Pre GE2025 Paul Makonda: Lissu mjanja ameona maandamano hayana maana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine,na unatakiwa kupuuzwa.
 
Mbona unaandika huu ujinga wako huku umejificha kwenye jina la bandia?, Ninaamini wewe una ushahidi wa kola makonda alivyohusika kwenye hilo tukio,jitokeze wazi kwenye vyombo vya dola ili makonda awajibike,nyie mnafikiri watanzania woote ni wajinga na wapumbavu kama nyie!?.
 

Nimeona Lisu Leo anaongea na waandishi wa habari ….hawa watu walimdanganya magufuli kuwa wanaiuwa chadema akawaapa mabilioni ya kununua watu hovyo…
Naona sasa wanamdanyanya mama kuwa chadema kuna mpasuko …..
 
Paul Makonda amevunja haki za binadamu hasa ya kuishi, na kupigwa marufuku kuingia nchini Marekani, Rais Samia amempa cheo ndani ya Chama Cha Mapinduzi je' ni sawa?.
 
Nyie ni takataka tu,hoja zenu zimejaa upuuzi na ujinga,nendeni mkawadanganye nyumbu wenu huko ufipa,yaani makonda abusive na miadi ya kumwona rais?! .
 
WEWE UTAKUWA MAKONDA, UNAVYOMTETEA AU NI MUME WAKO
 
 
Nimeona Lisu Leo anaongea na waandishi wa habari ….hawa watu walimdanganya magufuli kuwa wanaiuwa chadema akawaapa mabilioni ya kununua watu hovyo…
Naona sasa wanamdanyanya mama kuwa chadema kuna mpasuko …..
Sioni kama chadema ni tishio kwa ccm bali kama sehemu ya ccm. Ccm ilicheza karata yake vzr mno kuwahadaa donors. Raia usipokuwa na akili unatumika mpaka uchakae.

Maoni binafsi lakini.
 
Makonda sikiliza hii maneno!!!!
 
Sasa hii si aibu au alikuwa anahutubia Mazuzu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…