Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli

Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli

Nakumbuka ugomvi wa maraper wa west coast and east coast marekani…Tupac na sijui nani jina limetoka wa east walipoteza maisha…yaani mpaka damu zimwagike ndio watu wanapoaga akili…ila sasa kuna pepo la hasira na visasi tusipokaa sawa litatumaliza….

Kama hakuna Toba kisasi Ni lazima. Kama Makonda kafanya yote Yale halafu asitubu lazima kisasi kitamuangukia. Rais wa kwanza wa Zanzibar Abeid Karume Ni mfano mzuri wa kisasi.
 
Lipo la kujifunza but kikubwa cha kujifunza ni UNAFIKI asee, yaani watanzania tunaongoza kwa UNAFIKI na kutakiana mabaya daa we're the number one..!

Wewe ndio mnafiki wa kwanza. Wakati Lissu analimwa risasi wewe ulisemaje? Unafiki uje leo makonda kulialia anataka kuuwawa? Makonda Ni mtu mbaya Sana ndio maana Wana CCM wa kigamboni walimpiga Chini
 
makonda humu ndani ya jf wengi ni mazezeta wa mbowe ukiona tusi au wanakusema vibaya usilifuatilie ni chadema waliokosa kura za ubunge na wenye viti bado wanahasira

Ndio tatizo lako hata mfumuko wa Bei mtasema Ni chadema wamesababisha. Makonda analia Kuna makundi yanataka kumuua na katika kundi Hilo hakuna chadema, lakini wewe chawa was makonda umekimbilia chadema.

Lazima ukubali makonda hakubaliki. Ndio maana kila mtu kamkimbia akiwemo Sheikh Assad wa Dar. Hata CCM kigamboni walimpiga Chini kwa sababu Hana kibali kwa wananchi.
 
Wote mnao mponda makonda ata nanyie mngekua katika nafasi yake mngefanya Yale Yale alio yafanya I mean life is a death race u can't be a King without killing some people .. uwezi kufanya kazi yakudhibiti madawa ya kulevvya bila kuumiza bahadhi ya watu .. kubali ukatae that's the facts .. makonda did the greatest job despite of some personal weaknesses ..

Ata Sasa kuna watu bado wana nyanyasika wanauliwa wanadhurumika vile vile mmesaau ya Hamza ? Kudhurumiwa na polisi adi kuingia mtaani na mtutu ?

Ata mungu aliagiza baadhi ya wafalme na wakuu wa jeshi kuwauwa watu fulani au jamii fulani ili kulinda ufalme ..

Even in life u have to cut off some people so that u can move forward .

Just look at this time .. raisi samia anachokifanya .. she just tryna cut off people faith on magufuli Ili kujiakikishia wapiga kura 2025 according to her speech alisikika akisema zamani kulikua na nidham ya uwoga maana tulikua na Simba wayuda anae rarua hii Ni kauli yaki snitch mnoo but all in all siwezi kumchukia kwakua najua Ni njia yakulinda uwongozi wake usionekane Ni dhaifu dhidi ya uwongozi uliopita ..

wengiwenu bado vijana Kama Mimi ila mkiwauliza ma Babu zenu watawambia jinsi mwalimu nyerere alivyo kua ndio rais alieogopwa Zaid nchini ata magufuli aeziona ndani ..

Come on guys uraisi Ni power rais inatakiwa uwe na uzito fulani ukifika mahali watu wajue Kuna eagle yupo apa tazama magufuli alivyokua akifika ata nchi jirani Kama Kenya angalia speech zake linganisha na speech za nyerere ndio maraisi ambao walikua na speech zinazoeleweka na zenye uzito na amasa ..

Sisemi kwamba awakukosea maali .. .

Makonda needs some respect from y'all acheni kumnanga .. soko la karume kwa Sasa Ni sodoma part 2 lakini Nani anaongelea ilo ?

Ambao wako kwenye nafasi ya makonda wamesha fanya makubwa Kama yeye ? Am out ..
 
Aliyekuwa RC wa Dar es salaam, Paul Makonda anasema kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua.

Ameandika hayo kupitua ukurasa wake wa Instagram na kusema Makundi hayo ni pamoja na Wauza Madawa ya kulevya, mashoga nk

Ameandika “
Nafahamu kuna mkakati unaoratibiwa na Makundi 5 kuangamiza maisha yangu.

