Paul Makonda kupokelewa kishujaa Arusha, Magari ya msafara yafurika uwanja wa ndege kumsubiri atue

NAFURAHI KUONA WAKAZI WA ARUSHA WAPO NA NYUSO ZA FURAHA KWELI HAKIKA ARUSHA IMEPATA KIONGOZI SAFI KABISA.
-wizi wa magari utakwisha ✔
-uzembe utakwisha ✔
-huduma safi kwa wananchi ✔
-siasa chafu zinakwenda kukoma ✔
-migogoro yote inakwenda kumalizika ✔
N. B, Arusha ni Jiji la starehe na kitalii humo usiwaguse!
 
Ndugu zangu Watanzania,
Umekosa hata nauli ya kwenda kupiga picha uchawa unakusaidi nini sasa
 
Huyu anaitwa Lucas Muosha Mbwa.... Muosha micundu ya ccm
 
Nakumbuka wakoloni nao wakipokelewa kishujaa
 
Makonda asili yake anapenda sifa,we msifie tu

Ova
 
Makonda asili yake anapenda sifa,we msifie tu

Ova
Mwamba Makonda ni kipenzi cha watanzania kinachoishi ndani ya mioyo yao.ndio maana unaona kwa sasa kila sehemu ni habari za Mwamba ndio zimeteka na kutawala.
 
Mwamba Makonda ni kipenzi cha watanzania kinachoishi ndani ya mioyo yao.ndio maana unaona kwa sasa kila sehemu ni habari za Mwamba ndio zimeteka na kutawala.
Mimi namjuwa kuliko wee unavyomfikiria na kumuandika
Kuna watu humu wanawajuwa watu syo kwa kuwasikia tu bali
Kuwafahamu
Ndomana nakuambia huyo makonda ni mpenda misifa kitambo tu

Ova
 
huyo atakuja kuvuruga tuu utulivu wa ARUSHA ataleta siasa zake za uhasama na wapinzani hatimaye watavuruaga tena utalii.
mnyang'anyi ana uhasama, hasira , gubu na kinyongo zaidi 🐒
 
Mimi namjuwa kuliko wee unavyomfikiria na kumuandika
Kuna watu humu wanawajuwa watu syo kwa kuwasikia tu bali
Kuwafahamu
Ndomana nakuambia huyo makonda ni mpenda misifa kitambo tu

Ova
Itakuwa una chuki zako binafsi tu na Mwamba. Hakuna nchi hii asiye fahamu na kutambua uchapakazi wa Mwamba Mwenyewe Makonda kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara.hakuna asiye fahamu uwezo wake kiuongozi,ubunifu wake pamoja na uzalendo wake kwa Taifa lake. Wewe huwezi kujiuliza kwanini anateka hisia za watu na kupendwa sana habari zake kufuatiliwa pale anapokuwa na tukio au jambo lolote lile hapa nchini?
 
Mimi nakuambia huyo ni mpenda sifa tokea zamani sizungumzi uchapakazi wake

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…