Paul Makonda kukabidhi Ofisi kwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge

Paul Makonda kukabidhi Ofisi kwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge

Akimaliza muambie mashabiki wa Simba tunataka jezi za Simba huku Buchosa.Ile gari yake ya kizungu si anaweza beba jezi hata elfu moja.
 
Akimaliza kukabidhi ofisi, atafute kazi nyingine ya kufanya Dar haraka sana au arudi kwao Koromije, maana jiji la Dar hatutaki wazururaji wasiokuwa na kazi maalum.
Mi naona atakschokosa hpo ni ile sauti ya mamlaka tu lkn mpunga si unaendelea kusoma km kawaida au hii imekaaje
 
Politics is the art of looking for trouble, finding it everywhere, diagnosing it incorrectly and applying the wrong remedies.
 
Ile kesi ya yale makontena yake pale bandarini iliishia vipi
 
Ndivyo ilivyo.

Mkuu wa mkoa mstaafu wa Dsm Paul Makonda atafanya makabidhiano rasmi na mrithi wake Aboubakar Kunenge katika sherehe fupi itakoyohudhuriwa na watumishi wote.

Tumtakie kila la kheri anayeondoka na anayeingia.

Maendeleo hayana vyama!

Akishakabidhi ofisi ya RC Bw. Makonda aondoke Dar. Mkoa wetu hatutaki wazururaji, watu wasio na kazi, na wabangaizaji.
 
Kila La Heri
Acha Akatumikie Upande Mwingine
 
Akimaliza kukabidhi ofisi, atafute kazi nyingine ya kufanya Dar haraka sana au arudi kwao Koromije, maana jiji la Dar hatutaki wazururaji wasiokuwa na kazi maalum.
Na pia awe anaoga mara kwa mara,jiji letu hatutaki watu wanaonuka kikwapa
 
Wekeni akiba ya maneno ili msijepatwa na kiharusi pale mtapoona makonda anatumikia nafasi kubwa zaidi ya u RC mapema baada ya October. Nawatahadharisha!
hilo hatuna tatizo nalo ruksa kikatiba hata akipewa unaibu waziri mkuu!.
muhimu ujumbe umewafikia (mteuaji & mteuliwaji) kwamba jamaa hakubaliki kwa kukataliwa kwenye kura za wazi kbs!.
 
Back
Top Bottom