Paul Makonda mbali na mapungufu yote ya kibinadamu huyu ni kiongozi mbunifu sana, anatufaa 2030 awe Rais

Gabeji

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
1,530
Reaction score
1,903
Jinsi nchi ilipofika, imekuwa shamba la bibi kila mahali, watu wana ina pesa,sana , ufisadi, uvivu,uzembe, namwona Paul makonda angetufaa sana kama angeshika nchi 20230.

Ili aweze kurudisha uzalendo ndani ya nchi yetu. Ukimsikiliza speech yake ya leo ya arusha utajua kuwa ni kiongozi bora.

Leo nimemfutilia sana msimamo wake huwa hayumbishi na mtu.

Najua wengi mta toa matusi lakini Paul Makonda ni bonge la kiongozi achilia mbali mapungufu alionayo.

1.Ni kiongozi mbunifu

2.Ni kiongozi mwenye msimamo

3. Ni kiongozi mtendaji anasimamia ubadhilifu

4. Ni kiongozi mchapa kazi, anaweza kuubadilisha mind set za watendaji wa CCM. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.

Soma Pia: Makonda ajibu tuhuma za kumpiga risasi Tundu Lissu. Asema Lissu ana matatizo ya akili, aende Milembe
 
Dr. Makonda ni jembe Adimu sana!, Arusha imemuelewa ni wakati sasa akina lema, kusepa zao, hakika project zilizopo na zinazotarajiwa ni za hali ya juu sana ambazo hakuna ngedere ya chadema ingeweza kubuni, naiona mbali sana arusha baada ya miaka 10.
 
Kwenye makaratasi hata kwa mtogole ipo mbali sana ila muda ni mwalimu
 
Jinsi nchi ilipofika, imekuwa shamba la bibi kila mahali, watu wana ina pesa,sana , ufisadi, uvivu,uzembe, namwona Paul makonda angetufaa sana kama angeshika nchi 20230.

Ili aweze kurudisha uzalendo ndani ya nchi yetu. Ukimsikiliza speech yake ya leo ya arusha utajua kuwa ni kiongozi bora.

Leo nimemfutilia sana msimamo wake huwa hayumbishi na mtu.

Najua wengi mta toa matusi lakini Paul Makonda ni bonge la kiongozi achilia mbali mapungufu alionayo.

1.Ni kiongozi mbunifu

2.Ni kiongozi mwenye msimamo

3. Ni kiongozi mtendaji anasimamia ubadhilifu

4. Ni kiongozi mchapa kazi, anaweza kuubadilisha mind set za watendaji wa CCM. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.

Soma Pia: Makonda ajibu tuhuma za kumpiga risasi Tundu Lissu. Asema Lissu ana matatizo ya akili, aende Milembe
Na tukumbuke hakuna mkamirifu
 
Watanzania sijuo aliyeturoga nani...
Kwenye kauli yake amethibitisha kuwa clouds walikuwa wanamtumia kuvunja sheria. Amethibitisha kuwa walipokuwa na shida na TCRA wanampgia yeye.
Sasa hapo kawapa mfano mmoja tu, bila shaka hili analifanya TRA na kwingine akitumiwa na marafiki zake lakini kwa watanzania kuvunja sheria kwa wanasiasa mshaona kawaida.
Tanzania hakuna kiongozi ambaye anachukia ubadhirifu unless haumnufaishi. Ukitaka kujua hili bila shaka akiulizwa mali alizo nazo ndani ya kipindi cha miaka kumi hawezi kukueleza kazitoa wapi maana hata mshahara na marupurupu yake hayatoshi hata kumiliki nusu yake.
 
Jinsi nchi ilipofika, imekuwa shamba la bibi kila mahali, watu wana ina pesa,sana , ufisadi, uvivu,uzembe, namwona Paul makonda angetufaa sana kama angeshika nchi 20230.

Ili aweze kurudisha uzalendo ndani ya nchi yetu. Ukimsikiliza speech yake ya leo ya arusha utajua kuwa ni kiongozi bora.

Leo nimemfutilia sana msimamo wake huwa hayumbishi na mtu.

Najua wengi mta toa matusi lakini Paul Makonda ni bonge la kiongozi achilia mbali mapungufu alionayo.

1.Ni kiongozi mbunifu

2.Ni kiongozi mwenye msimamo

3. Ni kiongozi mtendaji anasimamia ubadhilifu

4. Ni kiongozi mchapa kazi, anaweza kuubadilisha mind set za watendaji wa CCM. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.

Soma Pia: Makonda ajibu tuhuma za kumpiga risasi Tundu Lissu. Asema Lissu ana matatizo ya akili, aende Milembe
Inaweza kuwa kulingana na maono na mtazamo wako ni mbunifu na mwenyesifa unazozitamani na kuzielewa wewe,ina inaweza kuwa wengi hawamwelewi wala kukubaliana na yale unayoona wewe kuwa ndio sababu ya kukubalika.
 
Jinsi nchi ilipofika, imekuwa shamba la bibi kila mahali, watu wana ina pesa,sana , ufisadi, uvivu,uzembe, namwona Paul makonda angetufaa sana kama angeshika nchi 20230.

Ili aweze kurudisha uzalendo ndani ya nchi yetu. Ukimsikiliza speech yake ya leo ya arusha utajua kuwa ni kiongozi bora.

Leo nimemfutilia sana msimamo wake huwa hayumbishi na mtu.

Najua wengi mta toa matusi lakini Paul Makonda ni bonge la kiongozi achilia mbali mapungufu alionayo.

1.Ni kiongozi mbunifu

2.Ni kiongozi mwenye msimamo

3. Ni kiongozi mtendaji anasimamia ubadhilifu

4. Ni kiongozi mchapa kazi, anaweza kuubadilisha mind set za watendaji wa CCM. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.

Soma Pia: Makonda ajibu tuhuma za kumpiga risasi Tundu Lissu. Asema Lissu ana matatizo ya akili, aende Milembe
Rais si viti maalumu, hujataja sababu na qualification za yeye kuwa tais
 
Anatufaa 2025
 
Mnapenda bla bla sana watanzania. Hv mtu akiwaita akawaeleza Raisi anajenga Madarasa kadhaa, shule kadhaa, maji, ongezeko la mapato ndio ubunifu. So unahisi Kwa hao wakuu wa mikoa wengine hakuna kilichofanyika?? Jmn ni wajibu na sio miujiza shule, vituo vya afya, maji kujengwa ndani ya nchii hii sisi ndio tunaojenga na tunawalipa pesa za anasa Sana hao wanaosimamia hii nchi
 
Back
Top Bottom