Pre GE2025 Paul Makonda: Lissu mjanja ameona maandamano hayana maana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hii nchi inamajinga mengi Tena mapumbafu haswaaaa... Nyerere angekuwepo angerudisha likadi la kijani, hivikweli yaani mtu mzima Tena timamu unakaa unamsikiliza mpaka unaposti anachosema mtu kama huyu asiyefaa? Kwa nchi zenye watu werevu huyu hata ubalozi nyumbakumi asingelipata!!
Jitu lililojinadi kuchapa viboko babazake na mamazake watumishi serikalini eti Leo ndiyo lienezi la chama!!! Mtu alompiga babayake mzee warioba Leo nikiongozi ngazi ya juu chamani.
SIWEZI KUMSIKILIZA HATA AKIUBIRI NENO LAMUNGU MPAKA AKIRI NA KUOMBA MSAMAHA KWA MAOVU MEEENGI ALOTENDA...
 
Huna jipya mkuu vipi wale waliotelekeza Watoto wao ushawamaliza Nchi nzima?

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 

Wewe mbweha nae unaropoka sana.

Ukiambiwa ulete ushahidi na ID yako fake hiyo utaweza?


Wana JF wengi ni kufata mkumbo tu kuwa jamaa ni mhalifu lakini ukimwambia mtu toa ushahidi anaanza kurukaruka.

Nenda mahakamani kamshitaki usipige kelele hapa jukwaani.


Stop acting like a fool kama una evidences nenda mahakamani.
 
Wewe mbweha nae unaropoka sana.
Muulize mama yako kama mimi ni mbweha na fool, maana ananijua kuwa mimi ni mtu mwema sana sina shida na mtu na ndiyo maana nimekuwa naye maisha yangu yote. Uko dunini kwa vile mimi baba yako niko makini
 
Div 0 anakutoa povu? Je tukija sisi wenye PhD zetu itakuwaje? Si utakufa kabisa
 

Mbowe alipata div ngapi form six?
 
Lissu ameshatangaza kurudi kwaajili ya maandamano.
 
OPERESHENI FUKUZA WAHUNI 24 ONE 24 WIZI UMETOOOSHA!!
WANAMUWAZA LISSU ANAWATETEMESHA SASA WAJUE ATAKUWEPO (24/1/24)!!
TUSISIKILIZE WAHUNIII....
 
Mwambieni mh Lissu yupo njiani alirejea nchini kushiriki maandamano matakatifu.

Mwambie Makonda aende Airport akampokee kabisa.
 
Hivi ile ban alipigwa na USA Bado ipo valid?
 
Alishajibu swali la

Ni wapi alikuwa wakati Lissu anapigwa risasi Dodoma?
Maana hakua ameonekana kwenye mkutano wa Magu Dar kupokea ripoti ya makenikia.
Jamaa huwaga simpendi hata kumuona na nikifungulia tv stations nikakuta anaongea fasta nazima
 
Hakika kwa Mungu hakuna mkubwa
 
Nilikuwa nakuweka kwenye kundi la watu weledi humu JF by vertue of your ID, Syllogist.....syllogism ...philosophical ......kumbe na wewe mko sawa na makonda!
Hao wanaongozwa na matumbo tu uutakuta ni dreva pale Lumumba basi anashiba kupitia Makonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…