Paul Makonda mbali na mapungufu yote ya kibinadamu huyu ni kiongozi mbunifu sana, anatufaa 2030 awe Rais

Jinsi nchi ilipofika, imekuwa shamba la bibi kila mahali, watu wana ina pesa,sana , ufisadi, uvivu,uzembe, namwona Paul makonda angetufaa sana kama angeshika nchi 20230.

Ili aweze kurudisha uzalendo ndani ya nchi yetu. Ukimsikiliza speech yake ya leo ya arusha utajua kuwa ni kiongozi bora.

Leo nimemfutilia sana msimamo wake huwa hayumbishi na mtu.

Najua wengi mta toa matusi lakini Paul Makonda ni bonge la kiongozi achilia mbali mapungufu alionayo.

1.Ni kiongozi mbunifu

2.Ni kiongozi mwenye msimamo

3. Ni kiongozi mtendaji anasimamia ubadhilifu

4. Ni kiongozi mchapa kazi, anaweza kuubadilisha mind set za watendaji wa CCM. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.

Soma Pia: Makonda ajibu tuhuma za kumpiga risasi Tundu Lissu. Asema Lissu ana matatizo ya akili, aende Milembe
Ni jambazi mwenye roho ya kishetani.
Pia ishu ya marinda
 
Watanzania sijuo aloyeturoga nani...
Kwenye kauli yake amethibitisha kuwa clouds walikuwa wanamtumia kuvunja sheria. Amethibitisha kuwa walipokuwa na shida na TCRA wanampgia yeye.
Sasa hapo kawapa mfano mmoja tu, bila shaka hili analifanya TRA na kwingine akitumiwa na marafiki zake lakini kwa watanzania kuvunja sheria kwa wanasiasa mshaona kawaida.
Tanzania hakuna kiongozi amnaye anachukia ubadhirifu unless haumnufaishi. Ukitaka kujua hili bila shaka akiulizwa mali alizo nazo ndani ya kipindi cha miaka kumi hawezi kukueleza kazitoa wapi maana hata mshahara na marupurupu yake hayatoshi hata kumiliki nusu yake.
Jambazi, nyang'anyi na uaji.
1.ujambazi=samani kwenye makontena.
2.nyang'anyi=nyuma ya GSM.
3.UAJI=LISU,BEN SAA NANE NK
 
Jinsi nchi ilipofika, imekuwa shamba la bibi kila mahali, watu wana ina pesa,sana , ufisadi, uvivu,uzembe, namwona Paul makonda angetufaa sana kama angeshika nchi 20230.

Ili aweze kurudisha uzalendo ndani ya nchi yetu. Ukimsikiliza speech yake ya leo ya arusha utajua kuwa ni kiongozi bora.

Leo nimemfutilia sana msimamo wake huwa hayumbishi na mtu.

Najua wengi mta toa matusi lakini Paul Makonda ni bonge la kiongozi achilia mbali mapungufu alionayo.

1.Ni kiongozi mbunifu

2.Ni kiongozi mwenye msimamo

3. Ni kiongozi mtendaji anasimamia ubadhilifu

4. Ni kiongozi mchapa kazi, anaweza kuubadilisha mind set za watendaji wa CCM. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.

Soma Pia: Makonda ajibu tuhuma za kumpiga risasi Tundu Lissu. Asema Lissu ana matatizo ya akili, aende Milembe
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Adolf Hitler was a gifted politician and a talented autocrat with a very powerful acumen. But he was a bloodthirsty psychopath.

Stalin turned a feudal state, which was the poorest in Europe into a superpower in a span of twenty years. But this came at the expense of more than 30 million innocent lives which were sacrificed on the altar of communism and self preservation.

One has to be really delusional and intellectually bankrupt to think that Bashite is an ideal leader for TZ.​
 
Kw
Makonda hata Samia mwenyewe kamwacha mbali sana kimawazo na ubunifu!
Tatizo Wabongo tunapenda viongozi wasio wabunifu na vilaza wasiofanya mambo ya tofauti
Kweli mkuu, tukitaka nchi irudi kwenye misingi ya uzalendo tuende na paul, yupo vzr sana
 
Nd
Adolf Hitler was a gifted politician and a talented autocrat with a very powerful acumen. But he was a bloodthirsty psychopath.

Stalin turned a feudal state, which was the poorest in Europe into a superpower in a span of twenty years. But this came at the expense of more than 30 million innocent lives which were sacrificed on the altar of communism and self preservation.

One has to be really delusional and intellectually bankrupt to think that Bashite is an ideal leader for TZ.​
Ndani ya ccm simwoni mwingine anaweza kurudisha uzalendo
 
Back
Top Bottom