simba road
Member
- Dec 29, 2015
- 63
- 67
Mtu kapata div 0, mnapataje muda wa kuandika upuuzi wake? Huyu Samia anamtumia kwa sababu he can kill mercilessly!
Muulize mama yako kama mimi ni mbweha na fool, maana ananijua kuwa mimi ni mtu mwema sana sina shida na mtu na ndiyo maana nimekuwa naye maisha yangu yote. Uko dunini kwa vile mimi baba yako niko makini
Duh, hata sijui nikujibu vipi!Nilikuwa nakuweka kwenye kundi la watu weledi humu jf
Mmawia, let common sense be common here.Alipata 0 ndiyo maana alishindwa kupata vyeti
Kila mmoja humu ara personal rating ya mtu. Kuna watu mimi nimewa block kabisa maana can not make sense to me! Kuna watu wakipost kitu lazima ufungue usome maana he/she writes sense! Ndiyo personal rating yangu!Duh, hata sijui nikujibu vipi!
Nitajitahidi hapa bila ya kukukwaza; kwamba wewe retired una uwezo wa kumweka na kumtoa memba kutoka kundi moja na kumweka kundi lingine? Hebu nifafanulie.
Au ndio unajitwisha ukuuππ
Mwaka huu kwangu ni mwaka wa toba. Nimekusamehe.