Paul Makonda kupokelewa kishujaa Arusha, Magari ya msafara yafurika uwanja wa ndege kumsubiri atue

NAFURAHI KUONA WAKAZI WA ARUSHA WAPO NA NYUSO ZA FURAHA KWELI HAKIKA ARUSHA IMEPATA KIONGOZI SAFI KABISA.
-wizi wa magari utakwisha ✔
-uzembe utakwisha ✔
-huduma safi kwa wananchi ✔
-siasa chafu zinakwenda kukoma ✔
-migogoro yote inakwenda kumalizika ✔
N. B, Arusha ni Jiji la starehe na kitalii humo usiwaguse!
 
Ndugu zangu Watanzania,
Arusha kumekucha,kanda ya kaskazini imesimama, wananchi wanatetemeka kwa furaha, shughuli zote zimesimama, habari ni moja tu, stori ni moja tu ni juu ya ujio wa Mwamba Mwenyewe Mheshimiwa Paul Christian Makonda Kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara.

Imeshuhudiwa magari ya watalii na kitalii yakiwa yamefurika kwa wingi uwanjani kwa ajili ya kumsubiri Mwamba atakapotua uwanja wa ndege ,ili kuweza kumlaki na kumpokea na kuongoza msafara mzito wa Magari kuwahi kushuhudiwa ndani ya jiji la Arusha kuelekea ofisi ya mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa ajili ya makabidhiano ya Ofisi..

Vijana na wananchi wa Arusha wamejawa na furaha na matumaini makubwa sana juu ya ujio wa Mwamba. Ni gumzo kila mahali,ni shamra shamra kila kona,ni mshike mshike kila sehemu juu ya mapokezi ya Mwamba Makonda jasusi na komando wa vita, field Marshall aliyetangaziwa Mwisho na maadui zake lakini Mungu akautangaza mwanzo wake ulio mkuu na wa ushindi..

Leo nchi kusimama na macho na masikio ya watanzania wote kuelekezwa Arusha na kanda ya kaskazini.upinzani wanatetemeka utafikiri wagonjwa wa homa kali,moja haiendi wala mbili haisomi,upinzani hasa CHADEMA wote wanabubujikwa machozi ya huzuni ya kuona mwisho wao kisiasa ukiwa umewadia.

Endeleeni kutulia kufuatilia kitakachojili na kitakachozungumzwa na Mwamba Mwenyewe Makonda . nitaendelea kuwaleteeni kila kitu na kila habari na kila neno litakalo toka kinywani mwa Mwamba Mwenyewe Makonda Jabali la siasa.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

Umekosa hata nauli ya kwenda kupiga picha uchawa unakusaidi nini sasa
 
Huyu anaitwa Lucas Muosha Mbwa.... Muosha micundu ya ccm
 
Nakumbuka wakoloni nao wakipokelewa kishujaa
 
Makonda asili yake anapenda sifa,we msifie tu

Ova
 
Mwamba Makonda ni kipenzi cha watanzania kinachoishi ndani ya mioyo yao.ndio maana unaona kwa sasa kila sehemu ni habari za Mwamba ndio zimeteka na kutawala.
Mimi namjuwa kuliko wee unavyomfikiria na kumuandika
Kuna watu humu wanawajuwa watu syo kwa kuwasikia tu bali
Kuwafahamu
Ndomana nakuambia huyo makonda ni mpenda misifa kitambo tu

Ova
 
huyo atakuja kuvuruga tuu utulivu wa ARUSHA ataleta siasa zake za uhasama na wapinzani hatimaye watavuruaga tena utalii.
mnyang'anyi ana uhasama, hasira , gubu na kinyongo zaidi 🐒
 
Mimi namjuwa kuliko wee unavyomfikiria na kumuandika
Kuna watu humu wanawajuwa watu syo kwa kuwasikia tu bali
Kuwafahamu
Ndomana nakuambia huyo makonda ni mpenda misifa kitambo tu

Ova
Itakuwa una chuki zako binafsi tu na Mwamba. Hakuna nchi hii asiye fahamu na kutambua uchapakazi wa Mwamba Mwenyewe Makonda kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara.hakuna asiye fahamu uwezo wake kiuongozi,ubunifu wake pamoja na uzalendo wake kwa Taifa lake. Wewe huwezi kujiuliza kwanini anateka hisia za watu na kupendwa sana habari zake kufuatiliwa pale anapokuwa na tukio au jambo lolote lile hapa nchini?
 
Itakuwa una chuki zako binafsi tu na Mwamba. Hakuna nchi hii asiye fahamu na kutambua uchapakazi wa Mwamba Mwenyewe Makonda kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara.hakuna asiye fahamu uwezo wake kiuongozi,ubunifu wake pamoja na uzalendo wake kwa Taifa lake. Wewe huwezi kujiuliza kwanini anateka hisia za watu na kupendwa sana habari zake kuatiliwa pale anapokuwa na tukio au jambo lolote lile hapa nchini?
Mimi nakuambia huyo ni mpenda sifa tokea zamani sizungumzi uchapakazi wake

Ova
 
Back
Top Bottom