wazururaji wasiokuwa na kazi maalum.
Ndivyo ilivyo.
Mkuu wa mkoa mstaafu wa Dsm Paul Makonda atafanya makabidhiano rasmi na mrithi wake Aboubakar Kunenge katika sherehe fupi itakoyohudhuriwa na watumishi wote.
Tumtakie kila la kheri anayeondoka na anayeingia.
Maendeleo hayana vyama!
Na pia awe anaoga mara kwa mara,jiji letu hatutaki watu wanaonuka kikwapaAkimaliza kukabidhi ofisi, atafute kazi nyingine ya kufanya Dar haraka sana au arudi kwao Koromije, maana jiji la Dar hatutaki wazururaji wasiokuwa na kazi maalum.
wanaomchukia hawajui kwa nini wanamchukia.Kwanini wampende?
Wanaompenda hawajui kwanini wanampenda.wanaomchukia hawajui kwa nini wanamchukia.
hilo hatuna tatizo nalo ruksa kikatiba hata akipewa unaibu waziri mkuu!.Wekeni akiba ya maneno ili msijepatwa na kiharusi pale mtapoona makonda anatumikia nafasi kubwa zaidi ya u RC mapema baada ya October. Nawatahadharisha!