1) WAUZA MADAWA YA KULEVYA
2)WANUFAIKA NA MADAWA YA KULEVYA
3) MASHOGA
4)WANAOKESHA USIKU KUCHA KUTAFUTA KULIPA KISASI KWA WASAIDIZI WA DR MAGUFULI.
5) WALIOWAHI KUWA SEHEMU YA ……. Nafahamu pia juu ya mbinu zinazoandaliwa ili kuniuwa kwa faida ya familia zao pamoja na kutengeneza mashaidi wa uongo ili mnipe kesi ya uhujumu uchumi.

Mambo mawili najiuliza

1)PAMOJA NA KAZI ZOTE NZURI NILIZOZIFANYA KWA CHAMA CHANGU,SERIKALI YANGU NA WANANCHI WA DAR HAYA NDIYO MALIPO YAKE?

2)Hakika ukiwa mtumishi mwaminifu unaetetea haki za wanyonge tena ukitokea kwenye familia masikini haya ndiyo malipo yake ?

MTU aliejemga hospital , aliejenga ofc cha CCM, Magari ya police 👮‍♀️, ofc za Walimu, vituo vya police, shule za secondary mpaka na msingi, kutibu wagonjwa mpaka Meli kuja Tanzania,kuhudumia Makundi mbali mbali mpaka kuiunganisha Serikali na Viongozi wa Dini. leo hii naonekana eti natakiwa kunyongwa.

Pamoja na kwamba lipo kundi kwenye mitandao linalolipwa ili kuwaanda watanzania pale watakapo nikamata ionekane ni sawa. Hakika ipo siku Walemavu, yatima, wajane na waliotamani watoto WAO wasife kwa MADAWA ya KULEVYA SAUTI ZAO ZITASIKIKA.

#Ukiona maji yametulia jua kina nikilefu.”

Kushambulia wengine ni sawa, lakini akihisi kushambuliwa na hayo makundi matano ni kulalamika... mkuki kwa nguruwe kwa kweli na malipo ni hapa hapa.., ni kama ile hadithi ya ndugai na Tundu... karma is Bitch- weupe walisema...
 
Kwa ufupi,Napendekeza siku utakayotiwa nguvuni itangazwe kuwa mapumziko ya Kitaifa.

Siku hukumu ya kesi yako itakaposomwa na kupigwa mvua ya miaka 30, Iwe ni siku ya maridhiano kitaifa,na watu wanaowakilisha makundi mbalimbali, yaliyosetwa kipindi cha Mwendazake washikane mikono na viongozi wakuu wa serikali na viongozi wakuu was dini zetu na ikawe ni ishara ya Taifa kuanza upya.
 
Aliyekuwa RC wa Dar es salaam, Paul Makonda anasema kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua.

Ameandika hayo kupitua ukurasa wake wa Instagram na kusema Makundi hayo ni pamoja na Wauza Madawa ya kulevya, mashoga nk

Ameandika “
Nafahamu kuna mkakati unaoratibiwa na Makundi 5 kuangamiza maisha yangu.

1) WAUZA MADAWA YA KULEVYA
2)WANUFAIKA NA MADAWA YA KULEVYA
3) MASHOGA
4)WANAOKESHA USIKU KUCHA KUTAFUTA KULIPA KISASI KWA WASAIDIZI WA DR MAGUFULI.
5) WALIOWAHI KUWA SEHEMU YA ……. Nafahamu pia juu ya mbinu zinazoandaliwa ili kuniuwa kwa faida ya familia zao pamoja na kutengeneza mashaidi wa uongo ili mnipe kesi ya uhujumu uchumi.

Mambo mawili najiuliza

1)PAMOJA NA KAZI ZOTE NZURI NILIZOZIFANYA KWA CHAMA CHANGU,SERIKALI YANGU NA WANANCHI WA DAR HAYA NDIYO MALIPO YAKE?

2)Hakika ukiwa mtumishi mwaminifu unaetetea haki za wanyonge tena ukitokea kwenye familia masikini haya ndiyo malipo yake ?

MTU aliejemga hospital , aliejenga ofc cha CCM, Magari ya police [emoji1986], ofc za Walimu, vituo vya police, shule za secondary mpaka na msingi, kutibu wagonjwa mpaka Meli kuja Tanzania,kuhudumia Makundi mbali mbali mpaka kuiunganisha Serikali na Viongozi wa Dini. leo hii naonekana eti natakiwa kunyongwa.

Pamoja na kwamba lipo kundi kwenye mitandao linalolipwa ili kuwaanda watanzania pale watakapo nikamata ionekane ni sawa. Hakika ipo siku Walemavu, yatima, wajane na waliotamani watoto WAO wasife kwa MADAWA ya KULEVYA SAUTI ZAO ZITASIKIKA.

#Ukiona maji yametulia jua kina nikilefu.”

Zam zam
 
Back
Top Bottom