Paul Makonda kukabidhi Ofisi kwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge

Paul Makonda kukabidhi Ofisi kwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge

Mi bado siamini. Kwa hiyo matamko yoooote yale leo anakabidhi ofisi kwa mtu mwengine? Ama kweli hakuna marefu yasiyo na ncha.
 
This is too much exaggeration. Kuhudhuriwa na kila Mtumishi? Ina maana ofisi zoote kufungwa kuanzia bandari, Tanesco, wizara zoote, nk na woote watahudhuria mkutano!!? Hata mkutano wa rais haujawahi kuwa hivyo. Watumishi wanaohudhuria mikutano hawawezi kufika hata nusu.

Wengine lazima wabaki ili mambo yaende. Punguza ushabiki dada usio na maana. Usemacho ni kinyume na logic
Sio Kila Jambo lazima uelewe na uchsngie !
 
Ndivyo ilivyo.

Mkuu wa mkoa mstaafu wa DSM Paul Makonda atafanya makabidhiano rasmi na mrithi wake Aboubakar Kunenge katika sherehe fupi itakoyohudhuriwa na watumishi wote.

Tumtakie kila la kheri anayeondoka na anayeingia.

Maendeleo hayana vyama!
Aondoke tu Kubabeki😀
 
Bila picha kama sioni kitu vile, kama siamini vile, ila pia akipewa nafasi kuongea na waandishi hatafanya kosa kumgusa mzee
 
Ndivyo ilivyo.

Mkuu wa mkoa mstaafu wa DSM Paul Makonda atafanya makabidhiano rasmi na mrithi wake Aboubakar Kunenge katika sherehe fupi itakoyohudhuriwa na watumishi wote.

Tumtakie kila la kheri anayeondoka na anayeingia.

Maendeleo hayana vyama!

Katika hayo Makabidhiano bila shaka anayekabidhiwa ataelezwa vyema walipo Wapendwa wetu mbalimbali ' Waliopotea ' kama si ' Kutoweka ' hadi hivi Leo Taifa na Watanzania tunawalilia. Na kama haitoshi ni Matumaini yangu makubwa pia ' Mkabidhiwa ' ataambiwa Pesa za Yussuf Manji zilizochukuliwa Kwake pale Sea View zilipo na mwisho ' Mkabidhiwa ' atahakikishiwa kama Waganga wa Kienyeji nao Watahama hapo Ilala Boma.
 
Ndivyo ilivyo.

Mkuu wa mkoa mstaafu wa DSM Paul Makonda atafanya makabidhiano rasmi na mrithi wake Aboubakar Kunenge katika sherehe fupi itakoyohudhuriwa na watumishi wote.

Tumtakie kila la kheri anayeondoka na anayeingia.

Maendeleo hayana vyama!
Mkuu, mzee Mgaya anabashiri nini uchaguzi ujao?
 
Akimaliza kukabidhi ofisi, atafute kazi nyingine ya kufanya Dar haraka sana au arudi kwao Koromije, maana jiji la Dar hatutaki wazururaji wasiokuwa na kazi maalum.
Halafu mwambieni liwe linaoga lisije kuingia mjini mitaa ya posta bila kuoga wala kunyoosha nguo,Kuna watalii wanakuja Serena hotel next month ni rafk zangu nilifanya nao LLM kwa Qeen Elza.
 
Ndivyo ilivyo.

Mkuu wa mkoa mstaafu wa DSM Paul Makonda atafanya makabidhiano rasmi na mrithi wake Aboubakar Kunenge katika sherehe fupi itakoyohudhuriwa na watumishi wote.

Tumtakie kila la kheri anayeondoka na anayeingia.

Maendeleo hayana vyama!
Anaye ondoka kheri ya nini..wakati tunapumua sasa
 
Back
Top Bottom